hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Mheshimiwa Rais najua ww ni Member wa JF
Me naona nimeseme neno moja tu
Achana kabisa na wafanyabiashara wa kariakoo, waache wagomeeeee mpaka Yesu akirudi
Serikali ishasema inashughulikia Jambo Lao na bado wamegoma kufungua maduka sasa unahangaika nao wa kazi gani?
Kuwadekeza hawa kutaibua migomo mingi sana ya kila sehemu
Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kazi sasa kila mtu agome?
Jana usiku tumevuka kigamboni kwa sh elf 5, because usiku pantoni haikuwepo mpaka saa kumi alfajiri kwaiyo na Sisi tugome?
Mheshimiwa kaa kimya kabisa waache na wasifungue tena
Tena kama inawezekana tuvunje maduka yote tujenge stend ya mikoani pale