Rais Samia aagiza wote waliotajwa kwa wizi wa Fedha za Umma kwenye Ripoti ya CAG washughulikiwe

Kulikuwa na haja gani kutoa tamko hadharani?

Ripoti imewaweka wazi, yeye kama Rais angewaita kama wakuu ama wa Takukuru au Polisi, kuanza kushughulika na ukamatwaji wa wahusika...
Ni danganya toto tu hio hamna kitu
 
Kasoro Sabaya
Kwenye wezi Magufuli alikuwa hafikirii mara mbili wakina Singa na Rugemalila walidakwa kama vifaranga tu, ila kwa kuwa ashatoa tamko tutegemee kamatakamata kabla ya mwaka huu kuisha.
 
Hivi Kakoko yuko wapi?Hawa wanasiasa sio wakuwaamini.Walishatuona sie wajinga?Hiyo report ya CAG kila mwaka Kuna shida,hakuna chochote cha maana kimefanyiwa kazi.Katiba mpya muhimu
 
Natamani hili tamko lisiwe la kisiasa bali lipewe uzito
 
Safi Sana mh.Rais lala nao mbele hao wapuuzi.
 
Awamu iliyopita wamechezeq sana kodi zetu hamna namna wachukulien hatua tu
 
Haha haha yaani paragraph yako ya mwisho imenichekesha sana.

CCM ndio chama cha majizi. Kuleana na kuchekeana na kidekezana ndio sera ya chama
 
Angekuwa kama wanavyotaka kuaminisha watu, yeye mwenyewe, Magufuli angejiweka jela!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…