Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kweli mtu afanyekazi miaka30 na boss wake anamwamini tena inawezekana boss akawa anamwachio ofisi na anafakazi vizuri kuliko hata mwenye karatasi sa Hapo nani mwenye professional ya kazi?Walitumikia taifa kwa haki ipi? Umeshawahi kuwaza ni watu wangapi wenye sifa walikosa kazi kwa ajili yao? Udanganyifu ni kosa kama makosa mengine ya jinai
Unaweza kuwa na cheti cha polisi Feki kutoka chuo cha polisi Moshi au ikawa ns cheti cha Jeshi Feki kutoka chuo cha jeshi Monduli?Tuache porojo!! Mchakato wenyewe nao ulikuwa FAKE na wa KIBAGUZI.. marehemu aliamua chagua wanyonge na kuwanyonga...
Mbona hakwenda vyombo vya dola!? Nijibu hili swali tuone!? Ita MATAGA wote uone kama watajibu hili!
Mama walipe pesa zao zotee...
Waanze kuwakamata waliowapeleka na kuwapatia hizo ajira. Hakutoka nyumbani na kuingia ofisini. Kwanza serikali ndiyo ilimshawishi akaingia kwenye hiyo dhambi.Ujue kuna waliofoji hadi digrii
Chukulia mtu form four division zero alifiji digrii ya udaktari watu wangapi watakuwa wakifa mikononi mwaka kwa kufanya kazi isiyostahili
Kiwango cha watoto kufeli kilikuwa kikubwa mno huko nyuma sababu ya hao walimu wavyeti Feki mtoto anamaliza darasa la saba akiwa hajui kusoma wala kuandika sababu huyo mwalimu chetu Feki hajawahi kanyaga chuo cha walimu
Kumlipa chochote ni uhuni alitakiwa huyo mwenye cheti feki aburuzwe mahakamani afilisiwe na kurejesha peas zote aliyowahi lipwa kama mshahara au posho
Wakianza hadi huko kwa aliyeajiri kuna hadi wazazi na ndugu watakamatwa sababu unakuta mtu ana ndugu yake ndie alimwingiza kazini kimchongo na cheti Feki cha kuchangia internet cafe!!Waanze na waliowapeleka. Hakutoka nyumbani na kuingia ofisini. Kwanza serikali ndiyo ilimshawishi akaingia kwenye hiyo dhambi.
Walitakiwa waburuzwe mahakamani. Unadhani kwanini hilo halikufanyika? Badala yake wakahukumiwa bila kufuata taratibu tulizojiwekea? Sasa usihukumu bila kusikiliza hizo kesi maana hukumu haitafanana kwa wote kama ilivyotokea.Ujue Luna waliofoji hadi digrii
Chukulia mtu form four division zero alifiji digrii ya udaktari watu wangapi watakuwa wakifa mikononi mwaka kwa kufanya kazi isiyostahili
Kiwanga cha watoto kujali kilikuwakikubwa mno huko nyuma sababu ya hao walimu wavyeti Feki mtoto anamaliza darasa la saba akiwa hajui kusoma wala kuandika sababu huyo mwalimu chetu Feki hajawahi kanyaga chuo cha walimu
Kumplipa chochote ni uhuni alitakiwa huyo mwenye cheti feki aburuzwe mahakamani afilisiwe na kurejesha peas zote aliyowahi lipwa kama mshahara au posho
Uchawi uko damuni mwako kinyama.
Umeniingizia neno "hawakustahili', Mimi nimesema WALIPWE haki zao kwa vile siyo vyeti vilivyofanya kazi bali ni akili zao na nguvu zao. Wala sikusema warudi kwenye ajiraKwa hiyo hawakustahili kufukuzwa kama vyeti ni irrelevant
YEHODAYA huelewi zoezi Zima la vyeti feki lililenga cheti gani. Ni cheti cha Form I, siyo degree Wala cheti cha Polisi. Tulia acha kutoa pumbaUnaweza kuwa na cheti cha polisi Feki kutoka chuo cha polisi Moshi au ikawa ns cheti cha Jeshi Feki kutoka chuo cha jeshi Monduli?
Like likikuwa ni zoezi la kishetani kabisa.Walitakiwa waburuzwe mahakamani. Unadhani kwanini hilo halikufanyika? Badala yake wakahukumiwa bila kufuata taratibu tulizojiwekea? Sasa usihukumu bila kusikiliza hizo kesi maana hukumu haitafanana kwa wote kama ilivyotokea.
