Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyetuuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera.
Wakuu wa mikoa 10 wamebaki kwenye vituo vyao vya kazi vya awali huku 7 wakihamishwa vituo vya kazi.
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi ameachwa kwa orodha mpya, dhahma hiyo pia imewakumba aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, David Kafulila.
Pia aliyekuwa katibu mkuu wa Bunge na badae kupewa mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kigaigai nae ametemwa.
======
Mkeka wa wakuu wa mikoa.
View attachment 2306342View attachment 2306343
View attachment 2306345