tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,016
- 1,946
Wanao mpongeza rais kuwa kahaidi kuongeza mshahara naona kama vile ni majuha tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuni tu,Suguuuu 🤣🤣🤣😂😂
MBONA CCM INASEMA MISHAHARA IMEPANDISHWA ?View attachment 2207381
===
Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 01|05|2022 ambayo ni siku ya "Mei Mosi "
Rais wetu ametangaza neema kwa wafanyakazi wa Serikali anayoiongoza,
Mtakumbuka ni miaka sita sasa Wafanyakazi wa Serikali ya Tanzania hawakupandishwa mishahara significantly,
Tunakumbuka, Rais Samia alipokuwa Jijini Mbeya katika Mei Mosi yake ya kwanza ya 01|05|2021
Rais Samia aliwaahidi Wafanyakazi angewaongeza mishahara mwaka huu wa 2022,
Hatimaye Rais huyu anayetajwa kuwa msikivu zaidi kuwahi kutokea hapa Tanzania ameongeza mishahara kwa kiwango kitakachotolewa hapo baadae
Mtakumbuka TUCTA walipendekeza kuwa kima cha chini kiwe TZS 1,010,000,
Hongera Rais Samia, Hongera Wafanyakazi, Hongera Tanzania,Hongera CCM,
Alichosema Rais Samia;
===
“Lile jambo letu lipo. Ndugu zangu jambo letu lipo ila sio kwa kiwango kilichosemwa na TUCTA kwa sababu mnajua hali ya uchumi wa nchi yetu na hali ya uchumi wa dunia. Hali si nzuri sana uchumi wetu ulishuka chini mno. "
"Tumejitahidi sana na kwa sababu nilishatoa ahadi mwaka jana, kwa hiyo nimeagiza jambo liwepo, mahesabu yanaendelea, tutajua lipo kwa kiasi gani. Lakini jambo lipo”
===
Lazima tuelewe kutaja ongezeko la mishahara ya watu hadharani ni kuchochea mfumuko wa bei nchini,Sasa tukachape kazi kwa bidii,
Miaka ya nyuma wakati nawinda sungura wakati wengine wanafukuza kule wengine tulikuwa tunapinga mahala amcpo tunajuwa atapita lakini laah!! Ghafla alikuwa anatupiga chenga tulipata tabu sana.View attachment 2207381
===
Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 01|05|2022 ambayo ni siku ya "Mei Mosi "
Rais wetu ametangaza neema kwa wafanyakazi wa Serikali anayoiongoza,
Mtakumbuka ni miaka sita sasa Wafanyakazi wa Serikali ya Tanzania hawakupandishwa mishahara significantly,
Tunakumbuka, Rais Samia alipokuwa Jijini Mbeya katika Mei Mosi yake ya kwanza ya 01|05|2021
Rais Samia aliwaahidi Wafanyakazi angewaongeza mishahara mwaka huu wa 2022,
Hatimaye Rais huyu anayetajwa kuwa msikivu zaidi kuwahi kutokea hapa Tanzania ameongeza mishahara kwa kiwango kitakachotolewa hapo baadae
Mtakumbuka TUCTA walipendekeza kuwa kima cha chini kiwe TZS 1,010,000,
Hongera Rais Samia, Hongera Wafanyakazi, Hongera Tanzania,Hongera CCM,
Alichosema Rais Samia;
===
“Lile jambo letu lipo. Ndugu zangu jambo letu lipo ila sio kwa kiwango kilichosemwa na TUCTA kwa sababu mnajua hali ya uchumi wa nchi yetu na hali ya uchumi wa dunia. Hali si nzuri sana uchumi wetu ulishuka chini mno. "
"Tumejitahidi sana na kwa sababu nilishatoa ahadi mwaka jana, kwa hiyo nimeagiza jambo liwepo, mahesabu yanaendelea, tutajua lipo kwa kiasi gani. Lakini jambo lipo”
===
Lazima tuelewe kutaja ongezeko la mishahara ya watu hadharani ni kuchochea mfumuko wa bei nchini,Sasa tukachape kazi kwa bidii,
😍😍The Iron Lady Of Africa
So kima Cha chini kikipanda kima Cha juu kinabaki vile vileKaongeza kima cha chini tu,
Ndio kabisa,Mama huyu ni msikivu sana, Hongera wafanyakazi wa Tanzania
Kazi nzuri,Hongera Rais leo wafanyakazi wameondoka na tabasamuuuuu
