Rais Samia aagiza walioondolewa na Hayati Magufuli kwa vyeti feki walipwe

Kifupi mama alichoongea kwa wale msiojua ni kuwa walipwe asilimia tano ya pesa walizoiba wakiwa wafanyakazi
 
Walitumikia taifa kwa haki ipi? Umeshawahi kuwaza ni watu wangapi wenye sifa walikosa kazi kwa ajili yao? Udanganyifu ni kosa kama makosa mengine ya jinai
Hivi kweli mtu afanyekazi miaka30 na boss wake anamwamini tena inawezekana boss akawa anamwachio ofisi na anafakazi vizuri kuliko hata mwenye karatasi sa Hapo nani mwenye professional ya kazi?

Karatasi sio sababu, utendaji na huduma ndio kipao mbele.
Utakuwa mdanganyifu Kama huna ile professional inayohotajika sio makaratasi.
 
Tuache porojo!! Mchakato wenyewe nao ulikuwa FAKE na wa KIBAGUZI.. marehemu aliamua chagua wanyonge na kuwanyonga...
Mbona hakwenda vyombo vya dola!? Nijibu hili swali tuone!? Ita MATAGA wote uone kama watajibu hili!

Mama walipe pesa zao zotee...
Unaweza kuwa na cheti cha polisi Feki kutoka chuo cha polisi Moshi au ikawa ns cheti cha Jeshi Feki kutoka chuo cha jeshi Monduli?
 
Ujue kuna waliofoji hadi digrii

Chukulia mtu form four division zero alifiji digrii ya udaktari watu wangapi watakuwa wakifa mikononi mwaka kwa kufanya kazi isiyostahili

Kiwango cha watoto kufeli kilikuwa kikubwa mno huko nyuma sababu ya hao walimu wavyeti Feki mtoto anamaliza darasa la saba akiwa hajui kusoma wala kuandika sababu huyo mwalimu chetu Feki hajawahi kanyaga chuo cha walimu

Kumlipa chochote ni uhuni alitakiwa huyo mwenye cheti feki aburuzwe mahakamani afilisiwe na kurejesha peas zote aliyowahi lipwa kama mshahara au posho
Waanze kuwakamata waliowapeleka na kuwapatia hizo ajira. Hakutoka nyumbani na kuingia ofisini. Kwanza serikali ndiyo ilimshawishi akaingia kwenye hiyo dhambi.
 
Waanze na waliowapeleka. Hakutoka nyumbani na kuingia ofisini. Kwanza serikali ndiyo ilimshawishi akaingia kwenye hiyo dhambi.
Wakianza hadi huko kwa aliyeajiri kuna hadi wazazi na ndugu watakamatwa sababu unakuta mtu ana ndugu yake ndie alimwingiza kazini kimchongo na cheti Feki cha kuchangia internet cafe!!
 
Ujue Luna waliofoji hadi digrii

Chukulia mtu form four division zero alifiji digrii ya udaktari watu wangapi watakuwa wakifa mikononi mwaka kwa kufanya kazi isiyostahili

Kiwanga cha watoto kujali kilikuwakikubwa mno huko nyuma sababu ya hao walimu wavyeti Feki mtoto anamaliza darasa la saba akiwa hajui kusoma wala kuandika sababu huyo mwalimu chetu Feki hajawahi kanyaga chuo cha walimu

Kumplipa chochote ni uhuni alitakiwa huyo mwenye cheti feki aburuzwe mahakamani afilisiwe na kurejesha peas zote aliyowahi lipwa kama mshahara au posho
Walitakiwa waburuzwe mahakamani. Unadhani kwanini hilo halikufanyika? Badala yake wakahukumiwa bila kufuata taratibu tulizojiwekea? Sasa usihukumu bila kusikiliza hizo kesi maana hukumu haitafanana kwa wote kama ilivyotokea.

Serikali inajua kwanini hawa watu hawakupelekwa mahakamani.

Wangepelekwa mahakamani kuna ambao kweli wangefungwa, na kuna ambao huenda wangetakiwa kulipwa fidia ya kuchafuliwa, na kuna ambao huenda wangelipa faini kiasi na si kwa kiwango cha mafao yao yote.

