Rais Samia aagiza walioondolewa na Hayati Magufuli kwa vyeti feki walipwe

Rais Samia aagiza walioondolewa na Hayati Magufuli kwa vyeti feki walipwe

Je ungekuwa wewe ungeongea hivi? Je kilichofanya kazi muda wote ni cheti au huyo mtumishi? je unauhakika gani katika ndugu au jamaa zako hakuna aliyepitia haya? maisha ni kuhangaika mtu hajaiba amehangaika kutafuta maisha wewe unakuja na kauli hii.Mama yupo sahihi na Mungu tunaomba amlipe mema.Fikiria kuna waliokutibu hospitali, somesha, kukuhudumia kwa njia yoyote ile.
Acha ubinafsi unajifanya uko-concern na wenye vyeti feki vipi kuhusu waliopewa huduma na hawa watu wasiosomea unajua waliathirika kwa kiasi gani? Tamaa yako ya pesa isikufanye uingize watu hatarini ...KASOME huwezi tafuta kazi zipo nyingi
 
Unafanyaje kazi ambayo huijui?

Una uhakika hawaijui??? ..unaelewa experiential learning???..wangekuwa hawaijui wasingezalisha,kampuni zingekufa kibudu...natural death....Mama Samia hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
WaTanzania sijui nani alieturoga? Yaani mtu anajifanya hajui kosa la kughushi cheti ni kama uhaini? Mana watu/vijana wamekamua desa za kutosha lakin wanasota kitaa bado kilaza mmoja anasema mghushi cheti alitumikia kwa haki? Haki ipi?
Yanayo kamuaga desa mara nyingi machoyoooo!!! yana hatamia paper!! kiroho mbaya lkn kazi dorororrrrrr!!oooo!! lkn wale usawa wa wkt kiulainiiiiii
 
Ukipita na madawa ya kulevya uwanja wa ndege ... eti kwa sababu ulikaguliwa ndio hayo madawa yanakua halali?
Ndiyo ni halali yangu kwakuwa nitauza nipate hela najenga majumbana kuwasaidia maskini!! km yangekuwa si halali wangenikamata nayo!! lkn nimepita nayo salalma ni halali yangu ndiyo! nitauza yangu yatatimia!!

kwani napiata nayo ili iweje??? nikauze nipate hela niishi vizuri baaasi
 
Shetani aliwahi kumuadhibu nani? Tuanzie hapa mana tunaongea vitu kwa hisia tu.
Raisi wa awamu ya 5(RIP) aliposema anataka baadhi ya watu waishi kama mashetani alikuwa ameyaona wapi hayo mashetani yanavyoishi maana naona unataka kutumia neno shetani kuanzisha mdahalo.

Ukiadhibu kwa kumyang'anya mtu fedha bila kufuata utaratibu tuliojiwekea ili kiwango cha adhabu kilinganishwe na kosa kuhakikisha haki inapatikana unakuwa hujatumia ubinadamu, kinyume cha ubinadamu ni ushetani au Unyama. Ndo maana nikasema tusitoe adhabu kama mashetani.
 
Una uhakika hawaijui??? ..unaelewa experiential learning???..wangekuwa hawaijui wasingezalisha,kampuni zingekufa kibudu...natural death....Mama Samia hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hivi unajua kuna watu ofisi za serikali hawafanyi kazi totally? Kuna jamaa ni mlevi wa kupindukia na kama dish limeyumba jamaa akiwa ofisini ni kulala na kusikiliza vipindi vya radio hata kuchapa barua hawezi walishamtoa kwenye activity lakini mshahara na posho anapokea kama kawaida unafikiri anazalisha nini huyu? Serikalini hata ukiwa na zero output utasurvive tu.hapa issue ni kuomba busara itumike kumaliza suala lao ila sio kwa kuwatetea kirahisi hivyo.
 
Kisheria si sawa na ilitakiwa wawe ndani wanatumikia vifungo
Kisheria na Mwizi wa kura pia yumo!! Phd uwe nayo wewe tu!! akipata mwingine amafoji!! wakati kiingereza cha kuongea UNGA hukijui au basi angesema ameshahu..... Mungu alisema ''Usiue'' Ben saa nane yuko wapi?

