Pre GE2025 Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro

Pre GE2025 Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.

Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata 11 zilizopo Tarafa ya Ngorongoro, akiwasilisha maagizo ya Rais aliyewatuma kuwasilikiza wananchi hao waliokuwa wamekusanyika na kukesha kwa siku 5 wakitaka kujua hatima ya malalamiko yao.

Aidha amesema Rais ameagiza uchaguzi katika tarafa hiyo kwa kutumia mipaka ya zamani, ufanyike kama unavyofanyika maeneo mengine nchini.
Tengeneza tatizo halacu jisifu kulitatua. Ccm mna shida sana
Kwani ni Chadema walifuta tarafa? Kwani ni ACT Wazalendo walimzuia vyoo vya shule? Kwani ni TLP walikata maji shuleni? Kwani ni Chauna walikata huduma za hospitali? Acheni kutuona maboya? Lakini jana kuna walio waita watanzania ni mbwa wajinga.
 
TUMEKWISHA MAZIMA TUSIFURAHIE BAADA YA MIAKA 20 HATUNA TENA NGORONGORO, TUMEPUUZWA KWA UPUMBAVU WETU, HASARA ITAKUWA YA TANZANIA BARA KWA SIKU ZA USONI, TUSIFURAHI KWA HILI, TUMEKWISHA, NAKAZIA TUMEKWISHA, ACHA NIENDELE NA KAHAWA YANGU HAPA
-->>lililofanyika kwa issue ya ngorongoro ni mpumbavu mwache na upumbavu wake!
-->Bado nasisitiza masai waondolewe aidha wapunguzwe kwa 3/4.
---Idiot yoyote ni ngumu sana kunielewa - - -
 
Back
Top Bottom