Rais Samia aahidi kupandisha mishahara watumishi wa serikali

Wafanyakazi washakuwa kama mazuzu, wamepewa ahadi hewa wako wanapongeza

Mwaka uliopita alisema ataongeza, mwaka huu anasema liko jikoni na haijulikani kwA kiwango gani? Bado watu wanashangilia kama sio uzuzu ni nini?
 
July huwa ni siku ya mazishi tu lakini kifo huwa kinatangazwa Mei Mosi. Kama Samia hajasema exactly figure yoyote ya nyongeza ya mishahara hiyo maana yake hakuna nyongeza ya mishahara na mwezi wa saba utafika bila chochote kuongezeka. Mjifunze kukua kiakili.
Acha hiz
Bora hajataja ongezeko hadharani. Sisi tunajua mshahara wa mwezi wa saba utaongezeka.
 
Huko Kenya ni mwaka wa Uchaguzi na kuna msuguano sana.Imebidi Rais Kenyatta aongeze mshahara mwezi Mei ili kupunguza nguvu za Kambi ya Ruto kwenye uchaguzi wa Augusti mwaka huu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Wafanyakazi washakuwa kama mazuzu, wamepewa ahadi hewa wako wanapongeza

Mwaka uliopita alisema ataongeza, mwaka huu anasema liko jikoni na haijulikani kwA kiwango gani? Bado watu wanashangilia kama sio uzuzu ni nini?
Na Wewe ambaye Ni JUHA unafuatilia na kuumia kwa Mambo yasiyo kuhusu.
 
Mwaka 2020 kwenye May mosi hapa Tz hakukuwa na nyongeza yoyote ya mshahara na ulikuwa mwaka wa uchaguzi. Hapo vipi?
Hakukuwa na upinzani wa kutosha na kwa staili ya utawala uliokuwepo kulikuwa hakuna haja.
Fuatilia siasa za Kenya uone tofauti.Kenyatta lazima atumie kila mbinu ili Raila ashinde Kenyatta anaumuunga mkono Raila dhidi ya Ruto.
 
July huwa ni siku ya mazishi tu lakini kifo huwa kinatangazwa Mei Mosi. Kama Samia hajasema exactly figure yoyote ya nyongeza ya mishahara hiyo maana yake hakuna nyongeza ya mishahara na mwezi wa saba utafika bila chochote kuongezeka. Mjifunze kukua kiakili.

Unamwambia nani sasa?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hesabu inaweza kufanywa kwa miaka mitatu! Tuendelee kusuburi, sisi ni wa hapahapa
 
Lakini hizo hesabu si zingeweza kupigwa kabla ya mei mosi na jibu likapatikana?
Hesabu za nini?Wakati ulikana kwamba hajasema kuhusu kuongeza mishahara?
Una roho ya kwanini?Wafanyakazi wakiongezewa mishahara inasaidia jamii yote, kwani purchasing power ikiongezeka itasaidia wafanyabiashara na mzunguko mzima wa pesa.
 
July huwa ni siku ya mazishi tu lakini kifo huwa kinatangazwa Mei Mosi. Kama Samia hajasema exactly figure yoyote ya nyongeza ya mishahara hiyo maana yake hakuna nyongeza ya mishahara na mwezi wa saba utafika bila chochote kuongezeka. Mjifunze kukua kiakili.
CDm hamnaga zuri! Unataka aweke wazi vitu vipande?
 
Na Wewe ambaye Ni JUHA unafuatilia na kuumia kwa Mambo yasiyo kuhusu.
Mazuzu nyie kwanza msiongezewe mishahara maana hata Kazi mnafanya kizuzu hakuna jipya zaidi ya wizi na uzuzu hamna cha maana
 
IMG_2971zg.jpg
 
Hesabu za nini?Wakati ulikana kwamba hajasema kuhusu kuongeza mishahara?
Una roho ya kwanini?Wafanyakazi wakiongezewa mishahara inasaidia jamii yote, kwani purchasing power ikiongezeka itasaidia wafanyabiashara na mzunguko mzima wa pesa.
Ni wapi raisi alisema ataongeza? Raisi kasema watapiga hesabu kuona kaamaa inafaa, Ila hajatamka wataongeza.
Mm swali langu kwako hizo hesabu si zingeweza kupigwa kabla ya leo?
 
Mwaka umepita hesabu haijapigwa daaah ni porojo ya Hali ya juu
 
CDm hamnaga zuri! Unataka aweke wazi vitu vipande?
Ila alivyosema kila kitu kitapanda, hapo alikua hataki vitu vipande?
Zaidi ya mara mbili alisema tujiandae kila kitu kitapanda
 
Ni wapi raisi alisema ataongeza? Raisi kasema watapiga hesabu kuona kaamaa inafaa, Ila hajatamka wataongeza.
Mm swali langu kwako hizo hesabu si zingeweza kupigwa kabla ya leo?
Wewe jamaa una vax kwenye masikio?Amesema lile jambo letu lipo lakini halitakuwa kwenye kiwango kilichopendekezwa na TUCTA. TUCTA wamependekeza kima cha chini kiwe milioni moja.Rais Samia amesema hakitakuwa kwenye kiwango hicho kwa sababu ya changamoto za uchumi.Mwalimu wako alikuwa na kazi sana kukufundisha uelewe.
 
Raisi kutamka ataongeza mshahara nalo ni jambo la siri? Mpaka tuanze kutafsiri kauli zake either anamaanisha hivi au vile?
 
Back
Top Bottom