Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mtaka alikuwa anawakazia hadi mawaziri wakileta yada-yada kwenye mkoa wake.Afu wanazingua unakuta mtu abafanya mambo super hata hajamaliza wanamtoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaka alikuwa anawakazia hadi mawaziri wakileta yada-yada kwenye mkoa wake.Afu wanazingua unakuta mtu abafanya mambo super hata hajamaliza wanamtoa.
Kapiga marufuku magari madogo kubeba abiria ikawa amri ya nchi nzima, nadhani huko ni sherehe. Mara agombane na watu wa AMCOS.Mbwembwe za Kafulila majuzi kati ilikuwa kumzuga Rais [emoji1787][emoji1787]
Daah! Itakuwa kawashughulika wasiogusika wakati yeye hana vinasaba vya sisiemu. Miezi michache tu rais alimsifia, leo hii anapigwa chini.Uh - Oh!
Kafulila kakanyaga waya!
EeeeenHeeeee!
Kelele zote zimeishia ukingoni? Usichezee waliopangwa, utapanguliwa tu!
Idadi iko sawa acha hizoNgoja nijidai uteuzi watu wengi wa upande wa mbalamwezi na nyota sijauona
Mbalamwezi na nyota 'kobazi' oyeee
Misalaba na Rozali ziii
Full stop.
Amepewa kazi maalum ya kusaka waliorusha picha za basi la King David
CCM wanajuana, si ajabu baada ya muda tukamuona tena kwenye system kama ilivyokuwa kwa Chalamila.Daah! Itakuwa kawashughulika wasiogusika wakati yeye hana vinasaba vya sisiemu. Miezi michache tu rais alimsifia, leo hii anapigwa chini.
Hii ni awamu ya kujineemesha, ukishika mikono ya wanaoneemeka unatumbuliwa.
Wazee aliyoahidi kuwashughulikia ndiyo wamemshughulikia yeye sasaKwamba ally hapo ni jobless
Makao makuu ya Jeshi, anapandishwa cheo kuwa Meja Jenerali.Marco Gaguti nilikuwa namuelewa sana tangu akiwa Kagera, sasa sijui mama kampeleka wapi
Dhana ya mikoa ya pembeni kuongozwa na wanajeshi imekufa.Marco Gaguti nilikuwa namuelewa sana tangu akiwa Kagera, sasa sijui mama kampeleka wapi
Ina maana kwa kafulila kutakua na wakuu wa mikoa wawili?
sijaona alipohamishiwa
Kumbe ni chalamila yule??? 🤣 nukajua chalamila mwingineKuna uzi wa Chalamila ulinichekesha sana eti alikua ana uwezo wa kubishana na ATM mpaka Card ikamezwa huku mali inamsubiri.Karudi.
Wametumbuliwa bhana, siyo kwamba wanahitajika jeshini. Kwa uspesho gani wali nao ??Hao wanahitajika jeshini makao makuu, kuna kazi wanaenda kupangiwa
Anahitajika makuu ya JWTZ, kumbuka kuna Majenerali wamestaafu na wengine wametuliwa ubalozi na wengine wamepandiashwa vyeo hivyo wanaenda kuziba nafasi.Hata mimi yule Afande nilikua namuelewa sana na mikakati yake pale Mtwara. Ila mamlaka za uteuzi ndiyo inajua, lakini kwa jicho la kawaida alikua mtu poa sana pale Mtwara, ufuatiliaji, kutaka kuukuza mkoa kibiashara, kuupa promo nk. Anyway, labda atapangiwa nafasi nyingine kwenye kazi yake kuu.
Weee yepi?Yupo, yule jamaa wa kampuni ya simu kule mwanza alikataa uteuzi wa Magufuli kuwa DC, kilichomkuta huwezi amini.