Ally ayubu
Senior Member
- Jan 6, 2024
- 188
- 104
Daaa ina sikitisha sana kaacha familia yake mungu amuweke maali pema peponiš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais aliiachia hali hii ndiyo tumefika hapo,wengi mno wametekwa na kuuawa. Kwa sasa viongozi wa dini wako wapi?Angalau huyu ametaka uchunguzi na ripoti ya kina lakini aliyepita alipinga kwa nguvu zote uchunguzi wa aina yoyote.
Kiongozi hasomi unambiwa yy ni misele tu.sasa wasaidizi wake wana mwingiza chaka kwakua hajui kitu.Rais kila siku anapewa,taarifa kuhusu migogoro, mambo makubwa vote kuhusu usalama wa nchi ya ndani na nje. Rais huwa ana taarifa zote kila siku asubuhi kuhusu usalama wa nchi na matatizo ya nchi. Report zote anapewa amiri jeshi mkuu, Rais.l
Yeye,inawezekana amewapa mamlaka wafanye vyovyote abaki bila bugudha. Taarifa zote muhimu huwa zinamfikia Amiri jeshi mkuu. Yeye ndio kiongozi wa majeshi yote, serikali nchi na utawala wote. Ndio maana ya kuwa Amiri Jeshi na Rais wa nchi. Vitu vyote muhimu anapewa taarifa. Ni yeye kuamua kufanya maamuzi.Kiongozi hasomi unambiwa yy ni misele tu.sasa wasaidizi wake wana mwingiza chaka kwakua hajui kitu.
Rubbish.
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki.
Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii haraka. Nchi yetu ni ya kidemokrasia na kila raia ana Haki ya kuishi. Serikali ninayoiongoza haivumilii vitendo vya kikatili vya namna hii.
Pia Soma:
- Mbowe: Ripoti ya Uchunguzi wa Kifo cha Mzee Kibao ikiwa tofauti na tulichoona tutaipinga
- Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
- Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ally Kibao
- Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Mzee Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali
Inaudhi sana...Wanatuchezeaaa akili......mtu anatekwa mjini watu wanaona na magari police yanahusika leo mnasema hamuwajui watekaji upuuuziii......mnatupotezea muda
Ukisikia uchawi ndo huu... Yaaani watuhumiwa wanapewa fursa ya kujichunguza!
HakikaKwakweli hili tukio limeniumiza sana nikiwaza familia yake watoto wake na watu waliokuwa wakimtegemea ,huyu mzee simfahamu ila kwa muonekano wa haraka ni muungwana ila mungu wa haki yupo na huwa hapangiwi ,hachelewi wal awahi, tumuachie yeye anayeona tusiyoyaona na anayajua tusiyoyajua
mm ndio ofisi ipi au cheo ganiUKiachilia tukio la lisu kupigwa risasi na kamera kufichwa atleast kwa hili papo pa kuanzia, kwenye makutano ya hiyo barabara alipotekwa ndugu kibao hapatakosekana camera waanzie huko hao walioagizwa na mm.
Bila shaka hawakuvaa vificha uso na walikuwa wakijiamini kupita kiasi
Anaua watu halafu anaagiza polisi kufuatilia
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki.
Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii haraka. Nchi yetu ni ya kidemokrasia na kila raia ana Haki ya kuishi. Serikali ninayoiongoza haivumilii vitendo vya kikatili vya namna hii.
Pia Soma:
- Mbowe: Ripoti ya Uchunguzi wa Kifo cha Mzee Kibao ikiwa tofauti na tulichoona tutaipinga
- Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
- Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ally Kibao
- Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Mzee Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali
Emeke, tushirikishaneAaah kuna povu la kutosha huko....... hawezi kusoma hata comments kumi
ni ujinga na upunguani kujifanya hawamjui anaefanya haya mambo.Wanatuchezeaaa akili......mtu anatekwa mjini watu wanaona na magari police yanahusika leo mnasema hamuwajui watekaji upuuuziii......mnatupotezea muda
Jiww alikuwa shetani tena shetani mbaya sana.Mtukaneni Magufuri maana mlimsema vibaya sana yule mzee
Huyo rais anazuga tu, anaelewa kila kinachoendelea. Alisema utekaji ni drama, lengo ilikuwa ni kufunika ukweli. Haya yanayoendelea yana baraka zake, na wala hakuna uchunguzi wowote utafanyika zaidi ya maigizo.
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki.
Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii haraka. Nchi yetu ni ya kidemokrasia na kila raia ana Haki ya kuishi. Serikali ninayoiongoza haivumilii vitendo vya kikatili vya namna hii.
Pia Soma:
- Mbowe: Ripoti ya Uchunguzi wa Kifo cha Mzee Kibao ikiwa tofauti na tulichoona tutaipinga
- Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
- Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ally Kibao
- Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Mzee Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali
Yeye aliyafanya haya sana, ila hakuwa amewapa usalama wa taifa kinga ya unyama huu. Lakini process ya sheria ile mbaya ilaanza kutungwa chini yake. Samia amekuja tu kuitekeleza.Mtukaneni Magufuri maana mlimsema vibaya sana yule mzee