Anzoli Gwanda ana watoto pia yuko wapi??!! wana uchungu wale!! vile vitoto ninavyoviona vitakuwa Rais wa kesho!! lazima patachimbika mbivu na mbichi ......Jamani Tundu Lisu haki zake zimepotea mbaya....sasa kwanini Rais uwe salama????

Uwanja wa ndege kwa nini pale??/ korosho ziko wapi jamani wakulima waleee!! walala hoi kweli??? kunameengi mengi!!...

Yaani hiyo yako sheria inaangalia walala hoi tuuu!!........ hapana aisee kwa nini hata wewe ''saint Anne'' usife sasa?? ...... Vyeti fake ni uongo mtakatifuu unao fanana na ukweli!....Daktari, mwalimu jamani heee!!
 
aliposema anataka baadhi ya watu waishi kama mashetani alikuwa ameyaona wapi hayo mashetani yanavyoishi maana naona unataka kutumia neno shetani kuanzisha mdahalo.
Kumbe wewe Mkuu hujui !! Mpaka wewe Tsh. unamuona hivi!!! huyu hapa jiwe kafa!! jua kabisa alisha kufa kitamboooooo!! ktk ulimwengu wa Roho, sasa lile ulilo kuwa unaliona siyo Magufuli halisi yule!!

Lilikuwa jini Makata limevaa mji-sura wa jiwe!! ndo maana lilikuwa halichoki kufanya kazi linalala na mafaili kitandani! huyo ni mtu kweli?? ...likakataa safari za nje make huko nako lingeumbuliwa huko! si unajua majini hayavukagi Bahari??

Na mashabiki wengi wa jiwe humu ni majini watu!,,, usiwaamini saaana!...humu anaingia mtu yeyote tu hata kutoka kuzimu.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kama ni haki yao basi walipwe tu.
Hata waliodhulumiwa ushindi wao kwenye uchaguzi 2020 walipwe haki zao ikiwemo kupewa ushindi waliodhulumiwa.
Hata Tundu Lissu alipwe haki zake zote za matibabu na kuvuliwa ubunge wake kihuni.

Kama kuna mtu kanyang'anywa haki zake pasipo halali ni vyema akarudishiwa haki zake. Kila mtu apewe haki zake.

Na kama kuna mtu aliiba haki za mtu mwingine au alilipwa haki isiyostahili ni vyema haki hiyo akanyang'anywa na akalazimishwa kuiresha kule alikoiiba. Mfano ni wale wabunge wa Covid 19. Wale ni wezi na malaya walioiba haki za kisiasa, wachukuliwe hatua mara moja.
Wale mnawaita covid ni wabunge Halali shida Iko kwa mnyika na mbowe mnyika alipeleka majina tume bila kumshilikiaha mbowe sasa mbowe akagoma na mnyika kishasaini waende hapo kosa la nani? Na kama barua ya kuwapekeka ilifojiwa kwanini wasishitaki miaka inaenda chadema waache uhuni hakuna mtu mjinga wa kuwaelewa kwa hili
 
Kumbe wewe Mkuu hujui !! Mpaka wewe Tsh. unamuona hivi!!! huyu hapa jiwe kafa!! jua kabisa alisha kufa kitamboooooo!! ktk ulimwengu wa Roho, sasa lile ulilo kuwa unaliona siyo Magufuli halisi yule!!

Lilikuwa jini Makata limevaa mji-sura wa jiwe!! ndo maana lilikuwa halichoki kufanya kazi linalala na mafaili kitandani! huyo ni mtu kweli?? ...likakataa safari za nje make huko nako lingeumbuliwa huko! si unajua majini hayavukagi Bahari??

Na mashabiki wengi wa jiwe humu ni majini watu!,,, usiwaamini saaana!...humu anaingia mtu yeyote tu hata kutoka kuzimu.
Hahaha. Imebidi nicheke tu.
 
Kwa Haki vipi na cheti FEKI?
Kwahiyo wakulaumiwa ni wao au uzembee wa serikali?, Yaani mtu umwajiri afanye kazi Zaidi ya miaka 20+ afu uje ufukuze et ana cheki feki? Afu usimpe stahiki zake?. Hizi roho mbaya nyie watu mnazitoa wapi? Hata magufuli mwenye alikuwa na PhD fake....
 
Common sense ukijumlisha na sheria unadhani nani wakulaumiwa na nani mwenye makosa
 
Back
Top Bottom