Dive
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 895
- 1,489
Unawataka Scotland Yard au M12 au FBI? Nchi yetu imeharibika na mamlaka naona wanachekelea hawa wauaji waliopo kwenye mfumoBinafsi sitaki serikali ya Tanzania ichunguze kifo hiki na Nachukua Nafasi hii kuwakataza kabisa Viongozi wa Chadema kukubaliana na hili