kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Nilishangaa sana kusikia kauli ya Odinga "Mama alikuja".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na hayo juzi kazi ndege ya rais imeonekana mashariki ya kati na hatuna taarifaJuzi tumemsikia Raila Odinga akisema rais Samia alikwenda Nairobi kwa lengo la kuwapatanisha Raila na Odinga katika tafrani zao za kisiasa.
Sisi watanzania tunajiuliza inakuwaje rais wetu kwenda nchi nyingine kufanya jambo la kisiasa mathalani kufanya upatanishi kimyakimya?
Kwani kulikuwa na haja gani ya kuficha jambo kama hilo ilhali halina athari kwa usalama kwake au kwa nchi? Mbona Odinga ameliweka wazi jambo hilo?
Tumeona pia rais wetu akifanya makubaliano makubwa kabisa na Dubai kuhusu bandari yetu. Mkataba huo haukujulikana hata na watu muhimu serikalini hadi mzalendo mmoja alipouvujisha!
Je, ni mambo mangapi yanafanywa kimyakimya na rais na serikali yake pengine bila ya kuwa na faida zozote kwa watanzania?
Kwa mfano ndege yetu uliyokuwa imekamatwa Uholanzi iliachiliwa mwezi uliopita lakini hatukuambiwa nchi imelipa kiasi gani.
Tafadhali Rais Samia acha usiri katika mambo ambayo taifa linapaswa kufahamu.
Anajifanya kuijua nchi kuliko wenye nchi wenyewe , atajua hajuhiJuzi tumemsikia Raila Odinga akisema rais Samia alikwenda Nairobi kwa lengo la kuwapatanisha Raila na Odinga katika tafrani zao za kisiasa.
Sisi watanzania tunajiuliza inakuwaje rais wetu kwenda nchi nyingine kufanya jambo la kisiasa mathalani kufanya upatanishi kimyakimya?
Kwani kulikuwa na haja gani ya kuficha jambo kama hilo ilhali halina athari kwa usalama kwake au kwa nchi? Mbona Odinga ameliweka wazi jambo hilo?
Tumeona pia rais wetu akifanya makubaliano makubwa kabisa na Dubai kuhusu bandari yetu. Mkataba huo haukujulikana hata na watu muhimu serikalini hadi mzalendo mmoja alipouvujisha!
Je, ni mambo mangapi yanafanywa kimyakimya na rais na serikali yake pengine bila ya kuwa na faida zozote kwa watanzania?
Kwa mfano ndege yetu uliyokuwa imekamatwa Uholanzi iliachiliwa mwezi uliopita lakini hatukuambiwa nchi imelipa kiasi gani.
Tafadhali Rais Samia acha usiri katika mambo ambayo taifa linapaswa kufahamu.
TANZ01 was on boardaisee. Au ni ndege imeenda matengenezo
itakuwa basi kaenda kwa ishu personal. Labda kufanya shopping za nguo . Si unajua mama zetu hawa sometimes. Mtoko mara mojamojaTANZ01 was on board
Samia msikivu na mwanademocrasia ,alisikika kila mmoja akisema hivyoJuzi tumemsikia Raila Odinga akisema rais Samia alikwenda Nairobi kwa lengo la kuwapatanisha Raila na Odinga katika tafrani zao za kisiasa.
Sisi watanzania tunajiuliza inakuwaje rais wetu kwenda nchi nyingine kufanya jambo la kisiasa mathalani kufanya upatanishi kimyakimya?
Kwani kulikuwa na haja gani ya kuficha jambo kama hilo ilhali halina athari kwa usalama kwake au kwa nchi? Mbona Odinga ameliweka wazi jambo hilo?
Tumeona pia rais wetu akifanya makubaliano makubwa kabisa na Dubai kuhusu bandari yetu. Mkataba huo haukujulikana hata na watu muhimu serikalini hadi mzalendo mmoja alipouvujisha!
Je, ni mambo mangapi yanafanywa kimyakimya na rais na serikali yake pengine bila ya kuwa na faida zozote kwa watanzania?
Kwa mfano ndege yetu uliyokuwa imekamatwa Uholanzi iliachiliwa mwezi uliopita lakini hatukuambiwa nchi imelipa kiasi gani.
Tafadhali Rais Samia acha usiri katika mambo ambayo taifa linapaswa kufahamu.
Anaona aibu ,kwa kushupalia mambo ya hivyo ,hii ni nchi au familiaKitu cha kustajabisha Rais wa nchi anasafiri kimya kimya bila kutoa taarifa kwa wananchi yuko nchi gani! Leo tunaambiwa yuko Dubai next tunaambiwa yuko Saudia without any explanation to the nation! There must be something wrong somewhere!!
Samia ana matatizo yamezidi uwezo wake! Tumezoea kuambiwa Rais wetu amesafiri kwenda mahala fulani: kama Samia anasafiri bila kutoa taariafa hivyo nchi haitakuwa liable kwa lolote litakalompata huko anakotangatanga!
Gazeti la Kenya limesema alikwenfa kuvinjari yaani matembezi binafsi tu.Tumehama kutoka kwny kuuza Bandari hadi kwenda au kutokwenda Kenya
Akili bandia hizi ndio ziitoe CCM Madarakani
Hatari!Wewe tulia, tazama tovuti ya Ikulu. Una mcho hayaoni> Una masikio hayasikii?
La bandari mtaumia sana, haliongelei kabisa, yeye kishamaliza kzi yake hapo, sasa kuna kina Mkumbo na Wakurugenzi wa bandari, mjuwane nao hao.
Huyu mama kazi imemshinda anang’ang’ania tu’ angekuwa na busara angerudisha funguo za ofisi yetu!Ni aibu habari za rais wetu tunazisikia toka kwa jirani
Usimtishie mtoa madaPunguza ujuaji wa kindezi Mkuu utakuja kunishukuru baadae
Hapangiwi...
Huyu alifaa kuwa mama wa nyumbani. Katiba mbovu ndiyo imemweka pale. Hana uwezo.Juzi tumemsikia Raila Odinga akisema rais Samia alikwenda Nairobi kwa lengo la kuwapatanisha Raila na Odinga katika tafrani zao za kisiasa.