Rais Samia aalikwa na Baba Matakatifu Francis Mjini Vatican kwa mazungumzo rasmi ya siku mbili

Tuition ya nyumban ni bora na salama kwa mtoto , nafundisha mathematics na physics kwa o level na advance napatikana mwanza micheki whatsapp 0620591401
 
Mam*e kazi kutoana rinda makanisani mpaka Mungu wenu juzi juzi amewaamrisha kila kafiri lazima asiwe na rinda na ukaguzi utafanyika makanisani
Sasa mm inanuhusu nini? Kwani we ulitokaje kama mama yako akutoa kinyesi ndo ukatoka?
Mdog wang ww ukija mburahati ww utatiwa wembe kwenye kisamvu
 
Huyo Kiongozi wa 🌈 ana utakatifu gani?
 
Hayo yameelezwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano africa Mashariki Mh January Makamba.

Hata hivyo taarifa hiyo haijaeleza kama lengo na madhumuni ya Mwaliko huo.

Wapo watu wanajiuliza kama Ni Mwaliko kutoka Vatican au Tanzania ndio imeomba kualikwa?

 
Kanisa katoliki lina mchango mkubwa sana Tanzania na Afrika, limewekeza sana kwenye elimu na vituo vya afya.
=============

Tanzania President Samia Suluhu Hassan is set to visit the Vatican next month, shortly after a trip to Indonesia in southeast Asia and later a tour of Norway in northern Europe.

President Hassan is expected to meet Pope Francis at the Holy See on February 11 and 12. The Catholic Church is one of the major stakeholders in Tanzania in the provision of education and health services.

Tanzania Foreign Affairs and East African Cooperation minister January Makamba said the church runs 240 nursery schools, 147 primary schools, 245 secondary schools, 110 vocational training centres and five universities.

It also operates at least 473 health facilities.
 
Sipati notification tangu dec 20, 2023. @moderators msaada.

Vipi kwenu wajumbe?
 
Jesuit au jumuiya ya Yesu (society of Jesus) wana wanachama wapatao 16,000 duniani kote.

Papa Francis (jina halisi Mario Bergoglio) kutoka Argentina ni papa wa kwanza ambae ni wa kutoka kwenye kundi la Jesuit.

Majesuit wana viapo vinne ambavyo ni kutokuoa au kufanya mapenzi, kutokuwa na mali, utii na mwisho utii kwa kazi maalum nje ya Vatican watazopewa na papa.

Jesuits wana sifa moja kubwa ambayo ni kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri bila kushirikisha upande wa pili na ndo maana kwa miaka mingi wamekuwa wakijenga vyuo vyao sehemu mbalimbali duniani.

Sifa ya pili ni kuwa Jesuits ni walimu au educators na wana uwezo wa kufundisha mtu akaelewa na mfano wa hii ni shule zao za sekondary ambazo zaongoza katika matokeo ya mitihani. Wana msemo wao usemao: giving rise to the adage- "Give me a child of seven and I will show you the man".

Chuo kikuu cha Georgetown nchini Marekani ni moja ya vyuo vikuu vya Jesuits duniani. Chuo hiki ni cha kwanza kujengwa na Jesuits mwaka 1789. Isitoshe Jesuit wana taasisi za elimu zipatazo 189 duniani kote.

Wana jumuiya ya Jesuits huchukuwa majukumu mbalimbali duniani kama uanasheria, ualimu, udaktari, usanii na hata uanaanga.

Jesuits hupangwa katika majimbo 91 duniani katika nchi zipatazo 100 ambapo kila jimbo lina msimamizi wake ambae anawajibika kwa msimamizi mkuu au superior general.

Tanzania ni moja ya majimbo ya Jesuits kabla na baada ya uhuru, hivyo ni lazima jicho la Vatican liangazie na kuhakikisha jimbo hilo laendelea kushamiri bila mawaa yoyote.

Ad Marioem Dei grorium (for the grater glory of God).
 
Papa hawezi kualika mtu kama huyo, mlichofichwa ni kwamba Jamaa zetu ndiyo waliandika barua kuomba kumuona kabla ya mwaka wa uchaguzi kwani huwa hataki kuonana na viongozi wa mataifa ktk mwaka wa uchaguzi. Na lengo la kuomba mwaliko huo ni kwenda kufifisha sakata la DP world na wakatoliki nchini ambao wameonekana kukunja ndita
 
Makamba amesema kufuatia mwaliko huo, Rais Samia ameamua kuambatana na waumini wa kawaida wa Katoliki ambao pia wataonana na Papa Francis katika ziara hiyo ya kihistoria.
Wanapigiwa kura au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…