Rais Samia achana na wafanyabiashara wa Kariakoo, wasikupe presha!

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Mheshimiwa Rais najua ww ni Member wa JF

Me naona nimeseme neno moja tu

Achana kabisa na wafanyabiashara wa kariakoo, waache wagomeeeee mpaka Yesu akirudi

Serikali ishasema inashughulikia Jambo Lao na bado wamegoma kufungua maduka sasa unahangaika nao wa kazi gani?

Kuwadekeza hawa kutaibua migomo mingi sana ya kila sehemu

Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kazi sasa kila mtu agome?

Jana usiku tumevuka kigamboni kwa sh elf 5, because usiku pantoni haikuwepo mpaka saa kumi alfajiri kwaiyo na Sisi tugome?

Mheshimiwa kaa kimya kabisa waache na wasifungue tena

Tena kama inawezekana tuvunje maduka yote tujenge stend ya mikoani pale
 
Mheshimiwa Rais najua ww ni Member wa JF

Me naona nimeseme neno moja Tu

Hili suala halihitaji blah blah linahitaji facts sio siasa majitaka.
Unajua mara ngapi serikal imekuwa ikisema watafanyia kazi mambo yao lakini baada ya muda fulani wanarudisha matatizo yale yale?

Wafanya biashara si watoto , ahadi hewa zina mwisho
 
Kuna miili inabeba vichwa na kuna mingine inabeba boga kama kichwa

Mleta mada kichwa boga

Wanachotaka wafanyabiashara sio ahadi za tuko mbioni kuyafanyia KAZI wanataka ufumbuzi hayo ya tuluko mbioni sio wanachohitaji wafanyabiashara

Serikali Wana Miaka sasa wako.mbioni Tu hayo hayafanyiwi KAZI .Hizo mbio zitaisha lini
 
Hili suala halihitaji blah blah linahitaji facts sio siasa majitaka.
Unajua mara ngapi serikal imekuwa ikisema watafanyia kazi mambo yao lakini baada ya muda fulani wanarudisha matatizo yale yale?

Wafanya biashara si watoto , ahadi hewa zina mwisho

Sawa mwisho umefika wafunge maduka yote mwaka mzima

Kila serikali hapa duniani inatoa ahadi

Hata wafanyakazi wamepewa ahadi

Ahadi means tunajua shida yenu tunashughulikia

Sasa wakigoma ndio serikali inafanya?
 
Kuna miili inabeba vichwa na kuna mingine inabeba boga kama kichwa

Mleta mada kichwa boga

Wanachotaka wafanyabiashara sio ahadi za Yuko.mbioni kuyafanyia KAZI wanataka ufumbuzi hayo ya Yuko mbioni sio wanachohitaki wafanyabiashara

Serikali Wana Miaka sasa wako.mbioni Tu hayo hayafanyiwi KAZI .Hizo mbio zitaisha lini

Kila idara kila taasisi Iko hivyo

Kila inchi duniani iko hivyo

Hata ww kwenye family yako ujamaliza kila kitu

Mengine umetoa Ahadi

Sasa solution wafunge mpaka ahadi wanazotoka zikamilike
 
Mheshimiwa Rais najua ww ni Member wa JF

Me naona nimeseme neno moja Tu

Achana kabisa na wafanyabiashara wa kariakoo, waache wagomeeeee mpaka Yesu akirudi

Serikali ishasema inashughulikia Jambo Lao na bado wamegoma kufungua maduka sasa unahangaika nao wa kazi gani?

Kuwadekeza hawa kutaibua migomo mingi sana ya kila sehemu

Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kazi sasa kila mtu agome?

Jana usiku tumevuka kigamboni kwa sh elf 5, because usiku pantoni haikuwepo mpaka saa kumi alfajiri kwaiyo na Sisi tugome?

Mheshimiwa kaa kimya kabisa waache na wasifungue tena

Tena kama inawezekana tuvunje maduka yote tujenge stend ya mikoani pale
we jana umeshinda kuchangia pesa ya kuzibua choo unakuja kuleta utumbo hapa
dsfdfdfd.jpeg
 
Hawa watu wanakera, au ww hauna changamoto kwenye Eneo lako?

So na ww utagoma? Kila mtu agome?

Wakidekezwa hawa kesho wanakuja wafanyakazi wanataka more salary

No way

Mentality kama hizi ndizo zinafanya hili taifa lisiendelee.

Kuishi ama kuzoea shida sio sifa na maendeleo ni haki ya kila mwananchi.

No wonder uchaguzi wa 2025 utajaa viongozi wanaohaidi visima, vyoo na vyumba vya madarasa kwa wananchi wao bila kujishtukia. Kwa maana wengi wao wanaona bado ni sawa kuishi na shida hata baada ya miaka zaidi ya 60 ya uhuru
 
Sawa mwisho umefika wafunge maduka yote mwaka mzima

Kila serikali hapa duniani inatoa ahadi

Hata wafanyakazi wamepewa ahadi

Ahadi means tunajua shida yenu tunashughulikia

Sasa wakigoma ndio serikali inafanya?
Bado huna facts kijana, unaandika mashahiri tu.
Izo ahadi zinatekelezeka? Mara ngapi imetoa ahadi zile zile na hawajafanyia kazi?

Hakuna point ya kuahidi kitu halafu utekelezi
Is not about kutoa ahadi,walipotoa huko nyuma walifanyia kazi?
 
Mheshimiwa Rais najua ww ni Member wa JF

Me naona nimeseme neno moja Tu

Achana kabisa na wafanyabiashara wa kariakoo, waache wagomeeeee mpaka Yesu akirudi

Serikali ishasema inashughulikia Jambo Lao na bado wamegoma kufungua maduka sasa unahangaika nao wa kazi gani?

Kuwadekeza hawa kutaibua migomo mingi sana ya kila sehemu

Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kazi sasa kila mtu agome?

Jana usiku tumevuka kigamboni kwa sh elf 5, because usiku pantoni haikuwepo mpaka saa kumi alfajiri kwaiyo na Sisi tugome?

Mheshimiwa kaa kimya kabisa waache na wasifungue tena

Tena kama inawezekana tuvunje maduka yote tujenge stend ya mikoani pale
Tahila wewe , akikaa kimya itakuwa vizuri wataitaitishq mgomo nchi zima halafu hayo mavi8 ya misafara yake yakianza kukosa mafuta atawaomba akutane nao bila kupenda.
 
Bado huna facts kijana, unaandika mashahiri tu.
Izo ahadi zinatekelezeka? Mara ngapi imetoa ahadi zile zile na hawajafanyia kazi?

Hakuna point ya kuahidi kitu halafu utekelezi
Is not about kutoa ahadi,walipotoa huko nyuma walifanyia kazi?

Hakuna kiongozi anataka wanainchi wake wapate shida

Hakuna mzazi anataka watoto wake wapate shida,

Ukiona hayajafanyika ujue kuna Jambo lipo

Mbona mengine yamefanyika?

Sasa wakigoma kufungua ndio mambo yanafanyika ? Basi wagome mwaka wote
 
Back
Top Bottom