Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Duh 🙄Huyu bibi bure kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh 🙄Huyu bibi bure kabisa
Haya sawa! Tanzania ya Nyerere na ya Mkapa sio hii ya Leo😭Ee Mungu Baba endelea Kuifanya Tanzania iwe ya Amani mpaka siku Yesu Kristo atakaporudi🙏Itujalie amani iliotukuka na pia ukatujalie kumjua adui yetu, na pia Wewe Mungu akuwajalie Watanzania kujua adui yao- Kwa kuwa Ufalme na Nguvu ni vyako milele na milele🙏
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki.
Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii haraka. Nchi yetu ni ya kidemokrasia na kila raia ana Haki ya kuishi. Serikali ninayoiongoza haivumilii vitendo vya kikatili vya namna hii.
Pia Soma:
- Mbowe: Ripoti ya Uchunguzi wa Kifo cha Mzee Kibao ikiwa tofauti na tulichoona tutaipinga
- Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
- Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ally Kibao
- Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Mzee Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali
"Vyombo vya uchunguzi" vilivyoagizwa ni vipi? Nani kiongozi wa uchunguzi huo ambaye taasisi yake au yeye mwenyewe hawezi kushukiwa kuhusika?
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki.
Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii haraka. Nchi yetu ni ya kidemokrasia na kila raia ana Haki ya kuishi. Serikali ninayoiongoza haivumilii vitendo vya kikatili vya namna hii.
Pia Soma:
- Mbowe: Ripoti ya Uchunguzi wa Kifo cha Mzee Kibao ikiwa tofauti na tulichoona tutaipinga
- Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
- Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ally Kibao
- Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Mzee Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali
You Have a pointTuanataka ripoti ya ukweli na si FUTUHI ,damu ya mtu haiwezi kupotea ,tunapoenda ni hatari sana kama vitendo kama hivi havijadhibitiwa.
Navyoelewa pale MJAPANI COMPLEX au TEGETA CPOMPLEX Kuna Camera ,lile bus lazima litakuwa na Camera ,achunguzwe abiria aliyepanda mwanzoni wa safari na aliyeshuka na watekaji ,achunguzwe abiria aliyetaka kupanda bus hapo MJAPAN Complex.
Wachunguzi wachukue Site Cells Dumps ya namba ya simu zilizokuwa mwanzo wa safari ya bus ,kisha wachukue Cells site Dumps za sites za Tegeta baada ya kusimamishwa ,then wa VLOOKUP kupata namba zilizokuwa TEGETA ambazo zilitoka mwanzo wa safari....Then baada ya kuondoka Bus na hao WATEKAJI ,wachunguzi wachukue Dump nyingine ya cells/sites za TEGETA/UNUNIO waki VLOOKUP namba zilizosoma tegeta kwa mara ya pili lakini zilikuwa zimetoka mwanzo wa safari.....Then zikimatch kwa Mara ya tatu hao ndiyo watakuwa WANAHUSIKA na Utekaji maana watakuwa walibook kwenda Tanga lakini hawakuenda waliishia UNUNIO/TEGETA.
anaua kisha anazuga kutoa pole.Wanatuchezeaaa akili......mtu anatekwa mjini watu wanaona na magari police yanahusika leo mnasema hamuwajui watekaji upuuuziii......mnatupotezea muda
You Have a point
Amesemea wapi?
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki.
Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna hii haraka. Nchi yetu ni ya kidemokrasia na kila raia ana Haki ya kuishi. Serikali ninayoiongoza haivumilii vitendo vya kikatili vya namna hii.
Pia Soma:
- Mbowe: Ripoti ya Uchunguzi wa Kifo cha Mzee Kibao ikiwa tofauti na tulichoona tutaipinga
- Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
- Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ally Kibao
- Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Mzee Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali
Mimi ni mwana CCM lakini hili sikubaliani nalo, lazima uchunguzi wa kina ufanyike!At least hili suala ameli-address
Kazi inaendelezwaVipi tena dictator si alishakufa tangia 2021 yupo zake kalala chato tatizo nini mbona vilio 🤣🤣🤣🤣🤣
Polisi, usalama mnawaonea Bure, laana imwendee aliyewapa oda hivi vyombo vya Dola.DGIS na IGP kivuli sio IGP Mwenyewe anazungukwa