data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Suguuuu 🤣🤣🤣😂😂Watu na viongozi wao vs Mapaka na viongozi wao:
💪💪💪👇
View attachment 2207426
🐒🐒🐒👇
View attachment 2207428
View attachment 2207431
View attachment 2207433
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suguuuu 🤣🤣🤣😂😂Watu na viongozi wao vs Mapaka na viongozi wao:
💪💪💪👇
View attachment 2207426
🐒🐒🐒👇
View attachment 2207428
View attachment 2207431
View attachment 2207433
Toka mwaka jana alikua hajakamilisha utafiti mpaka sasa?View attachment 2207381
===
Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 01|05|2022 ambayo ni siku ya "Mei Mosi "
Rais wetu ametangaza neema kwa wafanyakazi wa Serikali anayoiongoza,
Mtakumbuka ni miaka sita sasa Wafanyakazi wa Serikali ya Tanzania hawakupandishwa mishahara significantly,
Tunakumbuka, Rais Samia alipokuwa Jijini Mbeya katika Mei Mosi yake ya kwanza ya 01|05|2021
Rais Samia aliwaahidi Wafanyakazi angewaongeza mishahara mwaka huu wa 2022,
Hatimaye Rais huyu anayetajwa kuwa msikivu zaidi kuwahi kutokea hapa Tanzania ameongeza mishahara kwa kiwango kitakachotolewa hapo baadae
Mtakumbuka TUCTA walipendekeza kuwa kima cha chini kiwe TZS 1,010,000,
Hongera Rais Samia, Hongera Wafanyakazi, Hongera Tanzania,Hongera CCM,
Alichosema Rais Samia;
===
“Lile jambo letu lipo. Ndugu zangu jambo letu lipo ila sio kwa kiwango kilichosemwa na TUCTA kwa sababu mnajua hali ya uchumi wa nchi yetu na hali ya uchumi wa dunia. Hali si nzuri sana uchumi wetu ulishuka chini mno. "
"Tumejitahidi sana na kwa sababu nilishatoa ahadi mwaka jana, kwa hiyo nimeagiza jambo liwepo, mahesabu yanaendelea, tutajua lipo kwa kiasi gani. Lakini jambo lipo”
===
Lazima tuelewe kutaja ongezeko la mishahara ya watu hadharani ni kuchochea mfumuko wa bei nchini,Sasa tukachape kazi kwa bidii,
JiweSuguuuu 🤣🤣🤣😂😂
Hujaelewa wapi?Ni wapi amesema ataongeza mshahara?
4%Ameongeza asilimia ngap?
Akina nani?!Hao wanaoiba na kufuja fedha za umma wanazitoa wapi kama uchumi wetu ni mbaya
Wako kwa CAGAkina nani?!
CAG pia ni mali ya CCM,Wako kwa CAG
Mama huyu ni msikivu sana, Hongera wafanyakazi wa Tanzania
Ni vile huelewi tu mkuu,Uhuru Kenyatta sio msikivu lakini Kapandisha mshahara maradufu hadharani. Nyie bakini na mbwembwe za kijinga.
Apo Mama Atakuwa Ameupiga Kama Nkane [emoji1787]Kuna hatari ya kuongezewa BUKU
Pesa itaongezwa yakufaa kabisa,Apo Mama Atakuwa Ameupiga Kama Nkane [emoji1787]
Hapo Jiwe lingesema mshahara siongezi na mwende mkakae na mavi yenu nyumbani.
View attachment 2207268
Tusubiri july mkuu
Lazima tuelewe kutaja ongezeko la mishahara ya watu hadharani ni kuchochea mfumuko wa bei nchini,Sasa tukachape kazi kwa bidii,
Sielewi nini kwa mfano?Ni vile huelewi tu mkuu,