Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Baada ya Mahojiano ya Jaji Werema kwenye gazeti la Mwananchi nilijua tu Kafulila anatafutwa.
"Msoga kwenye usukani"
 
Marco Gaguti nilikuwa namuelewa sana tangu akiwa Kagera, sasa sijui mama kampeleka wapi

Hata mimi yule Afande nilikua namuelewa sana na mikakati yake pale Mtwara. Ila mamlaka za uteuzi ndiyo inajua, lakini kwa jicho la kawaida alikua mtu poa sana pale Mtwara, ufuatiliaji, kutaka kuukuza mkoa kibiashara, kuupa promo nk. Anyway, labda atapangiwa nafasi nyingine kwenye kazi yake kuu.
 
Hizi teuz za usiku wa manane bila kujua ushatumbuliwa, unaweza jikuta unafika ofsin na bodaboda dreva wako kakugomea[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata mimi yule Afande nilikua namuelewa sana na mikakati yake pale Mtwara. Ila mamlaka za uteuzi ndiyo inajua, lakini kwa jicho la kawaida alikua mtu poa sana pale Mtwara, ufuatiliaji, kutaka kuukuza mkoa kibiashara, kuupa promo nk. Anyway, labda atapangiwa nafasi nyingine kwenye kazi yake kuu.
Ubabe baada ya ajali ya basi la shule

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kazi za kipumbavu sana unakua at her disposal all the time. Mara uhamishwe, mara ufutwe as though maisha yako hayana dira. Huwa sielewi kwanini wanazikubali.
Hivi kuna ambaye amewahi kukataa teuzi?
 
Sawa Sawa
Teuzi Hizo Zinategemea Busara Ya Rais Mwrnyewe
 
Sijui kwa nini kamhamisha Mtaka pale Dodoma?
Sifa nazo zilizidi anabishana hata na maagizo ya wakuu wake kama mawaziri.

Hasa kuhusu masuala ya elimu amekuwa akienda kinyume wazi wazi na maelekezo ya wizara.

Usipoheshimu mamlaka lazima uadhibiwe tu na hata hivyo ni kama ameonywa kimtindo tu ajirekebishe la sivyo atafyekwa jumla.
 
Back
Top Bottom