Rais Samia aepuke kufanya mambo ya kitaifa kimyakimya ni ishara ya kukosa uwazi na kutokujiamini

Achana na hayo juzi kazi ndege ya rais imeonekana mashariki ya kati na hatuna taarifa
 
Anajifanya kuijua nchi kuliko wenye nchi wenyewe , atajua hajuhi
 
Samia msikivu na mwanademocrasia ,alisikika kila mmoja akisema hivyo
 
Anaona aibu ,kwa kushupalia mambo ya hivyo ,hii ni nchi au familia
 
Wewe tulia, tazama tovuti ya Ikulu. Una mcho hayaoni> Una masikio hayasikii?

La bandari mtaumia sana, haliongelei kabisa, yeye kishamaliza kzi yake hapo, sasa kuna kina Mkumbo na Wakurugenzi wa bandari, mjuwane nao hao.
Hatari!
 
Kiongozi alochaguliwa na watu kuwatumikia na akaapa mbele za Mwenyezi Mungu na Wanadamu kwa kushika kitabu Kitakatifu halafu uwakane wananchi usema wasikupangie cha kufanya?

Au ukawa Dhalimu kwa kuonea watu na kutowapa watu haki zao?

Unazani utabaki salama?


Hautapata furaha na amani hata usafiri kila nchi kutafuta stress relief.


Furaha Na amani vina uhusiano wa karibu na afya ya mtu hususa ya moyo wake.

Amani na Furaha ni kwa kufanya kazi Kwa uadilifu, bidii, maono mema, HAKI. N.k

Kule kuapa ni mtihani mkubwa kuliko maelezo.
 
Tangu Uhuru kila Rais wa awamu zote amekuwa akihutubia Taifa kila mara kwa reasonable interval na pale panapotokea sintofahamu kwa Taifa .

Na kuhutubia Taifa ni takwa la kikatiba na sio utashi wa Kiongozi Mkuu.

Hata Viongozi wa chini wa idara za serikali kama vile IGP, CDF, CEOs wote wa taasisi za Umma wanao wajibu wa kuhabarisha Umma wa taarifa za mambo mbalimbali Na yale nyeti ya sintofahamu kama la DP World.

Kukaa kimya kunaleta tafsiri nyingi ambazo nyingine sio sahihi.
 
Tena sio kusema sijui kuongea Na wazee ,

Inapaswa kuongea Na Umma direct kupitia vyombo vya Habari na ikibidi na Waandishi wa habari.
 
Huyu alifaa kuwa mama wa nyumbani. Katiba mbovu ndiyo imemweka pale. Hana uwezo.
 
Kuwapasha Habari wananchi ni takwa la kikatiba na sio utashi Wa kiongozi.

Hususa inapaswa kufanyika regularly na hususa kunapokuwa na sintofahamu Kama ya DP Word n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…