4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Kabla ya kukujibu ,je Panton apo kigamboni siku zingine tofauti na jana huwa inafanya kazi usiku, ?So ww unataka wafanyabiashara washinikize mambo Yao Kwa migomo
Kesho madr wagome
Kesho kutwa wavuvi wagome
So kila mtu akiona Jambo lake sio sawa anagoma
Au unatakaje?
Nakumpa mfano hai, Jana tumevuka Kwa elf tano kigamboni, sehemu ya kulipa Mia mbili kisa pantoni hamna usiku
Je na Sisi tugome?
Comments reservedMheshimiwa Rais najua ww ni Member wa JF
Me naona nimeseme neno moja Tu
Achana kabisa na wafanyabiashara wa kariakoo, waache wagomeeeee mpaka Yesu akirudi
Serikali ishasema inashughulikia Jambo Lao na bado wamegoma kufungua maduka sasa unahangaika nao wa kazi gani?
Kuwadekeza hawa kutaibua migomo mingi sana ya kila sehemu
Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kazi sasa kila mtu agome?
Jana usiku tumevuka kigamboni kwa sh elf 5, because usiku pantoni haikuwepo mpaka saa kumi alfajiri kwaiyo na Sisi tugome?
Mheshimiwa kaa kimya kabisa waache na wasifungue tena
Tena kama inawezekana tuvunje maduka yote tujenge stend ya mikoani pale
Hawa watu wanakera, au ww hauna changamoto kwenye Eneo lako?
So na ww utagoma? Kila mtu agome?
Wakidekezwa hawa kesho wanakuja wafanyakazi wanataka more salary
No way
Wafanyabiashara wamechoshwa na ahadi HEWA.Bado huna facts kijana, unaandika mashahiri tu.
Izo ahadi zinatekelezeka? Mara ngapi imetoa ahadi zile zile na hawajafanyia kazi?
Hakuna point ya kuahidi kitu halafu utekelezi
Is not about kutoa ahadi,walipotoa huko nyuma walifanyia kazi?
So we waona mtoa mada yupo sawa,? Ningekua ndo kiongozi wa nchi alafu nikajua wewe ndo mshauri wangu wa karibu ,hakuna namna ningekuweka under house arrest , alafu unifundishe maana ya utawala bora,Comments reserved
Comments reserved
Madhara makubwa kwa serikali na rais mwenyewe. Unapokuwa kiongozi unatakiwa kuwasikiliza na kutatua changamoto za wale unaowaongoza kuwapuuza na kujiita majina ya ajabuajabu ili kuonekana huguswi na kero zao ni kiburi cha madaraka na kujitoa ufahamu. Mara nyingi unapokosa ushawishi kwa unaowaongoza huwa ni dalili kubwa ya kupoteza mamlaka.Madhara makubwa Kwa Nani? Serikali au wao wafanyabiashara?
Serikali si Jana imetoa tamko na mkuu wa mkoa ameenda?
Sasa wanataka nn zaidi si wafungue maduka?
Hata wafunge inchi mzima waachwee
Hayuko sawa huwezi kubishana na mtu anaye ahirisha kufikiri Kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kutumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wake, (unyumbu) wengi wamesomea kuhusu biashara na siyo jinsi ya kufanya biashara, (entrepreneurship),na hili Somo kwenye ujasiriamali linaitwa the entrepreneur and his environments, (mjasiriamali na yanayomzinguka pamoja na yasiyoyatarajiwaSo we waona mtoa mada yupo sawa,? Ningekua ndo kiongozi wa nchi alafu nikajua wewe ndo mshauri wangu wa karibu ,hakuna namna ningekuweka under house arrest , alafu unifundishe maana ya utawala bora,
Madhara makubwa kwa serikali na rais mwenyewe. Unapokuwa kiongozi unatakiwa kuwasikiliza na kutatua changamoto za wale unaowaongoza kuwapuuza na kujiita majina ya ajabuajabu ili kuonekana huguswi na kero zao ni kiburi cha madaraka na kujitoa ufahamu. Mara nyingi unapokosa ushawishi kwa unaowaongoza huwa ni dalili kubwa ya kupoteza mamlaka.
Ni madhara pia kwa serikali kwasababu itashindwa kukusanya kodi na mwisho wa siku kushindwa kutoa huduma za jamii kitu ambacho kitapelekea serikali kupoteza imani kwa inaowaongoza.
Madhara pia kwa wafanyabiashara kwasababu kuna namna familia zitashindwa kujiendesha japo ni hasara ya kusababishwa na serikali.
