Rais Samia abadilishiwe washauri, mbona anazidi kupoteza dira?

Una maanisha yule jambazi? Sijaelewa kabisa!

Kama ni yule, umenoa! Afadhali Mungu alivyompenda zaidi kwani alishaleta nuksi!
 
Mama kaona mnamsema vibaya sana mtandaoni ,kaona awe kiburi asiwasikilize,ni normal reaction mnavyomponda haisaidii mambo, shaurini nini kifanyike kwa upole

Ila Kasema ukweli tunataka wanawake chuchu saa 6 au ziwa liwe ziwa kweli la kibantu ili wkt unapata chakula cha mtoto mambo yanakua mubashara.
 
Mama kaona mnamsema vibaya sana mtandaoni ,kaona awe kiburi asiwasikilize,ni normal reaction mnavyomponda haisaidii mambo, shaurini nini kifanyike kwa upole
Kama ni kweli basi anazidi kudhihirisha alivyo mweupe.
 
Manung'uniko, mateso, masikitiko ya watu wanaodhulumiwa yanaanza kufanya kazi. Waache kabisa kudhulumu watu...ni mbaya...mwisho wa siku wote watakuwa wanademka kama dada Doro...
 
Uenda staili za mapapai na mahindi zikaanza,za kupiga simu live zimeanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…