Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naona bora wa baki na kazi zao za kijeshi tu.Mwanajeshi ambaye ni mwalimu wa sayansi ya siasa pia mwanadiplomasia mahiri balozi brigedia jenerali Wilbert Ibuge akiongea na madiwani
26 June 2022
“SIVAI KOMBATI KWA KUIGIZA MIMI NI MWANAJESHI,TUCHAPE KAZI”,RC IBUGE
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amewaeleza madiwani wa Halmashauri za Mkoa wa Ruvuma kwa nyakati tofauti kuwa jukumu alilopewa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ni kusimamia utendaji kazi ili kusukuma gurudumu la maendeleo kwa wananchi wa Ruvuma kwa kutekeleza Ilani ya CCM ya 2020 hadi 2025 na kwamba hana mpango wa kuingia kwenye Siasa.
Source : Nyasa DC online
WASIFU:
Brig.Jenerali Wilbert Augustine Ibuge
WORK EXPERIENCE
Source : Wilbert Augustine Ibuge
- 15 May, 2021 to-date-Regional Commissioner, Ruvuma Region.
- 06 February, 2020 - 15 May, 2021 - Permanent Secretary, Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation.
- 01 October, 2019 to 06 February, 2020 – Ambassador, Director and Chief of Protocol, Ministry of Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation.
- April to September, 2019 – Brigade Operations and Training Officer, 2002(Western) Infantry Brigade Group, Tanzania People’s Defence Forces (TPDF).
- 18 January, 2016 to 30 March, 2019 – Head of Defence Affairs and Planning in the Organ on Politics, Defence and Security Cooperation Directorate at the Southern African Development Community (SADC) Secretariat Headquarters, Gaborone, Botswana.
- June, 2007 to December, 2015 – Minister Plenipotentiary and Military Adviser, Permanent Mission of the United Republic of Tanzania to the United Nations, New York, USA.
- 2003 to 2005 – Assistant Lecturer (International Relations and International Law) in the Department of Political Science and Public Administration, University of Dar es Salaam, Tanzania.
- 1993 through to 2020 – (various): Military career promotions, from Commission as an Officer Cadet (1993), Second Lieutenant (1995) up to Brigadier General (2020). Gen. Ibuge has also held numerous command and senior staff officer appointments on various units, operational deployments and Headquarters with in the Tanzania People’s Defence Forces. He remains in active service.
- ACADEMIC QUALIFICATIONS
- Ambassador Brig. Gen. Ibuge is currently a Ph.D. Candidate at the Department of Political Science and Public Administration of the University of Dodoma.
- Gen. Ibuge also holds a Bachelor of Arts (BA) in Political Science and Public Administration (Honours, First Class) and a Master of Arts (MA) in Political Science and International Relations from the University of Dar es Salaam.
- The General is also a graduate of the South African National War College (SANWC) and holder of a National Diploma (Postgraduate) in Defence and Security Studies, SANWC, Pretoria Republic of South Africa.
- NATIONALITY: Tanzanian.
Anajikuta anajua sana yule wacha akapigwe baridi kidogoSijui kwa nini kamhamisha Mtaka pale Dodoma?
Basi Kafulila alipoteuliwa nilikuwa na shida fulani nilimpigia simu mara 70 na text 10 hakujibu mpaka leo anatenguliwa. Nadhani ajifunze siyo kila mtu wa anayekupigia simu ana njaaZama zimebadilika njooni mtaani mjue machungu ya tozo ya miamala na bidhaa kupanda maradufu huenda mlipandisha mabega au ni jambo la kupokezana kijiti maana sisi wote ni watanzania
teuzi za samia ni za kibaguzi,anateua upande mmoja utasema anateua viongozi wa madrasa!
Hata nae atakuwa kashukuru. Maana huwezi fanya kazi na watu wanaokuvizia muda wote wakutoe. Hata ile kauli ya mama alipotembelea mara kuwa nilitaka niwapige wote chini ilidhihirisha.Atakuwa alikwisha jiandaa kisaikolojia...
Its a game of thrones! Leo yuko huyu, kesho yuko yule...
Leo uko kwenye kiyoyozi, kesho uko kwenye mionzi, unapigwa na jua.
Leo unafunguliwa mlango wa V8, kesho unashika bomba kwenye DCM la Gongo la Mboto.
Na Col. Ibuge pia sijamuona..
Ila walimkosa. Aibu yao. Kila mtu anajuaDogo alikuwa anatafutiwa timing hatimaye wamekula kichwa,
Na Ile ziara yake iliyoua waandishi wa habar , ana prefer kuxungukia mkoani mara kwenda ukerewe wakat kuna cheap flight ya meli chap kidog , mji ulishakuwa mchafu na hauko organized jamaa bonge la Fala Sana yuleMwanza kulikuwa na shida labda kama mlikuwa hamuoni!! Acha huyu jamaa aondoke aisee
Maji ni shida huu mwez wa pili sasa
Miradi mingi inasua sua, mfano termina ya airport pale, soko kuu kati pale na mingine mingi tu
Upigaji hela kwenye halmashauri haswa mapato ya ndani
Mkuu wamkoa yeye kila siku kwenye ziara ambazo hazikuwa naimpact yoyote kuuboresha mji! So acha wamlekichwa!! Ikizingatiwa uchaguzi unakaribia mama anajua kamda yaziwa anahitaji support from the ground so kaletwa malima ki mkakati
Na huo ndio ukweli !! Refers kwa yule wanagombea ghorofa na tajiri wa yanga! Ana mighorofa mingapi ? Kwa Africa Tumbo kwanza !! Kwa wazungu Nchi kwanza !! Ndio maana wanalipana mishahara ya kujikimu kimaisha hata kama huna kazi huko ulaya !! Siye tutasubiri sana !!Wengine wanatumia fursa ku set mambo yao kwa muda mfupi kwakuwa wanajua aina ya kazi ilivyo.
Ukipata ukuu wa Mkoa hata kwa miezi 6 tu fanya kitu.
Wengine wanatumia fursa ku set mambo yao kwa muda mfupi kwakuwa wanajua aina ya kazi ilivyo.
Ukipata ukuu wa Mkoa hata kwa miezi 6 tu fanya kitu.
Kanafiki sana hako kamtuBasi Kafulila alipoteuliwa nilikuwa na shida fulani nilimpigia simu mara 70 na text 10 hakujibu mpaka leo anatenguliwa. Nadhani ajifunze siyo kila mtu wa anayekupigia simu ana njaa