Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Aliyoyafanya mwanza Majuzi inanistaajabisha kwelikweli!Chalamila ndani ya nyumba!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyoyafanya mwanza Majuzi inanistaajabisha kwelikweli!Chalamila ndani ya nyumba!!
Mtwara huwa hapamuachi mtu salama,
Atakuwa kapiga goti sana huyooChalamila angeletwa Jiji la DSM lingebadilika.
Chalamila ni mchapakazi hodari sana, tunashukuru kwa Rais kuliona hilo na kumrudisha ulingoni.
Kwani alizaliwa kuwa tu Mkuu wa Mkoa?Robert Gabriel kaachwa
Kituo kifuatacho ni covid19Zama zimebadilika njooni mtaani mjue machungu ya tozo ya miamala na bidhaa kupanda maradufu huenda mlipandisha mabega au ni jambo la kupokezana kijiti maana sisi wote ni watanzania
Leo ukimpigia atapokea chap! Ila nawe una moyo missed calls 70[emoji15][emoji3064]Basi Kafulila alipoteuliwa nilikuwa na shida fulani nilimpigia simu mara 70 na text 10 hakujibu mpaka leo anatenguliwa. Nadhani ajifunze siyo kila mtu wa anayekupigia simu ana njaa
Wampe uwaziri akabanane humohumo wizarani. Itakuwa alikuwa anajiinua sana na kuona wengine wanafanya maamuzi yasiyo faa?Amekua mkubwa kuliko Dodoma...
Wasukuma kweli !! Lakini Tanzania hatuna ukabila imetokea tu hiyo watapangiwa kazi nyingine Labda !!Na wote ni wasukuma
Mamluki wote watatoka , Bado Nassary na Lijua KaliDavid Kafulila alikuwa anamsifia raisi na ccm juzi tu, sioni alipohamishiwa.
Msukuma yule wewe. Si kila anayetokea Kigoma ni muhaKafulila Ni Bwana Mughabho Wa Kigoma
Mkuu hapa Dodoma pana matatizo makubwa ya ardhi. Watu walipimiwa maendo yao bila taarifa na wakamilikishwa watu wengine huko Swaswa na kwingineko! Mtaka alipoteuliwa tulimkaribisha kwa kilio hicho..alijaribu kusuluhisha kwa namna isiyozaa matunda ..wiki kadhaa zilizopita,alitangazaa kusimamishwa kazi kwa baadi ya wafanyakazi idara ya ardhi huku CED wa sasa ndiye aliyekua boss wa idara ya ardhi enzi za kutengeneza hiyo migogoro1.Alli hapi
2.Kafulila
3.Eng Gabriel
Nk
Wameliwa kichwa
NB
Mtaka kutoka Dodoma hadi Njombe ni kama wamemla kichwa kistaarabu.
Ajirekebishe tabia yake ya u much know, kiburi na dharau.
Alisifiwa mwanzo naona sasa hivi anaharibu,sifa zinamlevya wahenga walipata kusema"...... Mgema akisifiwa tembo hulitia maji."
Yupo alimkatalia Kikwete asiww mkuu wa mkoa na Kikwete alisema hadharaniUkikataa uteuzi wa Rais ni dharau.
Anaweza kuwa Katibu Mkuu huyuDavid Kafulila alikuwa anamsifia Rais na CCM juzi tu, sioni alipohamishiwa.
AiseeAlly Hapi wamemtapika.
Amelala akiamka atakutana na meseji za pole