Rais Samia abadilishiwe washauri, mbona anazidi kupoteza dira?

Rais Samia abadilishiwe washauri, mbona anazidi kupoteza dira?

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Mwelekeo wa mheshimiwa mbona unatia mashaka? Siku zinavyo kwenda mbele ndivyo ambavyo anazidi kuonekana tofauti sana kwa kauli na matendo.
Jee ni washauri wabovu au hulka zake tuu?
godblessjlema1-___CS4GSAOLSHu___-.jpg
 
Kila Rais anapoonekana amekosea wanasingiziwa wasaidizi wake akifanya vizuri anapongezwa yeye
Kwa huu unafiki wa watanzania usitegemee tanzania kupiga hatua
Yule mwanaume aliyelala chato ni mtu pekee tuliyepewa kuibadilisha tanzania kwa wakati huu ila Mungu alimwita mapema tuombe atokee mwingne
 
Magufuli alikuwa anenda kuiua kabisa Tanzania sio kuibadilisha.
 
Mama kaona mnamsema vibaya sana mtandaoni ,kaona awe kiburi asiwasikilize,ni normal reaction mnavyomponda haisaidii mambo, shaurini nini kifanyike kwa upole
 
Back
Top Bottom