Rais Samia aagiza walioondolewa na Hayati Magufuli kwa vyeti feki walipwe

Je kama walifoji vyeti ili wafanye kazi fulani inayoonekana na walifanya na taifa likafaidika na walichozalisha, hapo inakuwaje?
Siyo wote walikuwa na vyeti feki kuna hata waliojiendeleza fani tofauti na kufanya cartegorization mfano walimu wa vodafaster waliosomea fani tofauti na kubadilishiwa kazi pia walifukuzwa,je ni sawa?
 
Sijaona ulipoandika na waliofukuzwa kazini ambao walikuwa na elimu ya darasa la 7 bila sababu za msingi na mafao yao kunyang'anywa kiholela.

Hapo ndo unapodhihirisha chuki yako ya wazi kwa Mhe Rais.

Hata hao vueti feki ilikuwa ni upendeleo na ukandamizaji tu hapakuwa na haki maana akina Bashite walikuwa na vyeti feki na kelele zilipigwa lakini Rais wa wakati huo hakujali wala hakumuondoa.
 
Punguza porojo Mkuu,kughushi nyaraka za Jamhuri ni kosa la jinai.Hawa kwa Magufuli aliwasamee,walipaswa kushitakiwa na kufungwa.Kama walikuwa na haki mbona hawakuishitaki serikali?
Yaani huyo huyo aliyekuondoa kazini halafu umshitaki na unavyomjua bwana yule alikuwa ndo serikali, bunge na mahakama.

Maelekezo yote alikuwa anatoa yeye sasa hata hiyo nguvu ya kushtaki utaitoa wapi?
 
Rais akitamka kitu hata kama ni mkutanoni uelewe hilo tayari ni agizo ! Vinginevyo labda aamue tena kutengua agizo lake yeye mwenyewe !! Ameshasema walipwe maana yake watalipwa tu !! Lini ndio haijulikani !!
Ilikuwa ni Ahadi. Sasa kama Ahadi ni Deni maana yake wahusika waendelee kudai au ulielewaje mkuu?
 
Na ukikamatwa ukanyang'anywa pesa zote na wakataifisha mali zako zilizotokana na hiyo kazi,halafu ukaachwa bila kufungwa,ukasamehewa,utalalamika au?
 
Na ukikamatwa ukanyang'anywa pesa zote na wakataifisha mali zako zilizotokana na hiyo kazi,halafu ukaachwa bila kufungwa,ukasamehewa,utalalamika au?
Ndiyo
 
Wafanyakazi wa vyeti fake Lakini ujuzi wao haukuwa fake hajawa wahalifu kumzidi Malock.
 
Tatizo ndiyo lipo hapo. Je walioajiri hii lugha wanaijua.

Tunaunga mkono kwa nguvu zote walipwe pesa zao. Nyinyi ndiyo mazulumati hata wafanyakazi wa ndani mkijifanya na kimombo.

Mbona kufa hamtoi sifa au great. Tukumbuke hata kufa kunafanana Wanaojiona wapo juu zaidi ya wengine tukaliulize kaburi. Kaburi linamaliza kiburi chote jamani.

Sijawahi kusikia mtu amekufa kiprofession Fulani kumzidi mwenzake. Tukumbuke haya ni maisha ya hapa duniani.

Nimetoa huu mfano ili kila mtu ajipime. Maisha ni yetu sote na waliosababisha hayo yote ni sisi wenyewe.

Tusifukuzane Kama mbwa, mungu katupa utashi wa kujua nzuri na baya.

Kuna wale wanawasakama na kuwadhalili hawa watu kwangu binafsi sioni kosa lao kosa lipo kwa serikali na aliyewaajiri.

Ukitaka kujua mzulumati hakosi sababu sijui kwa Nini!!! Yaani unakuta mtu naheshoma zake tena kapeea cheo Cha kuhudumia jamii badala ya kutafuta muafaka na kurekebosha yaliyopita anamwita mwizi. Mpeleke polisi Sasa.


Tena ikiwezekana Mama warudishe kazini wamalize miaka yao ya kustaafu ili wale wenye roho mbaya wakatafute dasban kabisa.
 
Hapana raisi kakosea sana ivi unajua watu kwa kugushi vyeti vyao waliwakosesha watu wangapi ajira walizostaili wapewe....je miaka yote iyo waliokaa bila ajira na wao tunawasaidiaje? Magufuli was right....kma mtu alikua anachezea mshahara wake wakt anajua anavyeti feki na akufnya la maana shauri yake


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: Tsh
Ni watanzania wenzetu walifanya wao kazi kwa kutumia akili zao na nguvu zao. Vyeti havikufanya kazi bali viliwawezesha kupata kazi. Ni SAHIHI WALIPWE
 
Nilidhanigi labda jpm atalitumia hili ktka sias za mwak 2020 kuombea kura ila sas limepenyezwa huku sijui watalipwaje duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…