Pre GE2025 Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.

Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata 11 zilizopo Tarafa ya Ngorongoro, akiwasilisha maagizo ya Rais aliyewatuma kuwasilikiza wananchi hao waliokuwa wamekusanyika na kukesha kwa siku 5 wakitaka kujua hatima ya malalamiko yao.

Soma Pia:

Aidha amesema Rais ameagiza uchaguzi katika tarafa hiyo kwa kutumia mipaka ya zamani, ufanyike kama unavyofanyika maeneo mengine nchini.
Kibiriti cha mmasai kimejaa mlijaribu kukitingisha bilali wahed mafisiem,aisee hii nchi tukinyooka kama wamasai kumbe katiba mpya ni chap
 
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.

Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata 11 zilizopo Tarafa ya Ngorongoro, akiwasilisha maagizo ya Rais aliyewatuma kuwasilikiza wananchi hao waliokuwa wamekusanyika na kukesha kwa siku 5 wakitaka kujua hatima ya malalamiko yao.

Soma Pia:

Aidha amesema Rais ameagiza uchaguzi katika tarafa hiyo kwa kutumia mipaka ya zamani, ufanyike kama unavyofanyika maeneo mengine nchini.
Hatuna rais, tuna muimba taarab za mipasho tu
 
TUMEKWISHA MAZIMA TUSIFURAHIE BAADA YA MIAKA 20 HATUNA TENA NGORONGORO, TUMEPUUZWA KWA UPUMBAVU WETU, HASARA ITAKUWA YA TANZANIA BARA KWA SIKU ZA USONI, TUSIFURAHI KWA HILI, TUMEKWISHA, NAKAZIA TUMEKWISHA, ACHA NIENDELE NA KAHAWA YANGU HAPA
-->>lililofanyika kwa issue ya ngorongoro ni mpumbavu mwache na upumbavu wake!
-->Bado nasisitiza masai waondolewe aidha wapunguzwe kwa 3/4.
---Idiot yoyote ni ngumu sana kunielewa - - -
Mnaona aibu baada ya kushushuliwa na huyo mama yenu anayetukana watu mbwa.
 
kuna chokochoko wanazipandikiza
Bora ukae kimya tu bro kuliko kujidhalilisha kwa comments kama hizi. Hata kama wewe ni CCM viongozi wako ni binadamu wakikosea waseme au kaa kimya kuliko kusapoti ujinga ila kama wewe ni chawa sikulaumu.
 
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.

Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata 11 zilizopo Tarafa ya Ngorongoro, akiwasilisha maagizo ya Rais aliyewatuma kuwasilikiza wananchi hao waliokuwa wamekusanyika na kukesha kwa siku 5 wakitaka kujua hatima ya malalamiko yao.

Soma Pia:

Aidha amesema Rais ameagiza uchaguzi katika tarafa hiyo kwa kutumia mipaka ya zamani, ufanyike kama unavyofanyika maeneo mengine nchini.
Yaani Lukuvi anaakili zaidi ya Waziri........... Aliyeondoa hizo huduma
 
Ahadi nyingi kutoka serikali ya chama dola kongwe, lakini katika utekeleza, angali serikali ilichoahidi mwezi March 2022 miaka miwili iliyopita lakini 2024 tayari imesahau na kutumia ubabe wa kivita ..

View: https://m.youtube.com/watch?v=b1G_8dVC5c4

TOKA MAKTABA:
Mtetezi wa wananchi asiyeyumba chama cha CHADEMA
 
Back
Top Bottom