Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

"Zilonga mbali zitendwa mbali", by JK mwanangu wa Msoga.

muishi kwa akili za mbayuwayu nyie.

nakuja chini hapo kuwapa hesabu msizozijua na mlipofeli.
 
Hakubaliki kwa sababu hizi

1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
 
Mama hajambo sana kwa kuteua na kutengua. Naona amemtupa General Mbuge baada ya muda mfupi sana, nadhani lengo lilikuwa ni kumuondoa nafasi aliyokuwa amepewa na magufuli ya JKT
 
House rules and lawz, you should observe before collapsing. Take care brother people are pushing the chase.

town boy in Mwanza, pressing the ches, Mr Star times, Mr Cocacola, Mr Zaka, Mr Gi5, hahahha the Bunda Brother all mafioso lake zone. Chess box by Wu~tang, protect your neck Mr Uda is out hahahaha what about that Luo. hahahaha hizi pombe zangu sio nzuri.
 
Kwa kazi za mkuu wa mkoa na wilaya sioni mahala pa kukosea, hawa ma RC watakuwa wanaingilia Halmashauri na kutaka fungu.
 
Basi Kafulila alipoteuliwa nilikuwa na shida fulani nilimpigia simu mara 70 na text 10 hakujibu mpaka leo anatenguliwa. Nadhani ajifunze siyo kila mtu wa anayekupigia simu ana njaa
Huwa wanajifanya bize kumbe ni uhongo mtupu.
 
Yani Mtaka ni wakupewa Technonical demotion kweli ? [emoji24]

Dodoma tutammiss sana hasa sie Wagogo!

Mungu akupe kustahamili huo mtihani ndugu Antony Mtaka.

Wewe ni hitaji la wengi,

Wewe ni Jembe ,

Wewe ni smartest RC
Pale simnaona kawekwa mwanamke basi jua kuna sababu ya msingi.
 
Mbembe yule!
Acha ubishi wew. Huyo ni mtoto wa Mwl Zacharia Kafulila, mwalimu wa shule ya msingi pale Uvinza. Alipangiwa kazi Uvinza akitokea usukumano na mke wake ni mfipa. Kwa hyo Kafulila hana hata damu ya kiha kwa maana baba ni msukuma na mama ni mfipa
 
Katika mkeka huu mpya Mkuu wa mkoa wa Mwanza Eng Robert Gabriel, Kafulila, Mtaka hawa naona hawakupaswa kuondolewa.

Mfano Ndg Gabriel aliweza kuunganisha makundi mengi mwanza hata Ushirikiano wake na Kanisa kanda ya ziwa ulikuwa ni wa kiwangi cha juu na heshima kubwa. Hapa ccm wametoa boko.

Mwanza hata Mongela hakupaweza alikuwa na maneno mengi matendo machache.

Huyu Fatma Mwasa hakustahili kupewa tena ukuu wa mkoa wala wilaya ni aina fulani ya viongozi wanaoangalia zaidi maendeleo yao binafsi na kuna tuhuma za ufisadi zikitajataja.

Mama yetu (umri wa kustaafu umefika)Halima Dendego mwanae Gift Msuya ni Ded moshi huko mama naye unakuja unampa ukuu wa mkoa lakini ana historia ya ndani na ccm top cream asingeweza kuachwa na baadhi ya hizi teuzi mama anapewa majina inavyoonekana kutoka Lumumba.

Ccm wana tabia ya kurecycle watu wale wale wengine hawaja accomplish chochote kama common names Batilda buriani,

Kwa wajeda wale nadhani iko shida ya management ya wajeda kwa civilian nimeshangaa sana Mjeda wa mtwara with his knowledge katika zama za citizen journalism na teknolojia iliyojaa tele anamtafuta aliyepiga picha ajali ya school bus. Siku hizi ukidondoka unaeshangaa picha zako zimeene magroup kibao ya wasap pasipo kujua mpiga picha nani. Kuna tatizo kwenye elimu yetu na mitaala kwa kweli.
 
Gift Msuya ni DC Wilaya ya Chamwino
 
Back
Top Bottom