Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Leo nitampigia Hapi kumuuliza kwanini alinidharirisha kwenye ziara za Iringa Mpya. Kesho nitampigia na kumdai pesa zangu za kuinstall Drip Irrigation kwenye shamba lake la Ekari 10 hapa Iringa na asiponilipa natuma vijana wakazing'oe na kukatakata nyanya zilizopo shambani.

Kipindi cha kulipa kisasi sasa kwani hana ulinzi tena.
 
Msamehe....
 
Naipongeza ccm alkadhalka nampongeza rais kwa kazi hii nzuri ya kutukuka rais wetu ameona mbali sana, tunaomba afanye haya na kwa wakuu wa wilaya wako ambao bado wana chembechembe!
>>>KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.<<<<
 
Yeye kukuhamisha au kukuachisha anapojisikia ni dharau zaidi Bora nifanye michongo mingine kuliko Leo nipo DSM kesho kigoma keshokutwa sina kazi. Ndo maana wengi wanataka ubunge it offers more job security
Ndio maana wajanja wanajiwahi na mighorofa !!
 
Back
Top Bottom