Sio kwamba serikali haikufahamu uwepo wa watu hawa, nia ya JPM ilikuwa ni kupunguza gharama za mishahara bila kuingia gharama ya fidia akatumia huo udhaifu wa vyeti kutimiza dhamira yake ila ukienda kwenye hadithi ya mtu mmoja mmoja kuwa kwann ana cheti chenye tatizo, mambo ni tofauti sana na hitimisho lililotolewa kwa kuwaweka woote kundi moja na kuwapa adhabu moja.

SAMIA KATUMIA BUSARA SANA KUWAPA 5% NA KULIZIKA HILI JAMBO MAANA LINGEIBUKA TU TENA WAKATI MWINGINE HUKO MBELENI.
 
Kwa hiyo hawakustahili kufukuzwa kama vyeti ni irrelevant
Umeniingizia neno "hawakustahili', Mimi nimesema WALIPWE haki zao kwa vile siyo vyeti vilivyofanya kazi bali ni akili zao na nguvu zao. Wala sikusema warudi kwenye ajira
Unaweza kuwa na cheti cha polisi Feki kutoka chuo cha polisi Moshi au ikawa ns cheti cha Jeshi Feki kutoka chuo cha jeshi Monduli?
YEHODAYA huelewi zoezi Zima la vyeti feki lililenga cheti gani. Ni cheti cha Form I, siyo degree Wala cheti cha Polisi. Tulia acha kutoa pumba
 
Walitakiwa waburuzwe mahakamani. Unadhani kwanini hilo halikufanyika? Badala yake wakahukumiwa bila kufuata taratibu tulizojiwekea? Sasa usihukumu bila kusikiliza hizo kesi maana hukumu haitafanana kwa wote kama ilivyotokea.

Serikali inajua kwanini hawa watu hawakupelekwa mahakamani.

Wangepelekwa mahakamani kuna ambao kweli wangefungwa, na kuna ambao huenda wangetakiwa kulipwa fidia ya kuchafuliwa, na kuna ambao huenda wangelipa faini kiasi na si kwa kiwango cha mafao yao yote.

Sio kwamba serikali haikufahamu uwepo wa watu hawa, nia ya JPM ilikuwa ni kupunguza gharama za mishahara bila kuingia gharama ya fidia akatumia huo udhaifu wa vyeti kutimiza dhamira yake ila ukienda kwenye hadithi ya mtu mmoja mmoja kuwa kwann ana cheti chenye tatizo, mambo ni tofauti sana na hitimisho lililotolewa kwa kuwaweka woote kundi moja na kuwapa adhabu moja.

SAMIA KATUMIA BUSARA SANA KUWAPA 5% NA KULIZIKA HILI JAMBO MAANA LINGEIBUKA TU TENA WAKATI MWINGINE HUKO MBELENI.
Like likikuwa ni zoezi la kishetani kabisa.
SITETEI KUFOJI VETI, LAKINI
Kuwatoa watumishi wenye vyeti FEKI yalikuwa ni maamuzi ya KINYAMA sana kutoka katika Nchi yetu.

Magufuli mwenyewe alimuuwa Ben Saanane kwa vile alimhoji uhalali wa THESIS yake ya PhD ambayo inasemekana ali PLAGIARIZE kutoka kwa Dr J Y Phillip ambaye alisimamiwa na Prof Buchwashaija wa UDSM kama yeye mwenyewe Magufuli.

Magufuli aliwaacha akina Makonda waliofoji vyeti vya Form IV wakiwa Wakuu wa Mikoa, au Prof Kabudi aliyekuwa Waziri wa Sheria, lakini akawafukuza MADREVA na matarishi waliofoji vyeti vya Form IV.

Asante Rais SSH kwa kuwatetea Watanzania wenzetu, waache wapate haki zao kwa vile siyo vyeti ndiyo vilikuwa vinafanya kazi bali ni nguvu zao za kimwili na akili.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh

Historia ipo wazi ya kwann hawakuburuzwa mahakamani. Serikali inajua kabisa iliajiri watu wengi sana drs la saba halafu baada ya miaka mingi katika utu uzima wao ikawataka wajiendeleze badala ya kuwaondoa na kuajiri wenye degree, ilifanya hivi sababu ilihitaji uzoefu wao kuliko degree za fresh graduates wasio na uzoefu.

Katika kujiendeleza wengi walipata ugumu sababu ya mfumo wetu wa elimu, imagine mtu mwenye miaka 40 akasome masomo ya form four? Hapo ndipo vyeti vingi vilifojiwa na serikali ilijua nn kinafanywa na wafanyakazi wake lakini haikuwa tayari kuwapoteza wakati ule.

