Rais Samia aahidi kupandisha mishahara watumishi wa serikali

Rais Samia aahidi kupandisha mishahara watumishi wa serikali

Maana yake wage bill ya mwaka ujao kuanzia July

IMG_2164.jpg

Tusubiri july mkuu
 
Huko Kenya ni mwaka wa Uchaguzi na kuna msuguano sana.Imebidi Rais Kenyatta aongeze mishahara mwezi Mei ili kupunguza nguvu za Kambi ya Ruto kwenye uchaguzi wa Augusti mwaka huu.
 
Huko Kenya ni mwaka wa Uchaguzi na kuna msuguano sana.Imebidi Rais Kenyatta aongeze mshahara mwezi Mei ili kupunguza nguvu za Kambi ya Ruto kwenye uchaguzi wa Augusti mwaka huu.
Kuna maymos fulani hakukuwa na uchaguzi na aliongeza huku magu akikomaa na vyeti feki
 
Huko Kenya ni mwaka wa Uchaguzi na kuna msuguano sana.Imebidi Rais Kenyatta aongeze mshahara mwezi Mei ili kupunguza nguvu za Kambi ya Ruto kwenye uchaguzi wa Augusti mwaka huu.
Mwaka 2020 kwenye May mosi hapa Tz hakukuwa na nyongeza yoyote ya mshahara na ulikuwa mwaka wa uchaguzi. Hapo vipi?
 
Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 01|05|2022 ametangaza neema kwa wafanyakazi,

Mtakumbuka ni miaka sita sasa Wafanyakazi wa Serikali ya hawakupandishwa kazi significantly,

Rais Samia alipokuwa Jijini Mbeya katika Mei Mosi yake ya kwanza aliwaahidi Wafanyakazi angewaongeza mishahara mwaka 2022,

Hatimaye Rais huyu anayetajwa kuwa msikivu zaidi kuwahi kutokea hapa Tanzania ameongeza mishahara kwa kiwango kitakachotolewa hapo baadae

Mtakumbuka TUCTA walipendekeza kuwa kima cha chini kiwe TZS 1,010,000,

Hongera Rais Samia, Hongera Wafanyakazi, Hongera Tanzania,

Kazi iendelee

Alichosema Rais Samia;
“Lile jambo letu lipo. Ndugu zangu jambo letu lipo ila sio kwa kiwango kilichosemwa na TUCTA kwa sababu mnajua halo ya uchumi wa nchi yetu na hali ya uchumi wa dunia. Hali si nzuri sana uchumi wetu ulishuka chini mno. Tumejitahidi sana na kwa sababu nilishatoa ahadi mwaka jana, kwa hiyo nimeagiza jambo liwepo, mahesabu yanaendelea, tutajua lipo kwa kiasi gani. Lakini jambo lipo”
Hapo wataongezezwa 20000/= itakuwa ni ziro
 
Kwa watumishi haji tokea Rais mwingine kama huyu... Hakika ameuthamini sana utumishi wa uma. Mungu ambariki.
Ni bora sasa hivi umegundua kuwa nyie walimu sio watumishi wa umma
 
Mama mama mama, mama huyo, mama mama huyo...mama mama huyo mamaaa
 
July huwa ni siku ya mazishi tu lakini kifo huwa kinatangazwa Mei Mosi. Kama Samia hajasema exactly figure yoyote ya nyongeza ya mishahara hiyo maana yake hakuna nyongeza ya mishahara na mwezi wa saba utafika bila chochote kuongezeka. Mjifunze kukua kiakili.
We ndo huna akili.
Ungekua umesoma ukaajiriwa ungejua mama anataka nini july
 
Back
Top Bottom