Rais Samia aendelea kumuenzi Hayati Dk. John Joseph Pombe Magufuli

Rais Samia aendelea kumuenzi Hayati Dk. John Joseph Pombe Magufuli

Mwanahabari wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
1,588
Reaction score
956
Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaenzi wazee wetu Dk Jakaya Mrisho Kikwete na Hayari Dk John Pombe Magufuli tayari amefanikisha ujenzi wa daraja la Tanzanite|daraja la Salenda walioliasisi wao lenye urefu wa kilometa 1.03 lililogharimu Jumla ya TZS 243.7BL.

Masaa machache tu Rais Samia baada kuwasili katika uwanja wa ndege wa JKNIA alienda moja kwa moja mahali linapojengwa daraja hili la Tanzanite ambalo hata hivyo ujenzi wake uko ukingoni.

Kitendo cha Rais Samia kutua tu Uwanja wa ndege na kuelekea kwenye mradi inaonesha kwa kiasi gani Rais wetu anaguswa na miradi hii mikubwa inayojengwa kwa fedha za kodi ya Watanzania,

Hongera Sana Rais Samia Suluhu Hassan huu ndio Uzalendo wa kweli daraja limekwisha sasa kazi iendele kwa kasi & Weledi zaidi,

VIVA TANZANIA VIVA || VIVA SAMIA VIVA
 
Hilo daraja sio serikali ilfanikisha iwe ya Magufuli au Samia limejengwa kwa hela za wakorea

Serikali haikuwa na mpango wa kujenga iwe ya Magufuli , Kikwete, nyerere Wala Mwinyi.

Credit ziende kwa wakorea
 
Rais Samia Suluhu Hassan tayari amefanikisha ujenzi wa daraja la Tanzanite |Surrender bridge lenye urefu wa kilometer moja nukta sifuri tatu lililogharimu Jumla ya TZS 243.7BL,

Hongera Sana Rais Samia Suluhu Hassan huu ndio uzalendo wa kweli daraja limekwisha kazi iendele ,

Watanzania wanafuatilia uonevu unaoendelea dhidi Mbowe, hiyo daraja unamtangazia nani? Piteni wenyewe kwa raha zenu manyang'au.
 
Hilo daraja sio serikali ilfanikisha iwe ya Magufuli au Samia limejengwa kwa hela za wakorea

Serikali haikuwa na mpango wa kujenga iwe ya Magufuli , Kikwete, nyerere Wala Mwinyi.

Credit ziende kwa wakorea
Ni Nani aliyezisimamia hizo hela za wakorea wako,muda mwingine mnatakiwa kukubari kiaina ata kama roho itamuuma.
 
Hilo daraja sio serikali ilfanikisha iwe ya Magufuli au Samia limejengwa kwa hela za wakorea

Serikali haikuwa na mpango wa kujenga iwe ya Magufuli , Kikwete, nyerere Wala Mwinyi.

Credit ziende kwa wakorea
Chawa hawakosagi,
Wanafikili watapata teuzi.
 
Rais Samia Suluhu Hassan tayari amefanikisha ujenzi wa daraja la Tanzanite |Surrender bridge lenye urefu wa kilometer moja nukta sifuri tatu lililogharimu Jumla ya TZS 243.7BL,

Hongera Sana Rais Samia Suluhu Hassan huu ndio uzalendo wa kweli daraja limekwisha kazi iendele ,

😍👍👍💪💪
201101q.jpg
 
Back
Top Bottom