Rais Samia aendelea kumuenzi Hayati Dk. John Joseph Pombe Magufuli

Rais Samia aendelea kumuenzi Hayati Dk. John Joseph Pombe Magufuli

PingaPinga FC hawajielewi. Kuna kipindi wakawa wanadanganyana waisusie VodaCom, huku wakihimiza michango ya uanchama itumwe kwa M-Pesa. Yaani unawaangalia, unaishia kupiga makofi kwa mshangao unaondoka huku ukiwaonea huruma kwa kushika tama.


Nimecheka kwa sauti aiseee
 
Hongera Sana Rais Samia walisema utashindwa leo wako wapi?

Chapa kazi mama yetu
Hakika, wanamponda lakini yeye anaishi katika alicho sema.
Aliahidi kumalizia miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake.
Mama wa watu anachapa kazi.
 
Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaenzi wazee wetu Dk Jakaya Mrisho Kikwete na Hayari Dk John Pombe Magufuli tayari amefanikisha ujenzi wa daraja la Tanzanite |Surrender bridge walio liasisi lenye urefu wa kilometer moja nukta sifuri tatu ( 1.03Km) lililogharimu Jumla ya TZS 243.7BL,

Nimasaa machache tu baada kuwasili katika uwanja wa ndege wa JKNIA Rais Samia Suluhu alienda moja kwa moja mahali linapojengwa daraja la Tanzanite ambalo hata hivyo ujenzi wake uko ukingoni, Hii inaonesha kwa kiasi gani Rais Samia anaguswa na miradi hii mikubwa inayojengwa kwa fedha za Watanzania,

Hongera Sana Rais Samia Suluhu Hassan huu ndio Uzalendo wa kweli daraja limekwisha sasa kazi iendele kwa kasi & weledi mkubwa,



Hongera sana madame president. This is what want to hear/see. We are all committed kujenga nchi.
 
Mataga umeuchukua ubongo wako kutoka kabatini ukarudisha kwenye fuvu lako la kichwa. Bado jitombashisho Kinuju mama D Et al
Hilo daraja sio serikali ilfanikisha iwe ya Magufuli au Samia limejengwa kwa hela za wakorea

Serikali haikuwa na mpango wa kujenga iwe ya Magufuli , Kikwete, nyerere Wala Mwinyi.

Credit ziende kwa wakorea
 
Kwani wale wachezaji wa Pingapinga FC wao wanasemaje kuhusu hili Daraja?
 
Boss wake aliyempa maisha ataachaje sasa kumkumbuka.
 
Back
Top Bottom