Usidhani mimi ni chizi kama ulivyo wewe, na ukome kabisa.Mtaka ni mtu wa sifa amini hilo
Eleza nikuelewe; utaniambiaje "amini hilo" bila maelezo. Hizi bangi usiwe unazileta hadi huku kwenye mijadala muhimu.
'Countrywide', ndio kitu gani, kama siyo bangi hizo!
Siku nzima, kila siku unajaza takataka humu JF, huoni aibu?