Pre GE2025 Rais Samia aamsha shangwe baada ya kuwalipia tiketi abiria wote waliosafiri kwa treni ya kisasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Juha kalulu umerudi na vihoja vyako vya kusifu na kuabudu 🤣🤣🤣
Hapo majinga yanayojidai yanajua propaganda ndiyo yanamshauri huo ujinga kutafuta popularity... Anaacha kusaidiwa wagonjwa,yatima,wazee nk. anataftia kiki wasafiri alafu juha anakuja resi kumrusha humu!! Huku watu wanajitambua hawapongezi uzwazwa'
 
Ni uungwana uloje kiongoz mkubwa wa taifa kuwashika wananchi wake mkono.
Nawish na mm ningelikuwa miongoni mwa hao abiria ila bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
Pongezi kwa maono ya washauri wa rais
 
Ni upumbavu wa masikini huo
Huwezi kukuta Sunak anawatolea tickets watu wanaoenda mwezini kisa uchaguzi ni mwezi wa 7

Haya unayakuta afrika tu ipo siku mtatolewa na mahari
 
Hospital dawa hakuna, na viongozi wake wanalawiti mabinti mwambie
 
Ni upumbavu wa masikini huo
Huwezi kukuta Sunak anawatolea tickets watu wanaoenda mwezini kisa uchaguzi ni mwezi wa 7

Haya unayakuta afrika tu ipo siku mtatolewa na mahari
Naona umeumia sana na kuona wivu sana.unatamani na wewe ungekuwa miongoni mwao.
 
Hospital dawa hakuna, na viongozi wake wanalawiti mabinti mwambie
Dawa za hospitalini zitanunulia kwa kodi zetu kama ambavyo zimeendelea kununuliwa wakati wote .hata hivyo Rais wetu kutumia pesa zake ambazo ana uhuru nazo na pia hazuiliwi kutoa na kusaidia watu.pia kuna watu hapo walikuwa wanakwenda hospitali na kupitia kulipiwa nauli maana yake wataweza kupata hela ya kununua dawa kwa pesa walioweza kuokoa
 
Wewe ndio hujitambui,lakini wanaojitambua na wasio vipofu wa akili na macho wanashuhudia mapinduzi makubwa sana katika Secta ya Afya.ambapo Secta ya Afya kwa miaka mitatu tu imeweza kupokea zaidi ya Trilioni sita.
 
Sidhani kama unamuda wa kumsifu Muumba wako wewe nikusifu mavi ongozi mchana usiku!!
Sema ukikuwa utaacha labda maana machawa yakizeeka huwa ...
 
Sidhani kama unamuda wa kumsifu Muumba wako wewe nikusifu mavi ongozi mchana usiku!!
Kama una hasira basi pasuka tu ndugu yangu. Maana utakufa tu kwa sababu matendo mema na kazi njema za Rais Samia zinaendelea kwa kasi.
 
Mambo mengine ni kusoma na kupita kimya tu. Watu wameamua kuwa kunguni ili waishi, ajira hakuna.
 
Eti hela kwa jasho lake. Tutafika tu muda si mrefu
 
Mambo mengine ni kusoma na kupita kimya tu. Watu wameamua kuwa kunguni ili waishi, ajira hakuna.
Naishi kwa jasho langu kwa kazi ya mikono yangu kwa kuchapa kazi ya kilimo kwa nguvu na bidii pamoja na maarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…