Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Zama zimebadilika njooni mtaani mjue machungu ya tozo ya miamala na bidhaa kupanda maradufu huenda mlipandisha mabega au ni jambo la kupokezana kijiti maana sisi wote ni watanzania.
 
Kazi za kipumbavu sana unakua at her disposal all the time. Mara uhamishwe, mara ufutwe as though maisha yako hayana dira. Huwa sielewi kwanini wanazikubali.
Ukikataa uteuzi wa Rais ni dharau.
 
Resurgence! Renaissance! Rejuvenation! Regeneration! Resumption!
FB_IMG_1658978400602.jpg
 
Yeye kukuhamisha au kukuachisha anapojisikia ni dharau zaidi Bora nifanye michongo mingine kuliko Leo nipo DSM kesho kigoma keshokutwa sina kazi. Ndo maana wengi wanataka ubunge it offers more job security
Wengine wanatumia fursa ku set mambo yao kwa muda mfupi kwakuwa wanajua aina ya kazi ilivyo.
Ukipata ukuu wa Mkoa hata kwa miezi 6 tu fanya kitu.
 
Back
Top Bottom