subiri sal slip,Ameongeza asilimia ngap?
Mishahara juu kabisa, tuendelee kuchapa kazi,View attachment 2207381
===
Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 01|05|2022 ambayo ni siku ya "Mei Mosi "
Rais wetu ametangaza neema kwa wafanyakazi wa Serikali anayoiongoza,
Mtakumbuka ni miaka sita sasa Wafanyakazi wa Serikali ya Tanzania hawakupandishwa mishahara significantly,
Tunakumbuka, Rais Samia alipokuwa Jijini Mbeya katika Mei Mosi yake ya kwanza ya 01|05|2021
Rais Samia aliwaahidi Wafanyakazi angewaongeza mishahara mwaka huu wa 2022,
Hatimaye Rais huyu anayetajwa kuwa msikivu zaidi kuwahi kutokea hapa Tanzania ameongeza mishahara kwa kiwango kitakachotolewa hapo baadae
Mtakumbuka TUCTA walipendekeza kuwa kima cha chini kiwe TZS 1,010,000,
Hongera Rais Samia, Hongera Wafanyakazi, Hongera Tanzania,Hongera CCM,
Alichosema Rais Samia;
===
“Lile jambo letu lipo. Ndugu zangu jambo letu lipo ila sio kwa kiwango kilichosemwa na TUCTA kwa sababu mnajua hali ya uchumi wa nchi yetu na hali ya uchumi wa dunia. Hali si nzuri sana uchumi wetu ulishuka chini mno. "
"Tumejitahidi sana na kwa sababu nilishatoa ahadi mwaka jana, kwa hiyo nimeagiza jambo liwepo, mahesabu yanaendelea, tutajua lipo kwa kiasi gani. Lakini jambo lipo”
===
Lazima tuelewe kutaja ongezeko la mishahara ya watu hadharani ni kuchochea mfumuko wa bei nchini,Sasa tukachape kazi kwa bidii,
WIZARA YA UTUMISHI KUTIMIZA AGIZO LA RAIS KWA WAKATI.Mama huyu ni msikivu sana, Hongera wafanyakazi wa Tanzania
WIZARA YA UTUMISHI KUTIMIZA AGIZO LA RAIS KWA WAKATI.Ameongeza asilimia ngap?
Khaaa, kweli nchi ngumu sana hii,We ni mchawi.
Kafie mbali huko unachomtakia mama ni nini.
Kama hukujua maana ya jambo letu tuulize sisi tukuambie
Tutaelewana tu,wacha tupige kazi,View attachment 2207381
===
Rais Samia Suluhu Hassan leo tarehe 01|05|2022 ambayo ni siku ya "Mei Mosi "
Rais wetu ametangaza neema kwa wafanyakazi wa Serikali anayoiongoza,
Mtakumbuka ni miaka sita sasa Wafanyakazi wa Serikali ya Tanzania hawakupandishwa mishahara significantly,
Tunakumbuka, Rais Samia alipokuwa Jijini Mbeya katika Mei Mosi yake ya kwanza ya 01|05|2021
Rais Samia aliwaahidi Wafanyakazi angewaongeza mishahara mwaka huu wa 2022,
Hatimaye Rais huyu anayetajwa kuwa msikivu zaidi kuwahi kutokea hapa Tanzania ameongeza mishahara kwa kiwango kitakachotolewa hapo baadae
Mtakumbuka TUCTA walipendekeza kuwa kima cha chini kiwe TZS 1,010,000,
Hongera Rais Samia, Hongera Wafanyakazi, Hongera Tanzania,Hongera CCM,
Alichosema Rais Samia;
===
“Lile jambo letu lipo. Ndugu zangu jambo letu lipo ila sio kwa kiwango kilichosemwa na TUCTA kwa sababu mnajua hali ya uchumi wa nchi yetu na hali ya uchumi wa dunia. Hali si nzuri sana uchumi wetu ulishuka chini mno. "
"Tumejitahidi sana na kwa sababu nilishatoa ahadi mwaka jana, kwa hiyo nimeagiza jambo liwepo, mahesabu yanaendelea, tutajua lipo kwa kiasi gani. Lakini jambo lipo”
===
Lazima tuelewe kutaja ongezeko la mishahara ya watu hadharani ni kuchochea mfumuko wa bei nchini,Sasa tukachape kazi kwa bidii,
Kazi nzuri sana,Watu wamefanya kazi miaka sita bila ongezeko lolote,View attachment 2207381

😍View attachment 2207381

Kama ni Rais tu, Watanzania tumempataView attachment 2207381

Rais wa wafanyakazi woteView attachment 2207381

Ironically indirect kick!! 🤣🤣🤣🤣Kama ni Rais tu, Watanzania tumempata