Madhara mengine makubwa ni kwa wananchi ukiwemo wewe mtoa mada kwani mgomo huu utasababisha ushindwe kupata huduma za muhimu zinazotolewa na wafanyabiashara hali itakayopelekea ushindwe kuhudumia family yako ipasavyo.
Kwahiyo ndugu madhara ni makubwa kuliko unavyofikiria na rais wako anatakiwa ajivue uchura na awe msikivu kwa anaowaongoza.
Nimekuelewa mkuu ,thanksHayuko sawa huwezi kubishana na mtu anaye ahirisha kufikiri Kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kutumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wake, (unyumbu) wengi wamesomea kuhusu biashara na siyo jinsi ya kufanya biashara, (entrepreneurship),na hili Somo kwenye ujasiriamali linaitwa the entrepreneur and his environments, (mjasiriamali na yanayomzinguka pamoja na yasiyoyatarajiwa
Yani unauliza swali kwamba sasa serikali ifanye nini kama hawataki!Sasa kama wahusika hawataki unataka serikali ifanye nini?
Si Jana wameongea, si RC kaenda si waziri kaongea sasa busara si kusikiliza viongozi?
Kama vyote hawataki eeh serikali ifanye nn
Hayo maitaji tutapata sehemu ambazo hao watu wa kariakoo wataenda kununua
Ushauri mzuri sana huu, tena awapuuze kabisa atafute safari aende zake ughaibuni akale bata baada ya wiki mbili akirudi huu upepo mbaya utakuwa umepita. Asiumize kichwa kabisa awaambie na maofisa wake wapotezee kabisa hilo sakata litajimaliza lenyewe njaa ikiwashika hao wafanyabishara vichwa ngumu.Mheshimiwa Rais najua ww ni Member wa JF
Me naona nimeseme neno moja Tu
Achana kabisa na wafanyabiashara wa kariakoo, waache wagomeeeee mpaka Yesu akirudi
Serikali ishasema inashughulikia Jambo Lao na bado wamegoma kufungua maduka sasa unahangaika nao wa kazi gani?
Kuwadekeza hawa kutaibua migomo mingi sana ya kila sehemu
Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kazi sasa kila mtu agome?
Jana usiku tumevuka kigamboni kwa sh elf 5, because usiku pantoni haikuwepo mpaka saa kumi alfajiri kwaiyo na Sisi tugome?
Mheshimiwa kaa kimya kabisa waache na wasifungue tena
Tena kama inawezekana tuvunje maduka yote tujenge stend ya mikoani pale
Wajina nashukuru umeliona hili ila all in all nakupongeza ,unajitambua sana kwa sasa ,Tahila wewe , akikaa kimya itakuwa vizuri wataitaitishq mgomo nchi zima halafu hayo mavi8 ya misafara yake yakianza kukosa mafuta atawaomba akutane nao bila kupenda.
Shida inaanzia hapoNi kwanini TRA wakishachukuwa kodi wagawe kwa halmashauri? Wao wanakamua na halmashauri inakamua, huyo ng'ombe si mtamtoa damu?
Yani unauliza swali kwamba sasa serikali ifanye nini kama hawataki!
Jibu
Ikae chini , itulize akili ,mjadala uwe wa kitaifa ili kutafuta suruhu na ufumbuzi wa malalamiko yao period, sio ubabe
Kiufupi hiyo ni WAKE UP CALL, mama asiposhituka hapa 2025 hatoboi. Yani jinsi hali ilivyo kwa wafanya biashara ndivyo hali hiyo ipo kila sekta kama kilimo, elimu, nk. Wafanyabiashara wanagoma kwani hakuna wa kuwatisha kwani mitaji ni yao. Watumishi wangekuwa walishagoma zamani ila vitisho vya kufukuzwa kazi ndivyo vinawafanya wakose ushirikiano. Kuna kundi la vijana tusio na ajira tupo wengi, hadi mwezi wa nne tukadanganywa eti mama ametoa kibali cha ajira za ualimu 2023/2024. Hadi leo hii hola! Mama asipokubali kushughulikia hizo changamoto kisawasawa basi 2025 atapata tabu kushawishi watu wamwelewe!
Ardhi ni ya Mungu sio ya serikali. Serikali haijawahi kuumba ardhi .Kama mitaji ni Yao then Ardhi ya serikali
Watoke na mitaji Yao waende congo au Rwanda wakafungue maduka huko
Hapa Kodi si nyingi?
Wahame basi mbona bado wapo