Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Hahahahaaaa.... hicho chama kipya labda kitakuwa cha wale 'spent force'............ kazi iendelee.Ukute kuna maandalizi ya chama kipya kitakachoibuka kabla ya 2025. Kina Dr Slaa, Kafulila+ Covid nk.
Tuitunze hii post
Hazifai kwa umri mdogo, sasa Happi na kafulila watafanya kazi ganiMadhara ya nafasi za kuteuliwa ukiwa na umri mdogo ndio hizi wamala kichwa ushazoeq kunyanyua mabega
Wapo kibaoHivi kuna ambaye amewahi kukataa teuzi?
Huwa wanajifanya bize kumbe ni uhongo mtupu.Basi Kafulila alipoteuliwa nilikuwa na shida fulani nilimpigia simu mara 70 na text 10 hakujibu mpaka leo anatenguliwa. Nadhani ajifunze siyo kila mtu wa anayekupigia simu ana njaa
Sema uliwahi kumsikia huyo tu.Aliyewahi kukataa teuzi Tanganyika ni Tuntemeke Sanga pekee !!
Huwa simpendi mtu ambaye hatabiliki ataongea nini kwenye jukwaa, ndilo tatizo lake jamaa.Mihemko mingi.Nimefurahi kumuona tena ALBERT CHALAMILA ndani ya nyumba, hawa CCM huwa hawanyimani ulaji moja kwa moja.
Mkuu wa mkoa ana ubize gani labda siku hiyo awe anakuja rais, bize ni Ras na wachini yakeSi ungeenda ofisini kwake? Simu wapi n wapi mtu yupo busy na kazi zake😒
Pale simnaona kawekwa mwanamke basi jua kuna sababu ya msingi.Yani Mtaka ni wakupewa Technonical demotion kweli ? [emoji24]
Dodoma tutammiss sana hasa sie Wagogo!
Mungu akupe kustahamili huo mtihani ndugu Antony Mtaka.
Wewe ni hitaji la wengi,
Wewe ni Jembe ,
Wewe ni smartest RC
Mbuge itakuwa ni pombe tu.Brig. Gen. Marco Gaguti
Brig. Gen. Mbuge
Nini kimewasibu hawa mapoti?
Kama Silinde wanavodhani mnyamwanga kumbe ni Msukuma wa Momba kule..ukifuatilia sana wengi wa waliounga juhudi walikua watoto wa kiongozi wa malaika kimkakati .Msukuma yule wewe. Si kila anayetokea Kigoma ni muha
Acha ubishi wew. Huyo ni mtoto wa Mwl Zacharia Kafulila, mwalimu wa shule ya msingi pale Uvinza. Alipangiwa kazi Uvinza akitokea usukumano na mke wake ni mfipa. Kwa hyo Kafulila hana hata damu ya kiha kwa maana baba ni msukuma na mama ni mfipaMbembe yule!
Gift Msuya ni DC Wilaya ya ChamwinoKatika mkeka huu mpya Mkuu wa mkoa wa Mwanza Eng Robert Gabriel, Kafulila, Mtaka hawa naona hawakupaswa kuondolewa.
Mfano Ndg Gabriel aliweza kuunganisha makundi mengi mwanza hata Ushirikiano wake na Kanisa kanda ya ziwa ulikuwa ni wa kiwangi cha juu na heshima kubwa. Hapa ccm wametoa boko.
Mwanza hata Mongela hakupaweza alikuwa na maneno mengi matendo machache.
Huyu Fatma Mwasa hakustahili kupewa tena ukuu wa mkoa wala wilaya ni aina fulani ya viongozi wanaoangalia zaidi maendeleo yao binafsi na kuna tuhuma za ufisadi zikitajataja.
Mama yetu (umri wa kustaafu umefika)Halima Dendego mwanae Gift Msuya ni Ded moshi huko mama naye unakuja unampa ukuu wa mkoa lakini ana historia ya ndani na ccm top cream asingeweza kuachwa na baadhi ya hizi teuzi mama anapewa majina inavyoonekana kutoka Lumumba.
Ccm wana tabia ya kurecycle watu wale wale wengine hawaja accomplish chochote kama common names Batilda buriani,
Kwa wajeda wale nadhani iko shida ya management ya wajeda kwa civilian nimeshangaa sana Mjeda wa mtwara with his knowledge katika zama za citizen journalism na teknolojia iliyojaa tele anamtafuta aliyepiga picha ajali ya school bus. Siku hizi ukidondoka unaeshangaa picha zako zimeene magroup kibao ya wasap pasipo kujua mpiga picha nani. Kuna tatizo kwenye elimu yetu na mitaala kwa kweli.