The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Kwani mama dira alikua nayo lini hadi aipoteze?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kauli hata mimi ilinishangaza sana.Imejaa udhalilishaji mno.Mwelekeo wa mheshimiwa mbona unatia mashaka? Siku zinavyo kwenda mbele ndivyo ambavyo anazidi kuonekana tofauti sana kwa kauli na matendo.
Jee ni washauri wabovu au hulka zake tuu?
View attachment 1903736
Kweli alikuwa anaenda kuiua Tanzania kwa kufanya haya..na tutamkumbuka Sana. ....Magufuli alikuwa anenda kuiua kabisa Tanzania sio kuibadilisha.
Dah...wewe naye dah...Magufuli alikuwa anenda kuiua kabisa Tanzania sio kuibadilisha.
Kwani alipangiwa na nani watu wa kumshauri?Mwelekeo wa mheshimiwa mbona unatia mashaka? Siku zinavyo kwenda mbele ndivyo ambavyo anazidi kuonekana tofauti sana kwa kauli na matendo.
Jee ni washauri wabovu au hulka zake tuu?
View attachment 1903736
Kwani Kuna aliyejiuzulu? Maana kama kazi yako unayolipwa ni kushauri basi ukishauri na ushauri haufuatwi jamaa anapuyanga tuu unajiuzuluKwani alipangiwa na nani watu wa kumshauri?
Kwani ukishauriwa lazima ufuate ushauri huo hata kama ni mbaya?
Rais wa taarabu, tulipigwa kwa kweliHUYO TULIPIGWAAAA
HAJAWAHI KUFAA KUA RAIS
HAFAI..SIASA YAKE NA MAJIBU YAKE NA ONGEA YAKE NI WAZI ALIPASWA KUA RAIS WA BASATA.
Yani bado tuna huu ujinga wa kulaumu washauri?Kwani alipangiwa na nani watu wa kumshauri?
Kwani ukishauriwa lazima ufuate ushauri huo hata kama ni mbaya?
Na kwa kuwa hakuna aliyejiuzulu kwa kukataliwa ushauri alioutoa basi hapa tukubaliane moja kuwaKwani Kuna aliyejiuzulu? Maana kama kazi yako unayolipwa ni kushauri basi ukishauri na ushauri haufuatwi jamaa anapuyanga tuu unajiuzulu
Hayo uliyomsifia Kagame una uhakika yako safi kama ulivyosema?unamuigaje kagame? Mwenzie anachkua mipesa yamadini kibabe drc, alafu yy shule nibora,walimu wanalipwa vyema, uchumi ukopoa nchi ndogo, kajitangazia utalii vyema,viwanda had vyamagari, air Rwanda ikosaafi nk nk.
Sisi walimu wanateseka, miradi mingi haijaisha, elimu haijanyooka mtu unadumbukiza bilions kwenye mchezo usio na mvuto kwa mashabiki!! Mwanamke gani early ameleta/ataleta fedha au sifa Kwanzaa taifa kwenyesoka? kodizetu zitumike vyema maana tunakamuliwa sana mikodi hatutaki zichezewe huku wananchi tunateseka!! Umeingia ofisini hujajenga hata hospitali unaanzia mipira kweli?
Tatizo lenu nyinyi mafisandi mnadhani tanzania ndiyo nyinyi ndiyo maana mnasema magu angelica taifa la mafisadiMagufuli alikuwa anenda kuiua kabisa Tanzania sio kuibadilisha.
Magufuli alikuwa kiburi ila kilicho msaidia ni akili, ubunifu na uchapakaziMama kaona mnamsema vibaya sana mtandaoni ,kaona awe kiburi asiwasikilize,ni normal reaction mnavyomponda haisaidii mambo, shaurini nini kifanyike kwa upole
Amepitiwa, mbona Kuna wacheza mieleka na wapo na ndoa, anamanisha hata mtoto wake wa kike akicheza mpira anakosa sifa za kuolewa, mpira ni mazoezi na ni ajira ,kateleza sanaMwelekeo wa mheshimiwa mbona unatia mashaka? Siku zinavyo kwenda mbele ndivyo ambavyo anazidi kuonekana tofauti sana kwa kauli na matendo.
Jee ni washauri wabovu au hulka zake tuu?
View attachment 1903736
Jiongeze kiakili uulize vyamaana... Ninyi ndowale kitabu hujakielewa unaishia kujudge rangi ya kava!!Hayo uliyomsifia Kagame una uhakika yako safi kama ulivyosema?
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
UmepanicJiongeze kiakili uulize vyamaana... Ninyi ndowale kitabu hujakielewa unaishia kujudge rangi ya kava!!
open your brain watoto wawatoto wako wasiishi kimaskini kamawewe, mwanamama anayumba ninyi kazi vigelegele vya ukiherehere...