Rais Samia achana na wafanyabiashara wa Kariakoo, wasikupe presha!

Ubabe haukuwai shinda popote ,tulipofika ili swala serikali isilibebe kimia kimia , linaitaji mjadala wa kitaifa ili tujue tunatoka vipi katika mkwamo huu , wafanyabiashara wana hoja zao , tukae kama taifa na kutoka na majibu
Watanganyika ni kondoo!
 
Vaa viatu vya mfanyabiashara, pewa pesa yako yote ya mshahara upeleke mwisho wa mwezi PAYE ukichelewa lipa fine na ukinunua chochote chukua 18% uipe serikali ukichelewa dk 1 fine.
Ingekuwa hivyo wafanyabiashara wote wangeshafunga maduka kitambo.Faida ipo ila haimfanyi asogee mbele anabaki tu pale pale kama ilivyo Kwa mshahara wa mtumishi wa umma
 
Reactions: Tsh

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Nchi ataendesha kwa kodi za bodaboda?
 
Ingekuwa hivyo wafanyabiashara wote wangeshafunga maduka kitambo.Faida ipo ila haimfanyi asogee mbele anabaki tu pale pale kama ilivyo Kwa mshahara wa mtumishi wa umma

Akili za wafanyakazi wa umma za kutaka wao na wafanyabiashara wafanane.

Roho mbaya haijengi. Ila haki ikitamalaki, Taifa litabarikiwa.
 
Sawa mwisho umefika wafunge maduka yote mwaka mzima

Kila serikali hapa duniani inatoa ahadi

Hata wafanyakazi wamepewa ahadi

Ahadi means tunajua shida yenu tunashughulikia

Sasa wakigoma ndio serikali inafanya?
Ujeuri wa serikali halitakiwa jibu la kutatua tatizo. Wananchi wa 2024 siyo wa 1947
 
Ujeuri wa serikali halitakiwa jibu la kutatua tatizo. Wananchi wa 2024 siyo wa 1947

That's why nashauri serikali ikae kimyaaa isifanye anything

Mpaka wenyewe wakiamua kurudi au kutokurudi kabisa
 
Mama yako akiendelea kusikiliza ushauri wa kilaza mwigulu atakumbana na yanayotokea huko kenya
 
Hawa watu wanakera, au ww hauna changamoto kwenye Eneo lako?

So na ww utagoma? Kila mtu agome?

Wakidekezwa hawa kesho wanakuja wafanyakazi wanataka more salary

No way
kwani kuna shida shida wafayakazi wakidai nyongeza ya mshahara toka kwa mwajiri?
 
Hawa watu wanakera, au ww hauna changamoto kwenye Eneo lako?

So na ww utagoma? Kila mtu agome?

Wakidekezwa hawa kesho wanakuja wafanyakazi wanataka more salary

No way
Kwaiyo kuwa nachangamoto zinazoweza kutatulika maeneo yakazi nahazitatuliki unaona nijambo lakujisifia?? Acha upambafu dogo
 
๐‚๐ก๐š๐ฆ๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ข ๐ฌ๐ž๐ซ๐ข๐ค๐š๐ฅ๐ข ๐ข๐š๐ง๐ ๐š๐ฅ๐ข๐ž ๐ฆ๐›๐ข๐ง๐ฎ ๐ง๐š ๐ง๐ฃ๐ข๐š๐›๐š๐๐š๐ฅ๐š ๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฅ๐ฎ๐ก๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐ก๐ข๐ข ๐ฆ๐ข๐ ๐จ๐ ๐จ๐ซ๐จ
 

Done juzi bungeni, sasa wangekuwa ni waelewa wangefungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