Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Je ! Ni sahihi kutowalipa ilhali walikatwa pesa zao na walilitumikia taifa kwa haki!??Ni Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu
Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu kuingia kazini?
Kwa Haki vipi na cheti FEKI?Je ! Ni sahihi kutowalipa ilhali walikatwa pesa zao na walilitumikia taifa kwa haki!??
Hajatoa maagizo ya moja kwa moja. Bali amesema ipigwe hesabu kuona itagharimu kiasi gani kwa waliobakiza mwaka mmoja au miwili walipwe. Ila mpaka hesabu zipivwe waone kama wanaweza kuwalipaNi Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu
Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu kuingia kazini?
Uchawi uko damuni mwako kinyama.Ni Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu
Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu kuingia kazini?
Walitumikia kwa haki wakati walighushi vyeti?Je ! Ni sahihi kutowalipa ilhali walikatwa pesa zao na walilitumikia taifa kwa haki!??
Sasa si ndio mchakato wa kuwalipa huo?Hajatoa maagizo ya moja kwa moja. Bali amesema ipigwe hesabu kuona itagharimu kiasi gani kwa waliobakiza mwaka mmoja au miwili walipwe. Ila mpaka hesabu zipivwe waone kama wanaweza kuwalipa
Feki wapi we bwege..wakati watu waliajiriwa na mamlaka sahihi!?Kwa Haki vipi na cheti FEKI?
Wengine wote watalipwa 5% ya salary waliokatwa.....kwenda mifuko jamii...wataambulia kituHajatoa maagizo ya moja kwa moja. Bali amesema ipigwe hesabu kuona itagharimu kiasi gani kwa waliobakiza mwaka mmoja au miwili walipwe. Ila mpaka hesabu zipivwe waone kama wanaweza kuwalipa
Kama PhD feki iliyomtoa uhai "two o'clock"Hii nchi nzuri sana.
Unaiba halafu unalipwa.
Hongereni kwa kulipa wezi.
Kuajiriwa na mamlaka sahihi haiondoi ukweli kwamba walighushi.Feki wapi we bwege..wakati watu waliajiriwa na mamlaka sahihi!?
Mimi nadhani waliokuwa feki ni wale waliotoa ajira bila kuvichunguza hivyo vyeti !! Kwahiyo walipwe tu maana walifanya kazi iliyotakiwa kufanywa na walikatwa stahiki zao !! Waadhibiwe waliotoa Ajira !!Kwa Haki vipi na cheti FEKI?