Sasa akaja JPM ambaye alitaka kupunguza gharama za mishahara kwa sababu ya miradi ya nchi, akatumia huo mwanya, akaondoa wote ila hata jeshini inawezekana kuna makamanda wenye sifa hizi lakini hakuchagua kabisa kupagusa huko, akafanya sorting ya ambao hawawezi fanya lolote zaidi ya kulalamika.

SASA ALICHOFANYA SAMIA NI KUZIKA HII LAWAMA ISIJIRUDIE RUDIE TENA MBELENI, NASHANGAA WANAOLALAMIKA HATUA ALIYOICHUKUA.
 
Ni Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu
Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu kuingia kazini?
Bila kusahau hasara waliyoisababisha kwa kutoa huduma hafifu kutokana na kutokuwa na maarifa yanayotakiwa
TUCTA Wanataka warudishwe KAZINI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Mfanyakazi aliyegushi Vyeti, HUYU HANA AKILI.

ANGEKUA NA AKILI ANGEPATA UFAULU HATA WAKUUNGA UNGA

walipata Ajira zisizowastahili, miaka yote hiyo waliziba pengo la watu wanaostahili kupata nafasi hizo

Wamelipwa Mishahara , wamekopa mamilion Kwa nafasi ambazo wamezipata Kwa ujanjaujanja.

Tena sio tu kutimuliwa, WALIPASWA KUFUNGWA JELA KWA KOSA LA KUGHUSHI NYARAKA.

MAGUFULI ALIKUA SAHIHI KABISA, KUWAFUKUZA HAWA WAHUNI MAKAZINI

NA MISHAHARA WALOLIPWA MIAKA YOTE, ILIWATOSHA NA HAWASTAHILI KULIINGIZA TAIFA KWENYE MATUMIZI MABAYA YA PESA.

[emoji117]ila Kwa kua Kiongozi aliyepo ,nayeye ni wale Vichwa maji, HAKUA NA AKILI DARASANI, amesoma Kwa kuunga unga Mdogo mdogo ,kurudia rudia weeeee mpaka akafioa hapo, anaona Bora awafurahishe Vichwa maji wenzie.

Magufuli ALIKUA SAHIHI sana.
 
Na mungu akamalizana nae na PHD yake feki. Alilifanya kwa pupa na masifa lakini aliewaambia wakafie huko yy katangulia.

Kwanza alikuwa atathimini na ajiridhishe. Ajiulize kwa Nini Kuna watu wengi kiasi hicho? Chanza Cha hii kitu Nini?? Ni kosa la nani? Hi tabia ikomeshwe vipi bila kuathiri maisha ya jamii?

Mfano angeweza kuajiri mwaka mmoja halafu aangalie ni wangapi wameajiriwa na vyeti feki waliowajiri ndio angekula nao sahani moja na hii tabia ingekufa.

Nasema hakuwatendea haki kabisa Rais awarudishe au awalipe mafao ya kwa hekima aliyopewa na mungu.

Kuna watumishi waliwachukia Sana walioondolewa labda walikuwa mabosi wao. Na wengine ni wale waliomaliza vyuo hawana ajira. Nasema hata wamwagie maji maji godoro la wenzao bado watalala tu.
 
Historia ipo wazi ya kwann hawakuburuzwa mahakamani. Serikali inajua kabisa iliajiri watu wengi sana drs la saba halafu baada ya miaka mingi katika utu uzima wao ikawataka wajiendeleze badala ya kuwaondoa na kuajiri wenye degree, ilifanya hivi sababu ilihitaji uzoefu wao kuliko degree za fresh graduates wasio na uzoefu.

Katika kujiendeleza wengi walipata ugumu sababu ya mfumo wetu wa elimu, imagine mtu mwenye miaka 40 akasome masomo ya form four? Hapo ndipo vyeti vingi vilifojiwa na serikali ilijua nn kinafanywa na wafanyakazi wake lakini haikuwa tayari kuwapoteza wakati ule.

Sasa akaja JPM ambaye alitaka kupunguza gharama za mishahara kwa sababu ya miradi ya nchi, akatumia huo mwanya, akaondoa wote ila hata jeshini inawezekana kuna makamanda wenye sifa hizi lakini hakuchagua kabisa kupagusa huko, akafanya sorting ya ambao hawawezi fanya lolote zaidi ya kulalamika.

