Rais Samia aalikwa na Baba Matakatifu Francis Mjini Vatican kwa mazungumzo rasmi ya siku mbili

Viongozi wa Dini watusaidie tupate Tume HURU ya Uchaguzi na sio kuwachekeaa hawa Wanasiasa.
 
Who ever plan this trip is very genius see you later🤐
 
Duu Ina maslai gani kiuchumi?
 
Huu ni mwendelezo. Papa Yohana Paulo 2 alipokuja 1991 alimkumbatia Nyerere akasema huyu ni Baba wa Taifa la ulimwengu. Ni ajabu kuona CHADEMA wanataka kuharibu hadhi hii kwa njia ya kumtumia Padri Charles Kitima. Sasa kaingia Askofu Malasusa naona safari zake Kenyakenya kutafuta tumehuru zitapungua
 
Hiyo ni lugha ya kidipromasia waziri kaitumia wengi hamwelewi, papa hawaaliki viongozi wa mataifa kwenda kumuona, ni wao hufanya logistics za kuonana nae kupitia wasaidizi wake, nafas ikishapatikana wanatangaza wao sio Vatican.
 
Leo nimebarikiwa mno Samia kuja pale Azania.

Thanks again .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…