Tahila wewe , akikaa kimya itakuwa vizuri wataitaitishq mgomo nchi zima halafu hayo mavi8 ya misafara yake yakianza kukosa mafuta atawaomba akutane nao bila kupenda.
Hapo umetumia mabega kufikiri
Kiongozi sio mzazi wako kuwa yupo tayari apoteza upate. Ushawahi kusikia mawaziri wakigoma kuwa kazi haina maslahi? Mara ya mwisho kusikia wabunge wamegoma kuingia bungeni sababu ya maslahi ni lini?Hakuna kiongozi anataka wanainchi wake wapate shida
Kiongozi sio mzazi wako kuwa yupo tayari apoteza upate. Ushawahi kusikia mawaziri wakigoma kuwa kazi haina maslahi? Mara ya mwisho kusikia wabunge wamegoma kuingia bungeni sababu ya maslahi ni lini?
Hakuna bahati wala wivu. Kila mtu anafanya sehemu yake na ina umuhimu. Hao wote unaowataja wanawategemea wafanyabiashara walipe kodi ndo mishahara itoke.Katika watanzania milion 60 hao uliotaja ni wangapi?
Why unasema wabunge na mawaziri why ujasema madereva wa serikali?
Au wafagizi na wafanya usafi?
Usiendeshwe na mambo ya wivu ya watu kuwa wabunge au mawaziri
Hayo ni mambo ya Bahati Tu
Kama ww ulivyo mzima na mwingine Yuko ICU mhimbili
Hayatuhusu , lakini wanakula kwa urefu wa kamba zao . Kila ripoti ya C.A.G imejaa madudu tu .Kuna kitu najiuliza sana ..
Hivi hawa wafanya biashara wanajua wafanyakazi zigo la kodi wanalobeba...!??
Huijui dunia wewe ,nchi haiendeshwi unavyofikili, binadam tunategemeana kama ambayo wanyama walio katika mbuga zetu wanategemeana , ushauri wako hauna maana yoyoteMheshimiwa Rais najua ww ni Member wa JF
Me naona nimeseme neno moja Tu
Achana kabisa na wafanyabiashara wa kariakoo, waache wagomeeeee mpaka Yesu akirudi
Serikali ishasema inashughulikia Jambo Lao na bado wamegoma kufungua maduka sasa unahangaika nao wa kazi gani?
Kuwadekeza hawa kutaibua migomo mingi sana ya kila sehemu
Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kazi sasa kila mtu agome?
Jana usiku tumevuka kigamboni kwa sh elf 5, because usiku pantoni haikuwepo mpaka saa kumi alfajiri kwaiyo na Sisi tugome?
Mheshimiwa kaa kimya kabisa waache na wasifungue tena
Tena kama inawezekana tuvunje maduka yote tujenge stend ya mikoani pale
Kama hutaki kugoma, acha walioko tayari kugoma ili changamoto zao zifanyiwe kazi. Ww subiri utaonewa huruma kwenye hizo changamoto zako..Hawa watu wanakera, au ww hauna changamoto kwenye Eneo lako?
So na ww utagoma? Kila mtu agome?
Wakidekezwa hawa kesho wanakuja wafanyakazi wanataka more salary
No way
Huijui dunia wewe ,nchi haiendeshwi unavyofikili, binadam tunategemeana kama ambayo wanyama walio katika mbuga zetu wanategemeana , ushauri wako hauna maana yoyote
Kama hutaki kugoma, acha walioko tayari kugoma ili changamoto zao zifanyiwe kazi. Ww subiri utaonewa huruma kwenye hizo changamoto zako..
Vaa viatu vya mfanyabiashara, pewa pesa yako yote ya mshahara upeleke mwisho wa mwezi PAYE ukichelewa lipa fine na ukinunua chochote chukua 18% uipe serikali ukichelewa dk 1 fine.Kuna kitu najiuliza sana ..
Hivi hawa wafanya biashara wanajua wafanyakazi zigo la kodi wanalobeba...!??
Ubabe haukuwai shinda popote ,tulipofika ili swala serikali isilibebe kimia kimia , linaitaji mjadala wa kitaifa ili tujue tunatoka vipi katika mkwamo huu , wafanyabiashara wana hoja zao , tukae kama taifa na kutoka na majibuSo ww unataka wafanyabiashara washinikize mambo Yao Kwa migomo
Kesho madr wagome
Kesho kutwa wavuvi wagome
So kila mtu akiona Jambo lake sio sawa anagoma
Au unatakaje?
Nakumpa mfano hai, Jana tumevuka Kwa elf tano kigamboni, sehemu ya kulipa Mia mbili kisa pantoni hamna usiku
Je na Sisi tugome?
Ubabe haukuwai shinda popote ,tulipofika ili swala serikali isilibebe kimia kimia , linaitaji mjadala wa kitaifa ili tujue tunatoka vipi katika mkwamo huu , wafanyabiashara wana hoja zao , tukae kama taifa na kutoka na majibu