Serikali inajua kwanini hawa watu hawakupelekwa mahakamani.
Wangepelekwa mahakamani kuna ambao kweli wangefungwa, na kuna ambao huenda wangetakiwa kulipwa fidia ya kuchafuliwa, na kuna ambao huenda wangelipa faini kiasi na si kwa kiwango cha mafao yao yote.
Sio kwamba serikali haikufahamu uwepo wa watu hawa, nia ya JPM ilikuwa ni kupunguza gharama za mishahara bila kuingia gharama ya fidia akatumia huo udhaifu wa vyeti kutimiza dhamira yake ila ukienda kwenye hadithi ya mtu mmoja mmoja kuwa kwann ana cheti chenye tatizo, mambo ni tofauti sana na hitimisho lililotolewa kwa kuwaweka woote kundi moja na kuwapa adhabu moja.
SAMIA KATUMIA BUSARA SANA KUWAPA 5% NA KULIZIKA HILI JAMBO MAANA LINGEIBUKA TU TENA WAKATI MWINGINE HUKO MBELENI.
Historia ipo wazi ya kwann hawakuburuzwa mahakamani. Serikali inajua kabisa iliajiri watu wengi sana drs la saba halafu baada ya miaka mingi katika utu uzima wao ikawataka wajiendeleze badala ya kuwaondoa na kuajiri wenye degree, ilifanya hivi sababu ilihitaji uzoefu wao kuliko degree za fresh graduates wasio na uzoefu.Like likikuwa ni zoezi la kishetani kabisa.
SITETEI KUFOJI VETI, LAKINI
Kuwatoa watumishi wenye vyeti FEKI yalikuwa ni maamuzi ya KINYAMA sana kutoka katika Nchi yetu.
Magufuli mwenyewe alimuuwa Ben Saanane kwa vile alimhoji uhalali wa THESIS yake ya PhD ambayo inasemekana ali PLAGIARIZE kutoka kwa Dr J Y Phillip ambaye alisimamiwa na Prof Buchwashaija wa UDSM kama yeye mwenyewe Magufuli.
Magufuli aliwaacha akina Makonda waliofoji vyeti vya Form IV wakiwa Wakuu wa Mikoa, au Prof Kabudi aliyekuwa Waziri wa Sheria, lakini akawafukuza MADREVA na matarishi waliofoji vyeti vya Form IV.
Asante Rais SSH kwa kuwatetea Watanzania wenzetu, waache wapate haki zao kwa vile siyo vyeti ndiyo vilikuwa vinafanya kazi bali ni nguvu zao za kimwili na akili.
TUCTA Wanataka warudishwe KAZININi Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu
Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu kuingia kazini?
Bila kusahau hasara waliyoisababisha kwa kutoa huduma hafifu kutokana na kutokuwa na maarifa yanayotakiwa
Na mungu akamalizana nae na PHD yake feki. Alilifanya kwa pupa na masifa lakini aliewaambia wakafie huko yy katangulia.Mfanyakazi aliyegushi Vyeti, HUYU HANA AKILI.
ANGEKUA NA AKILI ANGEPATA UFAULU HATA WAKUUNGA UNGA
walipata Ajira zisizowastahili, miaka yote hiyo waliziba pengo la watu wanaostahili kupata nafasi hizo
Wamelipwa Mishahara , wamekopa mamilion Kwa nafasi ambazo wamezipata Kwa ujanjaujanja.
Tena sio tu kutimuliwa, WALIPASWA KUFUNGWA JELA KWA KOSA LA KUGHUSHI NYARAKA.
MAGUFULI ALIKUA SAHIHI KABISA, KUWAFUKUZA HAWA WAHUNI MAKAZINI
NA MISHAHARA WALOLIPWA MIAKA YOTE, ILIWATOSHA NA HAWASTAHILI KULIINGIZA TAIFA KWENYE MATUMIZI MABAYA YA PESA.
[emoji117]ila Kwa kua Kiongozi aliyepo ,nayeye ni wale Vichwa maji, HAKUA NA AKILI DARASANI, amesoma Kwa kuunga unga Mdogo mdogo ,kurudia rudia weeeee mpaka akafioa hapo, anaona Bora awafurahishe Vichwa maji wenzie.
