TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Acha akauchangamshe inasemekana mkoa umelala ule!Mkoa wa Kagera haujatendewa haki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha akauchangamshe inasemekana mkoa umelala ule!Mkoa wa Kagera haujatendewa haki.
Usifungue zipu ya begi ndio hiiRais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera...
Huyu sijui sababu za kuachwa kwakeRobert Gabriel kaachwa
Hizi kazi Mzee huwa tunapeana sisi kwa sisi sio kwa kila MTU Mzee!! Labda ukiunga mkono juhudi ndio tutakufikiria!!Wakapumzike tuu. Maisha ni kubadilishana vijiti. umepata dhamani ya ukuu wa mkoa/wilaya/uwaziri nk kwa miaka 2-3 au zaidi na bado unalalamika?
Hizi kazi zitangazwe watu washindanishwe au ziwe za mkataba!
Wataambiwa wanywe Rubisi ili kujikinga na Ukimwi.Acha akauchangamshe inasemekana mkoa umelala ule!
Achana na huo upuuzi, nchi ina changamoto nyingi usituongezee matatizo, sisi!!!Ngoja nijidai uteuzi watu wengi wa upande wa mbalamwezi na nyota sijauona
Mbalamwezi na nyota 'kobazi' oyeee
Misalaba na Rozali ziii
Full stop.
Wewe ndio umenena kweli!! Ndani ya CCM ni mwendo wa kupokezana vijiti tu huwa hakuna anayekosea!!Ukiwa mwana CCM hakuna kuwa benchi permanent, hao wamepumzishwa tu ili huko mbeleni warudishwe tena.
Mwalimu Nyerere na Mzee Karume hawakujenga taifa la watu wa aina yako! Acha hii tabia.🙏🙏🙏Ngoja nijidai uteuzi watu wengi wa upande wa mbalamwezi na nyota sijauona
Mbalamwezi na nyota 'kobazi' oyeee
Misalaba na Rozali ziii
Full stop.
Kule Ruvuma, Mtwara na Kagera wote wanarudi Ngome?Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera...
Kiukweli sukuma gang ndiyo imetoka na kujifia mazima.Kuwashawishi Kina kinana, membe, samia, makamba, na JK wakupe nchi.😃
Nani ni zero Brains??!Roho mbaya tuu,waliotemwa ni wachapakazi wazuri tuu na baadhi ya walioteuliwa ni zero brain..
Chalamila ni mchapakazi ila fitina ndio ilimtoa kipindi kile..
Kny mzee wa visasi ??!!Kiukweli sukuma gang ndiyo imetoka na kujifia mazima.