Being_neutral
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 376
- 727
Kwani mbona yako anaingizwa huku akiwa ana blidi😂.Mama yako mgonjwa wa rinda mbinue uangalie kama analo
Wewe mchicha mwiba nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mbona yako anaingizwa huku akiwa ana blidi😂.Mama yako mgonjwa wa rinda mbinue uangalie kama analo
Sasa mm inanuhusu nini? Kwani we ulitokaje kama mama yako akutoa kinyesi ndo ukatoka?Mam*e kazi kutoana rinda makanisani mpaka Mungu wenu juzi juzi amewaamrisha kila kafiri lazima asiwe na rinda na ukaguzi utafanyika makanisani
Huyo Kiongozi wa 🌈 ana utakatifu gani?Kufuatia mualiko wa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani na nchi ya Vatican Papa Francis, Rais Samia Hassan atafanya ziara ya kitaifa tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema lengo la ziara hii ni kukuza ushirikiano kati ya Tanzania na Vatican.
Tanzania na Vatican tangu mwaka wa 1960 zimekuwa zikishirikiana katika masuala ya elimu, afya, masuala ya amani na kiroho.
"Kanisa katoliki linakadiriwa kumiliki zaidi ya shule za chekechea 240, shule za msingi 147, shule za sekondari 245, vyuo vya ufundi 110, na vyuo vikuu 5," inaeleza taarifa iliyotolewa na wizara huku takribani taasisi za afya 473 zikiendeshwa na kanisa katoliki.
Tofauti za udini hazijawafanya viongozi hawa kushindwa kukaa pamoja na kujadili maslahi ya wananchi na uendelezaji wa ushirikiano kati ya nchi hizi mbili.
=====
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francis amemualika Rais Samia Suluhu Hassan Mjini Vatican kwa mazungumzo rasmi ya siku mbili baina ya viongozi hao.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amewaambia waandishi wa habari mkoani Dar es Salaam leo kuwa mazungumzo hayo yatafanyika Februari 11 na 12 Vatican nchini Italia.
Makamba amesema kufuatia mwaliko huo, Rais Samia ameamua kuambatana na waumini wa kawaida wa Katoliki ambao pia wataonana na Papa Francis katika ziara hiyo ya kihistoria.
"Hii ni heshima kubwa kwa nchi yetu na Rais wetu, kwani mazungumzo hayo na Baba Mtakatifu ni ya heshima kubwa na watu wachache sana ndio watapata fursa ya kuhudhuria mazungumzo hayo," amesema Makamba
===
Kujua safari nyingine za Rais Samia, Soma: Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021
unaweza kujikuta unafnya mambo ya ajabu sababu ya hasira😭😭Haunizidi ..Mimi mwenyewe mkristo mkatoliki ila nimepiga ngungi ukuta hapa yaaani... sijui katuroga nani kama Taifa.....
www.itv.co.tz
Ukiitwa na Mungu hurudiHata angeitwa na Mungu hakuna kipya kingetokea
Papa hawezi kualika mtu kama huyo, mlichofichwa ni kwamba Jamaa zetu ndiyo waliandika barua kuomba kumuona kabla ya mwaka wa uchaguzi kwani huwa hataki kuonana na viongozi wa mataifa ktk mwaka wa uchaguzi. Na lengo la kuomba mwaliko huo ni kwenda kufifisha sakata la DP world na wakatoliki nchini ambao wameonekana kukunja nditaView attachment 2878763
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kufanya ziara ya kitaifa Vatican kuanzia February 11 – 12, 2024 kufuatia mwaliko wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francis.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba akiongea leo Dar es salaam amesema dhumuni la ziara hii ni kuimarisha ushirikiano wa uwili kati ya Tanzania na Vatican “Itakumbukwa mwaka 2016 Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, alimwalika Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, yaani Baba Mtakatifu Francis kutembelea Tanzania hata hivyo kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za kiafya ziara hiyo haikuwezekana na badala yake kwa wakati huu, Rais Samia amealikwa na Kiongozi huyo kufanya ziara Vatican”
“Akiwa Vatican Rais atakutana kwa mazungumzo na Baba Mtakatifu Francis pamoja na Katibu wa Vatican, Pietro Parolin lakini kabla ya ziara ya Vatican Rais pia atafanya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia kuanzia January 24 – 26 kufuatia mwaliko wa Joko Widodo, Rais wa Jamhuri ya Indonesia, ziara hii ya Kitaifa inafuatia ziara ya Kitaifa ya Rais Joko Widodo aliyoifanya Tanzania mwezi Agosti 2023” ——— Waziri Makamba.
Rais Samia pia atafanya ziara ya Kitaifa nchini Norway, February 13-14, 2024, kufuatia mwaliko kutoka kwa Mfalme Herald wa Norway na Malkia Sonja ikiwa ni miaka 60 tangu kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Nchi hiyo.
Ndio amejialika kama watangulizi wakeAnajipeleka mwenyewe?
Bora mkuu umeweka wazi, thanksUkweli ni kwamba ameomba kwenda kuonana na papa! Acheni kulemba lemba.
Wanapigiwa kura auMakamba amesema kufuatia mwaliko huo, Rais Samia ameamua kuambatana na waumini wa kawaida wa Katoliki ambao pia wataonana na Papa Francis katika ziara hiyo ya kihistoria.