Rais Samia aahidi kupandisha mishahara watumishi wa serikali

Huko Kenya ni mwaka wa Uchaguzi na kuna msuguano sana.Imebidi Rais Kenyatta aongeze mishahara mwezi Mei ili kupunguza nguvu za Kambi ya Ruto kwenye uchaguzi wa Augusti mwaka huu.
 
Huko Kenya ni mwaka wa Uchaguzi na kuna msuguano sana.Imebidi Rais Kenyatta aongeze mshahara mwezi Mei ili kupunguza nguvu za Kambi ya Ruto kwenye uchaguzi wa Augusti mwaka huu.
Kuna maymos fulani hakukuwa na uchaguzi na aliongeza huku magu akikomaa na vyeti feki
 
Huko Kenya ni mwaka wa Uchaguzi na kuna msuguano sana.Imebidi Rais Kenyatta aongeze mshahara mwezi Mei ili kupunguza nguvu za Kambi ya Ruto kwenye uchaguzi wa Augusti mwaka huu.
Mwaka 2020 kwenye May mosi hapa Tz hakukuwa na nyongeza yoyote ya mshahara na ulikuwa mwaka wa uchaguzi. Hapo vipi?
 
Hapo wataongezezwa 20000/= itakuwa ni ziro
 
Kwa watumishi haji tokea Rais mwingine kama huyu... Hakika ameuthamini sana utumishi wa uma. Mungu ambariki.
Ni bora sasa hivi umegundua kuwa nyie walimu sio watumishi wa umma
 
Mama mama mama, mama huyo, mama mama huyo...mama mama huyo mamaaa
 
We ndo huna akili.
Ungekua umesoma ukaajiriwa ungejua mama anataka nini july
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…