Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kwani hawakufanya kazi? Hawakukatwa makato wakati wakifanya kazi?Umefoji vyeti. Umetumia laghai kazini na kwenye biashara. Hujafungwa. Bado wataka kulipwa?! Au walipwe?!
Bongo kweli banana republic…
Washitakiwe wale waliotoa ajira !! Haiwezekani umfanyishe MTU kazi miaka mingi baadaye umfukuze kazi na usimlipe stahiki zake !! Ni kwanini hukuvichunguza hivyo vyeti kabla hujawaajiri ??Umefoji vyeti. Umetumia laghai kazini na kwenye biashara. Hujafungwa. Bado wataka kulipwa?! Au walipwe?!
Bongo kweli banana republic…
Kwanza ni kitu cha ajabu sana kwani cheti ndicho kinachofanya kazi au ni MTU ndiye anayefanya kazi ?? Kama angekuwa haimudu ile kazi huyo MTU asingevumiliwa kazini muda wote huo !!Je ungekuwa wewe ungeongea hivi? Je kilichofanya kazi muda wote ni cheti au huyo mtumishi? je unauhakika gani katika ndugu au jamaa zako hakuna aliyepitia haya? maisha ni kuhangaika mtu hajaiba amehangaika kutafuta maisha wewe unakuja na kauli hii.Mama yupo sahihi na Mungu tunaomba amlipe mema.Fikiria kuna waliokutibu hospitali, somesha, kukuhudumia kwa njia yoyote ile.
Serikali yenyewe hii iko madarakani kwa kutenda uhalifu wakati wa uchaguzi, kwanini wawanyime haki yao wahalifu wenzao? Magu aliyeondoa wenzake kwa vyeti fake yeye mwenyewe alikuwa na PhD fake.Ni Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu
Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu kuingia kazini?
Nani aliwaingiza hao fake?? serikali iliwahitaji ikapiga kimya kwa awamu zote hizo??? je walijiingiza wao wenyewe bila serikali kuwafanyia tathmini?? hawakuhakikiwa wizara husika kabla??..... hivyo vyeti si viko computerised au mie ndo sielewi!!Kwa Haki vipi na cheti FEKI?
Hukana vyeti feki pale ila kutumia cheti cha mtu mwingine kusomea, manake wale waliokuwa kwenye ajira taasisi za binafsi wameendelea kupetaWasilipwe vyeti feki ni wezi,
Magufuli type wamenuna!! si waliwatumikia lakini?Pia hongera kwa kulipa mafisadi bilioni 230 za Escrow
Kwanza kabisa, hatujui hata kama tuhuma ni za kweli, hatujui makubaliano ya ajira yalikuwaje.Ni kama mtu anavyoweza kwenda dukani na hela feki na mwenye duka asimgundue, huwezi kumlaumu victim
Mayelo!!Majizi yanalipwa!!
Kiboo ya ndesii!!!
Kama alifoji na akaitumikia nchi kwa uaminifu sioni kosa! kwa kuwa alijiendeleza kwa manufaa ya kusaidia watu!! Mataifa makubwa mpaka leo wanaibiana teknolojia! za kila kitu na mwizi unapewa Reward!!Mamá Samia hakupaswa kabisa sio tu kulitamka bali hata kulifikiria hili swala
Maana hawa wa vyeti feki wana hatia ya kuidanganya Serikali na kupatiwa mishahara isivyo halali
Jpm alikuwa na huruma ila kiutaratibu walitakiwa kufunguliwa mashtaka ya kufoji na kujipatia pesa isivyo halali
Ukipita na madawa ya kulevya uwanja wa ndege ... eti kwa sababu ulikaguliwa ndio hayo madawa yanakua halali?Nani aliwaingiza hao fake?? serikali iliwahitaji ikapiga kimya kwa awamu zote hizo??? je walijiingiza wao wenyewe bila serikali kuwafanyia tathmini?? hawakuhakikiwa wizara husika kabla??..... hivyo vyeti si viko computerised au mie ndo sielewi!!
Je Baraza la mitihani waliwajibishwa au walijitengenezea ivo vyeti??
Unafanyaje kazi ambayo huijui?Ila walitumia muda wao kufanya kazi
Pair za viatu umetuma laki mbili uletewe adidas Og ukaletewa famba Adbidab ... ukavivaa haiondoi uhalisia kwamba mzigo fekiWakati anatumika alitumika kifekifeki!?
Kwa sababu majambazi wanatumia muda, akili na nguvu kuiba wakikamatwa walipwe kwanza kwa sababu wametumia efforts?Ila walitumia muda wao kufanya kazi
Mi sio mshamba kama wewe mazafaka.We mwenyewe feki ndo Mana huna Hana laki mfukoni mwako
Uhakiki hauna mwisho ni kama ukaguzi tu bandarini kuna wanaopitisha meno ya Tembo hapohapo na kuna wanaokamatwa... arobaini yao ilikua awamu ya tano ...Hata hivyo jinai haifi.Kwani aliyewaajiri si aliwahakiki kwa vyeti na ufanisi wa kazi na akaridhika nao? Au waliizuia serikali kuhakiki taarifa zao?