Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao

Ukweli ni kwamba kila nafsi itaonya mauti lakini kuna watu wakitangulia, kamwe siwezi kusikititika na mmojawapo ni mtoto wa huyu Mama kwani nitafurahi na yeye aonje uchungu wa kuzika wapendwa wake.

Augue au vinginenyo, sitojali na kifo chake tutakiita ni "drama " tu kama walivyoona wengine kutekwa na kupotezwa au kuuwawa ni drama.

Mungu walaani hawa watu wao na vizazi vyao.
 
 
Naelewa aiseee naelewa sana Ndugu yangu
 
Wakijua, wanajua ni polisi ni usalama wa Taifa waliofanya hiyo operation watawakingia kifua watu wao siku zote.
 
Naanza sasa Kuhisi kuwa huenda kuna Watu wana Bifu zao ama za Kibiashara au Kisiasa na hata Kifamilia na Watekelezaji wa kumsaidia Israeli kufanya Kazi yake tukuka ya Kuzima Pumzi zetu za Duniani wakatumia Lifti ya Taasisi fulani inayolaumiwa kila Siku kuwa Wao ndiyo Wamesaidiana na huyo Israeli.
 
Abdul 😳😳
 
ile over confidence ya kufanya yale yote hadharani ni wao bila shaka.
 
Shida mkuu ni pale ambapo najiuliza ni raia gani wa kawaida mwenye ujasiri wa kuingia ndani ya basi mchana kweupe na kumfunga mtu pingu huku wakiwa na silaha za moto?

Ingekuwa ni suala la visasi vya kifamilia basi ingekuwa wanaviziana tu lakini sio kumfunga mtu pingu mchana kweupe mbele ya umati wa watu.
 
Mambo mazito kaka, kutoana pumzi imekua jambo dogo
Tatizo baadhi yenu huwa mnakurupuka na hamtaki Kuelewa mtazamo wangu na mnataka Kulazimisha kila Mtu aamini kile ambacho wengi ama wanaamini kwa Kutokujua au wafuata mkumbo tu.

Je, umeelewa kwanini katika Headline yangu nimeanza Kwanza kwa Kukiri kuwa nao wana Changamoto zao? Hivi logically tu ni lazima kila Tukio baya basi liwe ni Wao au ni Wao?

Tujenge basi Utamaduni wa sometimes kuwaza nje ya Box kwa mambo fulani fulani yanayohitaji Umakini na Ushahidi usio na Shaka au wenye Chuki na Uzushi.

Nimemaliza.
 
Wenye kukaa na pingu ni kina nani?

Wenye kuweza kusimamisha gari mchana kweupe Tena bus na kutaka mtu ashuke kwenye gari kimamlaka sio raia Bali ni wao.

Na wanasema waziwazi sisi ni wao na tunamtaka fulani.

Maswali ni haya:

Kama hao watu sio wa kwao, mbona wanatumia jina lao na wao wamekaa kimya?

Kama ni kikundi Cha wahuni wenye silaha, magari, pingu na vifaa vingine vinavyofanana na vya kwao wameshindwaje kuwakamata?

Kuna viashiria vingi sana kuwa ni wao wanahusika, mfano Kuna mtu ameshikiliwa 29days mwanzoni walisema hayupo kwao baadae ikaja kijulikana yupo kwao.

Aliyeokotwa huko Namanyere porini alisema wao ndio walimpeleka huko ila wao wanasema sio wao.

Gentamycine siku wa nyumbani kwako akipatwa na jambo ndio utajua ni wao au ni ugonzi wenu wa shamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…