Rais Samia aahidi kupandisha mishahara watumishi wa serikali

Rais Samia aahidi kupandisha mishahara watumishi wa serikali

Jambo letu ni kitu gani?

Yan hata Rais mwenyewe anaona aibu kutamka neno "nyongeza ya mishahara"

Nchi hii imeharibiwa sana na CCM
Lakini hatutakuja kuwapa nchi chaggadema, piga ua garagaza.

Bora tuwape CHAUMA
 
Raisi kutamka ataongeza mshahara nalo ni jambo la siri? Mpaka tuanze kutafsiri kauli zake either anamaanisha hivi au vile?
Wewe huna chochote hapo unataka kujua nini wakati wewe mchimba vyoo mtaani.
Sisi linatuhusu hili na tumekua tunatumia msemo huo.
Afterall leo ni sikuukuu ya wafanyakazi wewe mchimba vyoo haikuhusu
 
Kuongeza mshahara ni neno gumu kiasi gani? Unataka kusema raisi aanaona aibu kusema mshahara utaongezeka?

🤓Jamaa hujui hata MISIMU?au REJESTA?
mama katumia maneno kulingana na mazingira,na ndio maana watu wameshangilia Sana.
 
Watumishi vichwa maji mno wanaona kila kitu ni hisani ya Rais! Acha ikae hivyo tu!

Screenshot_20220501-144837_Samsung Internet.jpg

 
Piga kazi mama tumecheleweshwa mnooo kama taifa. Cheki ss kumbe zaidi ya miaka 6 wanateseka
 
Back
Top Bottom