Pre GE2025 Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro

Pre GE2025 Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ila wanasiasa ni janga la dunia. Eti "Rais Samia anawapenda sana".

Wamasai kubalini huduma zirudi lakini msije kujiponza kumpongeza mtu kwa kuwa hiyo sio hisani ni haki yenu. Msimamo ni ule ule hakuna kuondoka kwenye ardhi yenu.
Anaongea kana kwamba anaongea na chekechea vile.
 
CCM wametengeneza matatizo ngorongoro, sasa wamerudi kuyatatua wenyewe.
 
Hii nchi ina viongozi wa hovyo sana
 
Wametema bungo

Hatua ya 1: Tengeneza tatizo.

Hatua ya 2: Jitenge na hilo tatizo.

Hatua ya 3: Jifanye unaguswa na tatizo ulilolitengeneza.

Hatua ya 4: Tatua hilo tatizo katika namna inayofanikisha malengo yako.

Hatua ya 4: Hakikisha unapongezwa kwa juhudi.
 
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.

Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata 11 zilizopo Tarafa ya Ngorongoro, akiwasilisha maagizo ya Rais aliyewatuma kuwasilikiza wananchi hao waliokuwa wamekusanyika na kukesha kwa siku 5 wakitaka kujua hatima ya malalamiko yao.

Soma Pia:

Aidha amesema Rais ameagiza uchaguzi katika tarafa hiyo kwa kutumia mipaka ya zamani, ufanyike kama unavyofanyika maeneo mengine nchini.
Nchi hii ina maviongozi mapumbavu sana
 
Utapeli mtupu kutoka kwa huyu ajuza wa kizimkazi.

Kwani asingeruhusu waondoe hizo huduma mwanzo yangetokea yaliyotokea?

Wameona wanamulikwa na jumuiya za kimataifa ndio wanajisafisha kwa mtindo huo.

Utasikia machawa yake yanasema " hakika mama ni jemedari na msikivu" hizo ndio 4R za mama"

Cc: Lucas Mbwa Wa Shamba.
 
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.

Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata 11 zilizopo Tarafa ya Ngorongoro, akiwasilisha maagizo ya Rais aliyewatuma kuwasilikiza wananchi hao waliokuwa wamekusanyika na kukesha kwa siku 5 wakitaka kujua hatima ya malalamiko yao.

Soma Pia:

Aidha amesema Rais ameagiza uchaguzi katika tarafa hiyo kwa kutumia mipaka ya zamani, ufanyike kama unavyofanyika maeneo mengine nchini.
Huyo mama ana ajenda gani na Tanganyika? Mbona haiuzi Zanzibar kashupalia mali za Tanganyika tu? Wazanzibar wao wanakaa kwa amani kabisa hawabuguziwi ila huku kwetu ndo Mzanzibar huyo anatufanyia fujo kila kukicha. Na yule mkwewe aliyemtuma kutengeneza tatizo (Mchengerwa) angemtuma aende Ngorongoro kutatua tatizo
 
Kichwa cha habari cha gazeti kilipaswa kuwa, wamasai wafanikiwa kumshinda Samia, mama asalimu amri kwa aibu!
Huko wamasai walishakubali kumwaga damu,hilo eneo lisingekuwa la kitalii tena lingegeuka uwanja wa vita

Ova
 
Wale walioondoka kwenda Msomera kesho watarudi mbio tena Ngorongoro.
 
Back
Top Bottom