Best commentHii kitu imeandaliwa kimkakati na system ili kuangalia hoja za watu wata jitokeza vipi hasa juu ya issue ya Mbowe. Ndio maana waka kusanya watu Boma kama trial. Na ujumbe wameupata.
Mmnadhani watanzania tulio wengi hatujajua haswa tunataka NN ktk maisha yetu haya,hatujui tulikotoka ,tulipo natunakokwenda,hatujui kudefine maendeleo,nahasa NN kifanyike ili tuwe namaisha Bora,ndio manaa kila kiongozi kwetu nimbaya,nawao washatujua kwahyo hufanya vile wanavyoona inafaa,inasikitisha snaaUlipotaja Magufuli ndo ulipoharibu, kwa dunia ya wasitaarabu na yenye usitawi haiwezi kulilia kuongozwa na sadist Kama JPM. Taja mwingine plz, Kama Taifa tulikosea sana awamu ya tano, na Mungu akaamua kutuponya, usiturejeshe huko.
Hao ni wenyeji wa hapa TanganyikaMbona Lisu na Mbowe walikuwa wakizunguka kila mkoa na kuvalishwa minguo ya kimila mkawa mnashangilia?
Siyo kweli kusema makabila yamepitwa na wakati kwenye karne ya 21. Kabila ya wayahudi (Israelites) bado lipo na lina maendeleo makubwa sana leo. Nyerere ndiye alidhoofisha utawala wa machifu ili awalaghai watu na kuwalisha sumu ya Ujamaa. Halafu kila siku watu wanapiga kelele kwamba hiyo unayoita tawala rasmi ya kisheria na kiserikali inakiuka haki za binadamu na kuwakandamiza watu. Hiyo tawala rasmi ya kisheria na kiserikali ina majeshi ya vamizi Zanzibar. Miaka 60 ya tawala rasmi za kisheria na kiserikali unazozisema wamefanya nini?Tangu Rais Samia ashike madaraka amekuwa busy sana kuzing'ang'ania na kuzipigia debe siasa za kuwaenzi na kuuenzi utamaduni wa machifu na watemi hapa Tanzania. Hapa nitaweka kweli kadhaa kuhusu ubaya wa siasa hizo kwa nchi yetu na vizazi vijavyo.
1. Utamaduni wa watemi na machifu ni utamaduni wa kikabila na kikoo kwa 100%. Hawa hawafanani, hawakubaliani na hawakai chungu kimoja. Unalenga kuwagawa watanzania kuliko kuwaunganisha.
2. Utamaduni wa watemi na machifu umezungukwa na mfumo dume kwa karibu 100%. Kadri unavyopaliliwa ndivyo ambavyo mfumo dume unakuzwa na kuota mizizi kwenye jamii.
3. Kwa sehemu kubwa sana tamaduni za watemi na machifu zimejikita kwenye ubagani, matambiko, ushirikina na mambo ya kale. Sioni mantiki yoyote kwa serikali kuukumbatia sasa kwenye karne ya 21.
4. Kwa sehemu kubwa utamaduni wa tawala za machifu unakinzana na mifumo ya tawala rasmi za kiserikali na kisheria. Huwa ni vitu visivyoweza kwenda sambamba. Kuimarika kwa tawala rasmi za kiserikali automatically kuliua tawala za machifu na watemi, kuzifufua upya hizo tawala za machifu sasa ni kuhatarisha uwepo wa tawala rasmi za kisheria na kiserikali.
5. Utamaduni wa tawala za watemi na machifu kwa sehemu kubwa umedhoofika, kufifia, kuparaganyika au ulishakufa kwa jamii nyingi sana hapa Tanzania. Wengi watakaoibuka sasa na kuitwa watemi au machifu huenda watakuwa waganga wa kienyeji, wazee wa kikoo, matapeli (wazee wa fursa), wajumbe wa CCM wa nyumba kumi kumi (wazee wazee). Kiuhalisia utakuta sio watu halisi wa kuwakilisha watemi na machifu wa zama zile. Kuwakumbatia watu wa namna hiyo ni kupoteza muda na rasimali.
Huyu alisema Zanzibar hakuna makabila ni unzanzibar tu..Tangu Rais Samia ashike madaraka amekuwa busy sana kuzing'ang'ania na kuzipigia debe siasa za kuwaenzi na kuuenzi utamaduni wa machifu na watemi hapa Tanzania. Hapa nitaweka kweli kadhaa kuhusu ubaya wa siasa hizo kwa nchi yetu na vizazi vijavyo.
1. Utamaduni wa watemi na machifu ni utamaduni wa kikabila na kikoo kwa 100%. Hawa hawafanani, hawakubaliani na hawakai chungu kimoja. Unalenga kuwagawa watanzania kuliko kuwaunganisha.
2. Utamaduni wa watemi na machifu umezungukwa na mfumo dume kwa karibu 100%. Kadri unavyopaliliwa ndivyo ambavyo mfumo dume unakuzwa na kuota mizizi kwenye jamii.
3. Kwa sehemu kubwa sana tamaduni za watemi na machifu zimejikita kwenye ubagani, matambiko, ushirikina na mambo ya kale. Sioni mantiki yoyote kwa serikali kuukumbatia sasa kwenye karne ya 21.