SASA ALICHOFANYA SAMIA NI KUZIKA HII LAWAMA ISIJIRUDIE RUDIE TENA MBELENI, NASHANGAA WANAOLALAMIKA HATUA ALIYOICHUKUA.
Mkuu Tsh , Ulichoandika ndiyo ukweli wenyewe, Wala tusipindishe macho
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mkuu Tsh , Ulichoandika ndiyo ukweli wenyewe, Wala tusipindishe macho
Mkuu, serikali imekuwa ikiboresha mfumo wake wa ajira. Na mpango mzuri ulikuwa ni kuwaacha wale waliowaajiri kipindi hicho wastaafu na kuboresha zaidi mfumo ili kudhibiti udanganyifu na rushwa. Tatizo awamu ya 5 ilitaka kupunguza gharama za mishahara ili pesa za miradi zipatikane ndo ikawaondoa.
 
Mfanyakazi aliyegushi Vyeti, HUYU HANA AKILI.

ANGEKUA NA AKILI ANGEPATA UFAULU HATA WAKUUNGA UNGA

walipata Ajira zisizowastahili, miaka yote hiyo waliziba pengo la watu wanaostahili kupata nafasi hizo

Wamelipwa Mishahara , wamekopa mamilion Kwa nafasi ambazo wamezipata Kwa ujanjaujanja.

Tena sio tu kutimuliwa, WALIPASWA KUFUNGWA JELA KWA KOSA LA KUGHUSHI NYARAKA.

MAGUFULI ALIKUA SAHIHI KABISA, KUWAFUKUZA HAWA WAHUNI MAKAZINI

NA MISHAHARA WALOLIPWA MIAKA YOTE, ILIWATOSHA NA HAWASTAHILI KULIINGIZA TAIFA KWENYE MATUMIZI MABAYA YA PESA.

[emoji117]ila Kwa kua Kiongozi aliyepo ,nayeye ni wale Vichwa maji, HAKUA NA AKILI DARASANI, amesoma Kwa kuunga unga Mdogo mdogo ,kurudia rudia weeeee mpaka akafioa hapo, anaona Bora awafurahishe Vichwa maji wenzie.

Magufuli ALIKUA SAHIHI sana.
Nakupa mfano huu. Kuna madreva walikuwa kwenye ajira kuanzia miaka ya 1990s wakiwa na elimu ya STD VII. Na walipata kazi kwa kupimwa cheti, macho, kusoma na uwezo wa kuendesha. Wamaeendesha magari hadi 2004 Serikali ilipoamua kuwa Dreva wa Serikali atakuwa na elimu ya Form IV.

Dreva wa Form IV akawa anapata mshahara mkubwa kuliko wa La Saba, japo wote kazi yao ni kuendesha na isitoshe La Saba walikuwa ndiyo madreva wazuri. Hapo ndipo forgery za vyeti zikaanza, wakafoji ili wapate mshahara wa Form IV.

Je watu kama hawa kweli kulikuwa na sababu ya kuwatoa kwenye AJIRA? Yaani akili ya Magufuli ndiyo iliishia hapa.

Ni vizuri Magufuli amekufa ngoja Nchi yetu irudi kwenye utamaduni wake wa upendo na amani
 
Usema ukweli hili linashangaza na kuduwaza, kuona wahalifu wakitafutiwa mafao kwa uhalifu wao walioufanya.
 
Watalipwa lini ? Aliosema Mchengerwa Wamelipwa ni wa akina nani , Alidanganya kwa faida ya nani ? Au watalipwa baada ya uchaguzi wa 2025 ?

Nchi inashindwa kushughulikia suala la watu elfu 10 tu , Danadana kibaooooo !!

Poor Tanzania !
 
Tuache porojo!! Mchakato wenyewe nao ulikuwa FAKE na wa KIBAGUZI.. marehemu aliamua chagua wanyonge na kuwanyonga...
Mbona hakwenda vyombo vya dola!? Nijibu hili swali tuone!? Ita MATAGA wote uone kama watajibu hili!

Mama walipe pesa zao zotee...
Pumba tupu; nadhani wewe ni mmoja wa walio na vyeti feki.
 
Ingefaa waburutwe kortin kwa kufoji vyeti na nyaraka mbalmabl walizozitumia kujipatia ajira mbona sheria iko wazi kabisaaa
Wanatakiwa wapewe haki yao ili iwe fundisho kwa wengine.
Sina maslahi na upande wowote ila ningependa sheria itumike ili kuzuia forgering
 
Back
Top Bottom