Magufuli ALIKUA SAHIHI sana.
Mkuu Tsh , Ulichoandika ndiyo ukweli wenyewe, Wala tusipindishe machoHistoria ipo wazi ya kwann hawakuburuzwa mahakamani. Serikali inajua kabisa iliajiri watu wengi sana drs la saba halafu baada ya miaka mingi katika utu uzima wao ikawataka wajiendeleze badala ya kuwaondoa na kuajiri wenye degree, ilifanya hivi sababu ilihitaji uzoefu wao kuliko degree za fresh graduates wasio na uzoefu.
Katika kujiendeleza wengi walipata ugumu sababu ya mfumo wetu wa elimu, imagine mtu mwenye miaka 40 akasome masomo ya form four? Hapo ndipo vyeti vingi vilifojiwa na serikali ilijua nn kinafanywa na wafanyakazi wake lakini haikuwa tayari kuwapoteza wakati ule.
Sasa akaja JPM ambaye alitaka kupunguza gharama za mishahara kwa sababu ya miradi ya nchi, akatumia huo mwanya, akaondoa wote ila hata jeshini inawezekana kuna makamanda wenye sifa hizi lakini hakuchagua kabisa kupagusa huko, akafanya sorting ya ambao hawawezi fanya lolote zaidi ya kulalamika.
SASA ALICHOFANYA SAMIA NI KUZIKA HII LAWAMA ISIJIRUDIE RUDIE TENA MBELENI, NASHANGAA WANAOLALAMIKA HATUA ALIYOICHUKUA.
Mkuu, serikali imekuwa ikiboresha mfumo wake wa ajira. Na mpango mzuri ulikuwa ni kuwaacha wale waliowaajiri kipindi hicho wastaafu na kuboresha zaidi mfumo ili kudhibiti udanganyifu na rushwa. Tatizo awamu ya 5 ilitaka kupunguza gharama za mishahara ili pesa za miradi zipatikane ndo ikawaondoa.Mkuu Tsh , Ulichoandika ndiyo ukweli wenyewe, Wala tusipindishe macho
Nakupa mfano huu. Kuna madreva walikuwa kwenye ajira kuanzia miaka ya 1990s wakiwa na elimu ya STD VII. Na walipata kazi kwa kupimwa cheti, macho, kusoma na uwezo wa kuendesha. Wamaeendesha magari hadi 2004 Serikali ilipoamua kuwa Dreva wa Serikali atakuwa na elimu ya Form IV.Mfanyakazi aliyegushi Vyeti, HUYU HANA AKILI.
ANGEKUA NA AKILI ANGEPATA UFAULU HATA WAKUUNGA UNGA
walipata Ajira zisizowastahili, miaka yote hiyo waliziba pengo la watu wanaostahili kupata nafasi hizo
Wamelipwa Mishahara , wamekopa mamilion Kwa nafasi ambazo wamezipata Kwa ujanjaujanja.
Tena sio tu kutimuliwa, WALIPASWA KUFUNGWA JELA KWA KOSA LA KUGHUSHI NYARAKA.
MAGUFULI ALIKUA SAHIHI KABISA, KUWAFUKUZA HAWA WAHUNI MAKAZINI
NA MISHAHARA WALOLIPWA MIAKA YOTE, ILIWATOSHA NA HAWASTAHILI KULIINGIZA TAIFA KWENYE MATUMIZI MABAYA YA PESA.
[emoji117]ila Kwa kua Kiongozi aliyepo ,nayeye ni wale Vichwa maji, HAKUA NA AKILI DARASANI, amesoma Kwa kuunga unga Mdogo mdogo ,kurudia rudia weeeee mpaka akafioa hapo, anaona Bora awafurahishe Vichwa maji wenzie.
Magufuli ALIKUA SAHIHI sana.
Pumba tupu; nadhani wewe ni mmoja wa walio na vyeti feki.Tuache porojo!! Mchakato wenyewe nao ulikuwa FAKE na wa KIBAGUZI.. marehemu aliamua chagua wanyonge na kuwanyonga...
Mbona hakwenda vyombo vya dola!? Nijibu hili swali tuone!? Ita MATAGA wote uone kama watajibu hili!
Mama walipe pesa zao zotee...