4. Kwa sehemu kubwa utamaduni wa tawala za machifu unakinzana na mifumo ya tawala rasmi za kiserikali na kisheria. Huwa ni vitu visivyoweza kwenda sambamba. Kuimarika kwa tawala rasmi za kiserikali automatically kuliua tawala za machifu na watemi, kuzifufua upya hizo tawala za machifu sasa ni kuhatarisha uwepo wa tawala rasmi za kisheria na kiserikali.
5. Utamaduni wa tawala za watemi na machifu kwa sehemu kubwa umedhoofika, kufifia, kuparaganyika au ulishakufa kwa jamii nyingi sana hapa Tanzania. Wengi watakaoibuka sasa na kuitwa watemi au machifu huenda watakuwa waganga wa kienyeji, wazee wa kikoo, matapeli (wazee wa fursa), wajumbe wa CCM wa nyumba kumi kumi (wazee wazee). Kiuhalisia utakuta sio watu halisi wa kuwakilisha watemi na machifu wa zama zile. Kuwakumbatia watu wa namna hiyo ni kupoteza muda na rasimali.
Nimecheka snaa,Hawa machifu hivi kwanini wasimroge awe mwehu.
Man stop being fools.Mbona Lisu na Mbowe walikuwa wakizunguka kila mkoa na kuvalishwa minguo ya kimila mkawa mnashangilia?
Usipanic mankaMan stop being fools.
Hapo kwenye kutafuta MAGUFULI mpya, umechemsha. Siasa za Magufuli za kumiliki bunge,na mahakama na kuwa Mungu mtu hazifai.Atatuletea balaa. Huko tulishapita wala hatutaki kusikia machifu. Yuko desperate kutafuta political base. Nadhani 'reactionaries' wapinga maendeleo wanamshauri kwenye machifu. Uchifu unaambatana na desturi za imani za kishirikina umwinyi na kuleta ukabila na kunyanyasa wanawake. Hatutaki hiyo.
Hangaya hana uwezo kuongoza nchi hii. Ajitahidi tu ku maintain status quo hadi 2025 tuweze tafuta magufuli mpya.
Tumeona tayari yuko pro business people tofauti na desturi nchi hii tunataka kiongozi pro people... Maendeleo kwa umma sio watu wachache kuhodhi uchumi wa nchi kushirikiana na ubeberu wa kimataifa.
Kama anajua kuvaa nguo safi badala ya chafu manake anajielewa kwahiyo hii kusema anapelekeshwa ni porojo tupuHuyu mama namwonea huruma wanavyompeleka puta, huu upuuzi si aukatae, kama vipi awaachie uraisi wao,
Wanamfanya aonekane kituko kisa uraisi 2025
Nigeria ilikuwa na nafasi ya kuwa ni taifa kubwa na lenye kuogopeka kuliko lilivyo sasa sababu mojawapo inayokwamisha ni siasa za machifu.Tangu Rais Samia ashike madaraka amekuwa busy sana kuzing'ang'ania na kuzipigia debe siasa za kuwaenzi na kuuenzi utamaduni wa machifu na watemi hapa Tanzania. Hapa nitaweka kweli kadhaa kuhusu ubaya wa siasa hizo kwa nchi yetu na vizazi vijavyo.
1. Utamaduni wa watemi na machifu ni utamaduni wa kikabila na kikoo kwa 100%. Hawa hawafanani, hawakubaliani na hawakai chungu kimoja. Unalenga kuwagawa watanzania kuliko kuwaunganisha.
2. Utamaduni wa watemi na machifu umezungukwa na mfumo dume kwa karibu 100%. Kadri unavyopaliliwa ndivyo ambavyo mfumo dume unakuzwa na kuota mizizi kwenye jamii.
3. Kwa sehemu kubwa sana tamaduni za watemi na machifu zimejikita kwenye ubagani, matambiko, ushirikina na mambo ya kale. Sioni mantiki yoyote kwa serikali kuukumbatia sasa kwenye karne ya 21.
4. Kwa sehemu kubwa utamaduni wa tawala za machifu unakinzana na mifumo ya tawala rasmi za kiserikali na kisheria. Huwa ni vitu visivyoweza kwenda sambamba. Kuimarika kwa tawala rasmi za kiserikali automatically kuliua tawala za machifu na watemi, kuzifufua upya hizo tawala za machifu sasa ni kuhatarisha uwepo wa tawala rasmi za kisheria na kiserikali.
5. Utamaduni wa tawala za watemi na machifu kwa sehemu kubwa umedhoofika, kufifia, kuparaganyika au ulishakufa kwa jamii nyingi sana hapa Tanzania. Wengi watakaoibuka sasa na kuitwa watemi au machifu huenda watakuwa waganga wa kienyeji, wazee wa kikoo, matapeli (wazee wa fursa), wajumbe wa CCM wa nyumba kumi kumi (wazee wazee). Kiuhalisia utakuta sio watu halisi wa kuwakilisha watemi na machifu wa zama zile. Kuwakumbatia watu wa namna hiyo ni kupoteza muda na rasimali.
Walaumu walioandika katiba na walioamua kumchagua hata awamu ya pili ilipoingia kwenye uchaguzi wa 2020.Nchi ina laana hii, kukenua ukitawaliwa na mwanamke ni kuikosea asili.
Mimi ninavyoelewa Mungu ni moja na ndiye aliyeumba vyote vilivyomo katika dunia hii, mimi siamini kama kuna Mungu wa wazungu na Mungu wa waafrika, kwa kifupi siamini ktk uwepo wa hao miungu unaosema.Mtafute mungu wako na siyo huyo mungu wa wazungu