Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

Yani Mtaka ni wakupewa Technonical demotion kweli ? [emoji24]

Dodoma tutammiss sana hasa sie Wagogo!

Mungu akupe kustahamili huo mtihani ndugu Antony Mtaka.

Wewe ni hitaji la wengi,

Wewe ni Jembe ,

Wewe ni smartest RC
 
Nasubiri Majibu yenu Great Thinkers wa JamiiForums. Kuna Mtu Mmoja anapenda sana Kucheza na Akili za Watanzania akidhani Tanzania ya sasa hakuna 'Geniuses' kama Mataifa mengine.
 
Wakapumzike tuu. Maisha ni kubadilishana vijiti. umepata dhamani ya ukuu wa mkoa/wilaya/uwaziri nk kwa miaka 2-3 au zaidi na bado unalalamika?

Hizi kazi zitangazwe watu washindanishwe au ziwe za mkataba!
Hizi kazi Mzee huwa tunapeana sisi kwa sisi sio kwa kila MTU Mzee!! Labda ukiunga mkono juhudi ndio tutakufikiria!!
 
Ngoja nijidai uteuzi watu wengi wa upande wa mbalamwezi na nyota sijauona

Mbalamwezi na nyota 'kobazi' oyeee
Misalaba na Rozali ziii
Full stop.
Achana na huo upuuzi, nchi ina changamoto nyingi usituongezee matatizo, sisi!!!
 
Nashauri wale viongozi wa Tucta walioketi Dodoma warejee tu wakafanye mambo yao, uteuzi huu wa maRc ni mbinu ya kuzima rasmi mjadala uliokuwa umetawala media kuhusu mishahara.

Hongereni wakuu mliopata uteuzi, ndo imeisha hiyo.
Serikali haijawahi kushindwa!
 
Nafasi za kuteuliwa mtu kuachwa sioni kama ni issue na ni jambo ambalo huwa wanalitegemea muda wowote, Chalamila alichekwa na kuchorwa vikatuni ila amerudishwa, kwahiyo ni sehemu ya maisha tu......sioni sababu ya mtu hata ukatibu kata hujawahi, mishipa inakutoka.......unamcheka halafu baada ya week 2 anakula uteuzi mwingine, anaendelea kusonya hapahapa jeiefu tu
 
Back
Top Bottom