😍😍Ahsante Kwa taarifa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😍😍Ahsante Kwa taarifa...
😍😍Chawa hawakosagi,
Wanafikili watapata teuzi.
😍😍Ni Nani aliyezisimamia hizo hela za wakorea wako,muda mwingine mnatakiwa kukubari kiaina ata kama roho itamuuma.
😍😍Legacy ya hapa kazi iendelee.
😍😍Hilo daraja sio serikali ilfanikisha iwe ya Magufuli au Samia limejengwa kwa hela za wakorea
Serikali haikuwa na mpango wa kujenga iwe ya Magufuli , Kikwete, nyerere Wala Mwinyi.
Credit ziende kwa wakorea
😍😍Rais wa awamu ya sita ameonyesha uwezo mkubwa kutoteteleka licha ya kurithi nchi kipindi kigumu Cha kiuchimi Duniani kilichosababishwa naugonjwa wa Uviko -19
Hao Wakorea wako Serikali ya Tanzania ingekataa Wao wangejenga? Jifunze Kufikiri Ndugu.Hilo daraja sio serikali ilfanikisha iwe ya Magufuli au Samia limejengwa kwa hela za wakorea
Serikali haikuwa na mpango wa kujenga iwe ya Magufuli , Kikwete, nyerere Wala Mwinyi.
Credit ziende kwa wakorea
Mr belgiji, team gaidi na vimisukule vyao mnanunaTimu jini jiwe mnalazimisha aenziwe
Watanuna sana,Mr belgiji, team gaidi na vimisukule vyao mnanuna
Wanasema haliko TanzaniaKwani wale wachezaji wa Pingapinga FC wao wanasemaje kuhusu hili Daraja?
acheni unafiki unajua maana ya kumuenziRais Samia Suluhu Hassan tayari amefanikisha ujenzi wa daraja la Tanzanite |Surrender bridge lenye urefu wa kilometer moja nukta sifuri tatu ( 1.03Km) lililogharimu Jumla ya TZS 243.7BL,
Nimasaa machache tu baada kuwasili katika uwanja wa ndege wa JKNIA Rais Samia Suluhu alienda moja kwa moja mahali linapojengwa daraja la Tanzanite ambalo hata hivyo ujenzi wake uko ukingoni, Hii inaonesha kwa kiasi gani Rais Samia anaguswa na miradi hii mikubwa inayojengwa kwa fedha za Watanzania,
Hongera Sana Rais Samia Suluhu Hassan huu ndio Uzalendo wa kweli daraja limekwisha sasa kazi iendele kwa kasi & weledi mkubwa,
Hebu fafanuaacheni unafiki unajua maana ya kumuenzi
Kumuenzi mtu nikufanya yale aliyokuwa anafanya marehemu tumeona tangu Magufuli afe anawatengua viongozi aliwateua marehemu mifumo yote ya uongozi ametengua isitoshe Magufuli alikuwa anatumia mfumo mmoja hv unaitwa ujamaa na kujitegemea ambao huu unatumiwa na Russia ,North Korea China yaani kwenye huu mfumo hakuna taifa dogo kulitegemea taifa kubwa lkn samia alivyoingia katengua kaweka ubepari yaan taifa kubwa kutawala taifa dogo au taifa dogo kutegemea taifa kubwa ndo hii misaada inayoletwa haya niambie kaenzi nini Apo miradi mingap imesimama tangu magu aondoke mfano kwetu Mbagala mwendo kasi imesimama tangu mzee amekufa hakuna kinachofanyika.jibu sasa kaenzi ninHebu fafanua
Rais Samia Suluhu Hassan tayari amefanikisha ujenzi wa daraja la Tanzanite |Surrender bridge lenye urefu wa kilometer moja nukta sifuri tatu ( 1.03Km) lililogharimu Jumla ya TZS 243.7BL,
Nimasaa machache tu baada kuwasili katika uwanja wa ndege wa JKNIA Rais Samia Suluhu alienda moja kwa moja mahali linapojengwa daraja la Tanzanite ambalo hata hivyo ujenzi wake uko ukingoni, Hii inaonesha kwa kiasi gani Rais Samia anaguswa na miradi hii mikubwa inayojengwa kwa fedha za Watanzania,
Hongera Sana Rais Samia Suluhu Hassan huu ndio Uzalendo wa kweli daraja limekwisha sasa kazi iendele kwa kasi & weledi mkubwa,
[emoji7][emoji106][emoji106][emoji123][emoji123]View attachment 1998861
Umeonge mambo mengi mazuri swali dogo kwani huu mradi siulikuwepo tangu enzi za JPM?Kumuenzi mtu nikufanya yale aliyokuwa anafanya marehemu tumeona tangu Magufuli afe anawatengua viongozi aliwateua marehemu mifumo yote ya uongozi ametengua isitoshe Magufuli alikuwa anatumia mfumo mmoja hv unaitwa ujamaa na kujitegemea ambao huu unatumiwa na Russia ,North Korea China yaani kwenye huu mfumo hakuna taifa dogo kulitegemea taifa kubwa lkn samia alivyoingia katengua kaweka ubepari yaan taifa kubwa kutawala taifa dogo au taifa dogo kutegemea taifa kubwa ndo hii misaada inayoletwa haya niambie kaenzi nini Apo miradi mingap imesimama tangu magu aondoke mfano kwetu Mbagala mwendo kasi imesimama tangu mzee amekufa hakuna kinachofanyika.jibu sasa kaenzi nin
Hii nchi ukifanya mabaya 200 lakini ukaja ukafanya zuri 1 watu wataona umefanya la muhm sana wamesahau kwenye yale mabaya 200 kuna maelfu ya watu wanalia kuliko hili zuri 1 ambalo watu kumi ndo wanafurahi my friend kukamilisha uo mradi na kuwafukuza wamachinga barabara kupi kuna faida?Umeonge mambo mengi mazuri swali dogo kwani huu mradi siulikuwepo tangu enzi za JPM?
Mama anapouendeleza ndio wanasema "KUMUENZI " wamekosea wapi?
Hayo mambo ya ambagala yatafanyika tu,
Vyote vinafaida mkuu, Duniani kote watu wanafanya shughuli zao kwa mpangilia kwa manufaa yao na ya wengineHii nchi ukifanya mabaya 200 lakini ukaja ukafanya zuri 1 watu wataona umefanya la muhm sana wamesahau kwenye yale mabaya 200 kuna maelfu ya watu wanalia kuliko hili zuri 1 ambalo watu kumi ndo wanafurahi my friend kukamilisha uo mradi na kuwafukuza wamachinga barabara kupi kuna faida?
Ofsa wewe wakshua eeeh!Vyote vinafaida mkuu, Duniani kote watu wanafanya shughuli zao kwa mpangilia kwa manufaa yao na ya wengine